Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

Huo ndo ukweli mchungu Mkuu vijana wote Gen Z ,Y na millenial hawafiki kwa sabau ya Vyakula wanavyokula
Wanakula GMO (Genetic modified) food hawafanyi mazoezi,Wanatmani kufanya vitu vywnye ukubwa zaidi ya uwzo.wao mwisho wa siku lazma wakae chini..

Ila ninaweza kumfundisha mtu lakini atachukua wiki nne
Na itambidi asifanye chxhite kwa mwszi mmoja mzima
Dr kaona fursa ya biashara hapa hapa 😁😁
 
....Goli 5 kumuweka mwanamke ni shida hadi unafungulia uzi.?Zingatia Lishe, Kuwa stress-free pia achana na kukamia game, usiwe Malaya kwa sanaaa, fanya mazoezi hasa ya kuu-manage mwili wako(sio vyuma) mwisho ombea ukutane na mwanamke msafi na mwenye hamu ya kupigwa mkia sio wale wa maliza nipe changu... Kwa hayo hata zaidi ya 10 utafikisha na bao kikombe sababu ukimaliza tu dkk 5 nyingi akikugusa imo. .
 
Huo ndo ukweli mchungu Mkuu vijana wote Gen Z ,Y na millenial hawafiki kwa sabau ya Vyakula wanavyokula
Wanakula GMO (Genetic modified) food hawafanyi mazoezi,Wanatmani kufanya vitu vywnye ukubwa zaidi ya uwzo.wao mwisho wa siku lazma wakae chini..

Ila ninaweza kumfundisha mtu lakini atachukua wiki nne
Na itambidi asifanye chxhite kwa mwszi mmoja mzima
NIFUNDISHE MZEE. NIMEANDIKA HERUFI KUBWA KUSISITIZA
 
Wakuu goli 5 ni nyingi kufikisha kwa bed.

Leo alfajiri nimejaribu hii, jana nilitembelewa na mama yenu mdogo so kulingana na nature ya siku ya jana hatukufanya chochote usiku sababu yeye ni kolo kindaki ndaki.

So, asubuhi nimeona nianze na morning glory but target yangu ilikuwa nipige bao zaidi ya tano (5G+). Kama wananchi but nimeshindwa, although nilikuwa well prepared kwa kula diet nzuri siku ya jana, but mnara umegoma kusoma 5G!

Swali wakuu; Goli/bao tano ni nyingi sana kufikisha, je umewahi kufikisha?
[emoji113]

yaan uzifikishe asubuhi labda mkilala usiku kucha
 
Nilikua na wifi yako wiki iliyopita nilimpaaa Nikaampaaa Nikampaaa tena!!..

Akiniona saizi anatazama pemben mdomo wote umeisha
 
Japo mleta mada kanichoma sana kuhusu Simba dah Jana nimelala na viatu kabisa kila nikishtuka nashtuka goal 5 dah haya bhna..

kwanza kabla sijawapa jinsi ya kufanya naomba kwanza mjue upungufu wa nguvu za kiume huweza kusababishwa na nini
upungufu wa nguvu husabishwa na vitu kadhaa..

Magonjwa mbalimbali huchangia Tatizo hili
kuna magonjwa mengi sana yanaweza kusababisha hili tatizo yakiwemo magonjwa ya moyo na magonjwa mengine ya mishipa ya damu ambayo yanaweza kuzuia au kufanya ugumu wa mtiririko wa damu kwenye sehemu za uume, kusababisha uume kukosa nguvu ama kushindwa kujaza damu inavyostahili (Kusimamisha) ..mengine ni kama kisukari, ugonjwa wa moyo, shinikizo la damu, nk
Vyakula kuna baadhi ya vyakula huchangia kuleta hil8 tatizo
Matatizo ya Kisaikolojia na kihisia: watu wenye stress
, wasiwasi,uoga na hasira kama zanvu jana dah Kufungwa na yanga kabisa duh ok tuendeelee..

Matumizi ya Dawa: Baadhi ya dawa, kama vile baadhi ya dawa za shinikizo la damu, dawa za kulevya, na madawa mengine yanaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.

ubonge na Lishe: Unene uliopitiliza na lishe isiyofaa inaweza kusababisha matatizo ya moyo na kisukari, na pia yanaweza kusababisha kujengeka kwa layer ya mafuta au inaitwa choresteral kwenye mishipa ya damu na hivyo kupunguza kipenyo cha mishipa ya damu na kusababisha uume kushinda kusimama vizuri (lege lege) au kushindea kabisa kusimamisha

Matatizo ya Homoni: Kushuka kwa viwango vya homoni za kiume, kama vile testosterone, ambayo ndo huongeza libido (Nyege) pia lunaweza kuchangia

kwa leo mwisho itakuwa ni Matumizi ya Pombe na Tumbaku: Matumizi ya pombe kupita kiasi na tumbaku yanaweza kuathiri afya ya mishipa ya damu na hivyo kushindwa kuzitandika 5G
ila dah jamani inauma nyinyi Goal 5...

KWAHIYO WATU WOTE WANATOFAUTIANA KATIKA SABABU ZA UPUNGUFU NI VYEMA KUHAKIKISHA UNATIBU TATIZO KABISA KAMA SIO KUPUNGUZA..
KWAHYO NAKARIBISHA MASWALI KABLA SIJAENDELEA..
ILA 5 ZINAUMA...
So kama kuna swali ili kuendelea

CC: ninjajr Labani og Division One DAVID PALMER
 
Vipi kuhusu nyeto,alafu pia vyakula vinavyopunguza nguvu za kiume ni zipi? Je nyeto inaweza kupunguza kiwango cha homoni, na njia zipi za kuirejesha hicho kiwango?
 
Back
Top Bottom