an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,037
- 2,246
Nikiwa na hisia naye kali huyo mwanamke napiga hata nane..
Wanawake hawapo sawa hata kidogo ni kama uonavyo matunda jinsi yanavyokuwa na ladha tofauti ..kuna yenye sukari nyingi kwa maana ni matamu, kuna machachu kuna machungu n.k vivyo hivyo hizo K zipo tofauti .pia wanawake huwa wana natural scent tofauti...kuna wanawake harufu ya miili yao inaweza kukufanya utamani kuendelea kupiga tu mzigo bila ya kuchoka na kuna wengine ukipiga kimoko hutamani kuendelea nae. Pia hizo K zina viwango tofauti vya joto....kuna wanawake K zao ni za moto sana utatamani usukume tu mzigo ila kuna wengine ni za baridi yaani zimepoa na ukipiga kimoja tu hutamani kuendelea nae.Tuanze na neno mtamu
.. wanawake wote wapo sawa sexually...so unatumia vigezo Gani kujua huyu ni mtamu / kawaida
... mtaalamu mmoja alisema wanawake wote wapo sawa....but kuhusu utamu wao inafuatana na hisia zako kwake
Mfano out of discussion..[emoji1][emoji1][emoji113].....Yanga kawapiga wengi 5G ......ila kumpiga Simba .....5G imekuwa tamu kuliko zote
Mtatuua sio Kwa kutusema kias hiki Wii😂😂Bado mpk mseme
Bado hamjasema wii 😂😂😂
😀😀😀Kwani ushawahi kupewa hivyo bint?[emoji16][emoji16][emoji16]
Tunaopiga goli moja dakika 45, na tukimaliza mwanamke hana hamu tena ya kuendelea na show tunacomment wapi!!?Wakuu goli 5 ni nyingi kufikisha kwa bed.
Leo alfajiri nimejaribu hii, jana nilitembelewa na mama yenu mdogo so kulingana na nature ya siku ya jana hatukufanya chochote usiku sababu yeye ni kolo kindaki ndaki.
So, asubuhi nimeona nianze na morning glory but target yangu ilikuwa nipige bao zaidi ya tano (5G+). Kama wananchi but nimeshindwa, although nilikuwa well prepared kwa kula diet nzuri siku ya jana, but mnara umegoma kusoma 5G!
Swali wakuu; Goli/bao tano ni nyingi sana kufikisha, je umewahi kufikisha?
[emoji113]
Daah hapo nmekupata mkuu....ngoja niingie site ku testWanawake hawapo sawa hata kidogo ni kama uonavyo matunda jinsi yanavyokuwa na ladha tofauti ..kuna yenye sukari nyingi kwa maana ni matamu, kuna machachu kuna machungu n.k vivyo hivyo hizo K zipo tofauti .pia wanawake huwa wana natural scent tofauti...kuna wanawake harufu ya miili yao inaweza kukufanya utamani kuendelea kupiga tu mzigo bila ya kuchoka na kuna wengine ukipiga kimoko hutamani kuendelea nae. Pia hizo K zina viwango tofauti vya joto....kuna wanawake K zao ni za moto sana utatamani usukume tu mzigo ila kuna wengine ni za baridi yaani zimepoa na ukipiga kimoja tu hutamani kuendelea nae.
Pia ujuzi unatofautiana kuna wanawake ni mafundi vitandani ukiwa nae utauona usiku ni mfupi mno ila kuna wengine ukiwa nae unaomba kupambazuke uendelee na mishe zako.
Kuna wanawake wana libido kubwa yaani wana nguvu na hamu ya kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila ya kuchoka ,hawa ni sawa mchezaji kilaza awepo katika timu ya mafundi wa soka ,baada ya muda lazima nae ataonekana anajua tu..vivyo hivyo kuna wale wana low libido, yaani umepiga tako kadhaa tu anaanza kukwambia mbona hukojoi, nimechoka, n.k huyu ukipiga kimoja huwezi kutamani kuendelea kumla maana kisaikolojia anakuondoa mchezoni.
[emoji23][emoji23]hata nchi zilizoendelea ambazo mtu anakula balanced diet au vyakula vya kuongeza nguvu vya kutosha, hakuna mwanaume anafika hayo magoli. acheni kujidanganya, labda kama una pepo mahaba. maximum mwanaume umejitahidi sanani magoli mawili matatu. labda kama unakojoa vigoli vya harakaharaka kama kuku, ila ile unaenda dakika 20 hadi 40 la kwanza, unakuja dakika zingine 40 hadi 50 la pili, la tatu uende lisaa limoja. hilo la nne unalipatia wapi?
Wanandoa ni kama wana simba tu, tunaishia kimokoNa bado hawajasema [emoji23][emoji113]
Conditional kwa mwanamke wa hovyoHakuna kuzingatia mkuu [emoji1][emoji1]
Inatakiwa iwe "Provided that all conditions remain constant"