Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
Daah yaishe mkuu..
Mi nalala peke angu hivo utakua unanipa wasiwasi wa kufungua nyuzi zako mda kama hu ππππππππ
Daah yaishe mkuu..
Ngoja niendelee kujituma aisee , bila shaka ntatoboa tu ,one day yesAsibweteke na utabiri wa herufi ajibidiishe na kazi utabiri utampa nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaDaah yaishe mkuu..
Mi nalala peke angu hivo utakua unanipa wasi wasi wa kufungua nyuzi zako mda kama hu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]
Nakuombea.. Amini itakuwa..!Ngoja niendelee kujituma aisee , nahisi ntatoboa Zaid ya hapa aisee
Je wewe ni bahili Sana pesa inakaa upande wako na unapenda usafi Sana ?Team M nipoo...
Kumbee ndo maana nipo hivii...
Asante YESU
Nampenda usafi sana...kwenye ubahili Sina...Je wewe ni bahili Sana pesa inakaa upande wako na unapenda usafi Sana ?
Kweli je wewe ni mpole hauongei Sana.?Nampenda usafi sana...kwenye ubahili Sina...
Duuh kumbe hichi kiherufi na ubahili vinaendana , kumbe ndio mana nipo hivi aiseeMimi ninayo na hizo sifa ninazo pamoja kuwa bahili sana
Wewe ni bahili Sana mkuuDuuh kumbe hichi kiherufi na ubahili vinaendana , kumbe ndio mana nipo hivi aisee
[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiukwel mm ni bahili aisee , sema mara nyingi hua bahili Kwa vile vitu ambavyo havina ulazima wa kuvifanyaWewe ni bahili Sana mkuu
Maana mimi ni bahili Hadi najikubali
Haya maelezo kwa walimu mahiri yanatakiwa yaambatane na mchoro au picha.Mstari wa Kichwa ni mstari unaoelezea juu ya mchakato wa kufanya maamuzi katika maisha ya mtu, na pia nguvu yake. Iko kuanzia ukingo wa kiganja, kati ya kidole gumba na kidole cha mbele na curls au huenda moja kwa moja katikati ya mkono. Mstari wa Hatima (au Zohali) ni nadra sana na ndio unaounda herufi "M". inaweza kuwa isiyoonekana, au kuonyeshwa wazi - inategemea katika kila kesi fulani. Inaenea kutoka chini ya kidole cha kati na inazunguka hadi kwenye msingi wa mitende. Mstari huu unatabiri matokeo ya kazi na kitaaluma katika maisha ya mtu. Unaweza kuwa na herufi "M" kwenye moja tu, au kwa mikono yote miwili.
Inaonyesha kwamba mtu aliye nayo anajifikiria sana na ana motisha, ana mwelekeo wa kazi na ana ujuzi na nidhamu ya hali ya juu. Hizi ni dalili za kiongozi wa kweli. Zamani iliaminika kwamba ikiwa mtoto ana herufi "M" kati ya watoto wote wa mfalme au mfalme, mtoto huyo atakuwa mrithi wake. Pia ni wenye utambuzi sana na wana angavu yenye nguvu, ambayo huwafanya wapangaji bora wa biashara na wenye ujuzi wa juu sana katika nyanja za kijamii za maisha. Je, wewe ni miongoni mwa wale adimu ambao wana alama ya "M" kwenye kiganja? Je, umeweza kuipata bado? Nini maoni yako?
Sent using Jamii Forums mobile app