Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,775
- 699,200
- Thread starter
- #201
Kazana na elimu ya utambuzi kuna vitu muhimu sana vinajifunua kwakoMshana Jr mimi huwa nambiwa vitu na naviona, miezi hii ya karibuni naona picha za uroo (pesa) na sehemu zile nikienda sizikuti.
Inakuwaje hiyo mkuu, mimi naswali Ijumaa mpk ijumaa, nafunga Ramdhan mpk Ramadhan. Kuna wakati nafunga sunnah zile lakini siyo mara kwa mara.Kazana na elimu ya utambuzi kuna vitu muhimu sana vinajifunua kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa chief ili nisikutane na ndoto za namna hiyo natakiwa nifanyeje maana hizo zipo katika ulimwengu wa roho sijui ama giza
😎Umeacha kutengeneza deki na TV pale mkuu.
Ogea chumvi fanya maombi kabla hujalalaSawa chief ili nisikutane na ndoto za namna hiyo natakiwa nifanyeje maana hizo zipo katika ulimwengu wa roho sijui ama giza
Oooooh sawa lkn mbn kila wakati nafanya hivi
Oooooh sawa lkn mbn kila wakati nafanya hivo
Basi usijali uko salama japo mapambano ya kiroho hayawezi kukomaOooooh sawa lkn mbn kila wakati nafanya hivi
Nashukuru katika hili chief 🙏