Safi!Meza yangu ni multipurpose..
Itakuwa na chakula, muda wa chakula tu. Muda mwingine inakuwa empty.
Vitu vingine watu wanakuwa wanaiga tu kutokana na mwendokasi wa utandawazi, ndio maana unaweza kuona wanaweka makorokocho kibao.
Hayo makorokocho yatapendeza(yatakuwa safe) endapo hamna watoto ambao wanaweza kuyaharibu...
Hivi yale matunda ya plastic kama zabibu,ndizi mbivu hua mnayaweka mezani ili iweje boss?Meza ya chakula ina mapambo yake kama maua, chupa za wine au mishumaa na holder zake ili kuipendezesha pindi inapokuwa sio muda wa kula. Ila Zaidi na Zaidi ukiweka maua inapendeza zaidi
Mkuu kipi kwako kizuri kiwekwe mezani?Hivi yale matunda ya plastic kama zabibu,ndizi mbivu hua mnayaweka mezani ili iweje boss?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo kuelimishana Mkuu kama hayo unayaona sio ni kipi kizuri kiwekwe mezani?
Daaah mh mjumbe udenda umenitiririka hapa hatari, umenikumbusha kinywaji fulani chenye mithili ya gongo ila hakileweshi(tunakiita Magae), tunapenda kukitumia msimu wa kulima kule nyumbani.Nimetandika kitambaa kilicho fumiwa maua ya kuvutiaView attachment 1309897
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mh mjumbe, haya mambo vijana walio zaliwa kwa mipango ya vidonge na sindano hawayajuiDaaah mh mjumbe udenda umenitiririka hapa hatari, umenikumbusha kinywaji fulani chenye mithili ya gongo ila hakileweshi(tunakiita Magae), tunapenda kukitumia msimu wa kulima kule nyumbani.
Ukipiga chipuku moja unakuwa imara zaidi ya kupiga glucose na utaendeleza kuchapa/kuvuta jembe ipasavyo kabisa hatimaye unailaza hekari kwa siku chache kabisa
Ndio mh mjumbe unamwaga ukweli lukuki kwenye kuku wengi, lazima kila mmoja ashibeAhsante mh mjumbe, haya mambo vijana walio zaliwa kwa mipango ya vidonge na sindano hawayajui
Sent using Jamii Forums mobile app