Je, unafahamu ni kwanini aliitwa Ice Cube?

Je, unafahamu ni kwanini aliitwa Ice Cube?

Teenagers vichwa vyao sio vizuri. Wengi wao hawaibi gari ili wakauze; it’s for a joyride! Baada ya hapo wanalitelekeza anywhere.
Mbona wanatumia nguvu na wanaua kabisa. Kwasababu wanajua sheria siyo kali sana kwa teenegers. Trump ameshaonya sasa hivi anakula nao sahani moja hapo DC.
 
Ila ikija swala la uhalifu marekani Black Americans wanaongoza. DC yani machalii tu teenegers no wezi wamagari.
Kuna mahali ni manzese kule, kuna sehemu zingine wako poa tu.
Wanaendesha malori wanalipwa hela nzuri tu.
Ila ukiingia kule Chicago sekunde unapotea ICE wako kazin7⅞
¹¼i
 
Ila ikija swala la uhalifu
Juzitu mmoja kaiba kwenye supermaket camera hizo zinamuona, kafika nje anaona deal done kaambiwa weka vitu hapo chini kaanza ubishi.
Kapigwa roba polis hao wakaondoka nae.
Jana watoto wa 3 wa kiswaz wameingia dukani kuiba.wamejaza mifuko yao hao wanatoka .muuzaji kawaambia hamjalipa hivyo vitu
Aah ngoja tumpigie mama.
Mlango ukafungwa direct
Wakabaki pale vizibiti vipo vyote.
Walikuja kubebwa tu na jela ya watoto wanayo badae junenail jail.
Walikua wa3 mmoja 6-8-9 years
 
Ila ikija swala la uhalifu marekani Black Americans wanaongoza. DC yani machalii tu teenegers no wezi wamagari.
Na ujinga wao wanapeleka nyumbani,
kuna cctv siku hizi,automac lock,sasa unaiba uende wapi?
Ukitoka wako nawewe
 
Akiwa Mdogo na Kaka yake, walikuwa Ndani huku wakicheza mchezo wa tiali bado.

Ilipofika zamu yake kujificha, O’shea Jackson alifungua Friza na kudumbukia ndani kwa malengo ya kujificha.

Kaka yake alimtafuta na kumkosa na kisha akaamua kutoka zake Nje na kwenda kujiunga na watoto wengine ba kuendelea na michezo.

Akiwa ndani ya Friza huku hali ya baridi ikiwa ni kali na inazidi kumuelemea alifanya jitihada zote za kujiokoa lakini ilishindikana.

Bahati ilikuwa upande wake, kwa maana Mama yake mzazi alikuwa anaandaa maakuli hivyo ilimlazimu kwenda kwenye Friza kuchukua Giligilani, Ajina Moto, Kotmili na zaga nyingine.

Basi ile paaap Bimkubwa alipo fungua Friza akamkuta Dogo abatetemeka huku hali yake ikiwa dhoofu na anaelekea kukata Moto.

Kwa mshtuko Bimdanga alilifunga Friza na kupiga ukunga wa maana.
Hatimae ujasili ukamuingia na hatimae akaenda kufungua tena na kumuopoa Dogo.

Jumapili ilipofika O’shea alikwenda Kanisani kutoa shukran huku akiwa ameongozana na rafiki yake wa kike unaweza iita pisi yake.

Mchungaji alimuombea na kisha baada ya sala akaleta masihara kidogo kwa kumuita ICE CUBE, na tangu hapo ndipo likawa jina lake.View attachment 3490817
Uongo huu.
 
Hapo Mwanjelwa juu kule siku nikaona mi kulala nahesabu mabati noma,
wenyeji walokole nikaona ngoja nifate nyagi jirani hapo aloo.
Mtaa uko kimya huoni mtu kibabe nikaenda.
Ilikua ndo Nondo zimekolea kipindi hicho.
Mshua kanambia kabisa mtaani ni sa 2 usiku mwisho.
Mi nimeelekea sa tatu
E bana nikatandika pale grocery kisichana fasta na take away Zinga moja nikafe nalo home.
Alalala ile napinda kona kwenda home wajuba hawa hapa.
Kwenye kigiza,
duh nikaona nakufa kizembe leo.
Ndo kukumbuka drunken master kung fu style.
Dakika 30 tu mi narudi maskani nimeangusha vijeba na nondo zao na mapanga.
Damu kibao,mdingi anauliza vp tena, mi nimevamiwa dukani tu hapo

Miaka 250 babu kule hawatanii,
no parole na ukitoka una kifungo cha ziada miaka 25.
Kuna gereza linaitwa Angola huko,
Ukipelekwa we kaanze kusoma,na kazi ndogondogo na kusali sana
Maana wako nawewe mpaka kifo
*** life


fullstop kwishaaa
 
Juzitu mmoja kaiba kwenye supermaket camera hizo zinamuona, kafika nje anaona deal done kaambiwa weka vitu hapo chini kaanza ubishi.
Kapigwa roba polis hao wakaondoka nae.
Jana watoto wa 3 wa kiswaz wameingia dukani kuiba.wamejaza mifuko yao hao wanatoka .muuzaji kawaambia hamjalipa hivyo vitu
Aah ngoja tumpigie mama.
Mlango ukafungwa direct
Wakabaki pale vizibiti vipo vyote.
Walikuja kubebwa tu na jela ya watoto wanayo badae junenail jail.
Walikua wa3 mmoja 6-8-9 years
Dah aseeh
Umri huo wataweza kuishi gerezani?

Magereza ya watoto mwisho umri wa miaka mingapi?
 
Kina ice cube, Dr Dre, Snoop, xhibit yote majinga tu. Hayana msaada wowote kwa ummah wa Black Americans. Yani yote hopeless bure kabisa.

babukijana
vipi kina p diddy, snoopy dogg doggy, dr. Octopus, 2pac, notorious big, big punisher, fat joe, baby face, ghost face killer, burster rhymes, lil wayne, lil bow wow, lil romeo?
 
Kina ice cube, Dr Dre, Snoop, xhibit yote majinga tu. Hayana msaada wowote kwa ummah wa Black Americans. Yani yote hopeless bure kabisa.

babukijana
hao watu wanapenda kulalamika na kujipa umuhimu wakusaidiwa mda wote, ni wavivu, wao wakiamka wanashinda kwenye kona za mitaa tu idle.

Ni kama jamii ya weusi Afrika kusini, wanalalamika tu kila siku, na hawapendi wakiona weusi wenzao wamefanikiwa.
 
Man wake up ,umsaidie nani kule?
Mtoto wa miaka 16 juzi kahukumiwa kifungo cha maisha kwa murder case,kazimia
Kasahau km ye kaua mtu.
Mwingine alicheka judge akimuhukumu,
Kalimwa nyundo 250 palepale kaanza kulia alikua anamcheka judge.
Sasa hao wanahitaji kusaidiwa nini
Yule mtoto alikua mshenz sana aliua akapigwa miaka 25 akaanza kucheka pale pale judge akamfunga 285years
 
Man wake up ,umsaidie nani kule?
Mtoto wa miaka 16 juzi kahukumiwa kifungo cha maisha kwa murder case,kazimia
Kasahau km ye kaua mtu.
Mwingine alicheka judge akimuhukumu,
Kalimwa nyundo 250 palepale kaanza kulia alikua anamcheka judge.
Sasa hao wanahitaji kusaidiwa nini
Black Americans wana kauwendawazimu fulani kanakofanya whites wawacontrol kirahisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom