Je, una herufi M katika kiganja cha mkono wako?

Je, una herufi M katika kiganja cha mkono wako?

Mimi nina hiyo herufi ila mwaka 2017 niliachwa na msichana niliyempenda sana akaenda kuolewa na msukuma kwa harusi ya kifahari na mchango nilichanga. Bahati nzuri waliachana miaka miwili baadae. Haya mambo ya herufi ni kupeana tu moyo ila hakuna kitu.
Pole sana lakini haya mambo hayakusaidii kutunza hisia.. Kuna mengi mazuri na mabaya kwenye hisia za mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndomanaa sikuhizi michongo inatiki yaani katika 5 mitatu lazima itiki juzi kati nimebutua 10 M Latest deal aisee subiri niongeze bidii ya kupambana [emoji2][emoji23]
IMG_20230715_163501.jpg
 
Duh nimeshangaa sana ninavyo vyote.. Ngoja nitatafiti

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza kwa makusudi.
Mikono yangu yote ina M
Lakini mkono wa kushoto imejichora vizuri zaidi.
Nina group O.
Na watu kadhaa wenye M
Nimegundua wana group O, ndio maana nikauliza kuna uhusiano wa M na group la damu la O?

Ukinijibu pia nitakuongezea tabia nyingine
 
Nipe muda nisijibu kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom