Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,781
24,213
Wakuu goli 5 ni nyingi kufikisha kwa bed.

Leo alfajiri nimejaribu hii, jana nilitembelewa na mama yenu mdogo so kulingana na nature ya siku ya jana hatukufanya chochote usiku sababu yeye ni kolo kindaki ndaki.

So, asubuhi nimeona nianze na morning glory but target yangu ilikuwa nipige bao zaidi ya tano (5G+). Kama wananchi but nimeshindwa, although nilikuwa well prepared kwa kula diet nzuri siku ya jana, but mnara umegoma kusoma 5G!

Swali wakuu; Goli/bao tano ni nyingi sana kufikisha, je umewahi kufikisha?
 
Gen z na Milenial hamuwez fikisha tano
 
Huo ndo ukweli mchungu Mkuu vijana wote Gen Z ,Y na millenial hawafiki kwa sabau ya Vyakula wanavyokula
Wanakula GMO (Genetic modified) food hawafanyi mazoezi,Wanatmani kufanya vitu vywnye ukubwa zaidi ya uwzo.wao mwisho wa siku lazma wakae chini..

Ila ninaweza kumfundisha mtu lakini atachukua wiki nne
Na itambidi asifanye chxhite kwa mwszi mmoja mzima
 
Kwa mwanamke mtamu ambaye naemhusudu sana nikifanya nae sleepover naweza fikisha hizo goli bila tatizo !!!

Zingatia neno "Mtamu" na "Naemhusudu"
Tuanze na neno mtamu

.. wanawake wote wapo sawa sexually...so unatumia vigezo Gani kujua huyu ni mtamu / kawaida

... mtaalamu mmoja alisema wanawake wote wapo sawa....but kuhusu utamu wao inafuatana na hisia zako kwake

Mfano out of discussion.......Yanga kawapiga wengi 5G ......ila kumpiga Simba .....5G imekuwa tamu kuliko zote
 
Back
Top Bottom