Japo mleta mada kanichoma sana kuhusu Simba dah Jana nimelala na viatu kabisa kila nikishtuka nashtuka goal 5 dah haya bhna..
kwanza kabla sijawapa jinsi ya kufanya naomba kwanza mjue upungufu wa nguvu za kiume huweza kusababishwa na nini
upungufu wa nguvu husabishwa na vitu kadhaa..
Magonjwa mbalimbali huchangia Tatizo hili
kuna magonjwa mengi sana yanaweza kusababisha hili tatizo yakiwemo magonjwa ya moyo na magonjwa mengine ya mishipa ya damu ambayo yanaweza kuzuia au kufanya ugumu wa mtiririko wa damu kwenye sehemu za uume, kusababisha uume kukosa nguvu ama kushindwa kujaza damu inavyostahili (Kusimamisha) ..mengine ni kama kisukari, ugonjwa wa moyo, shinikizo la damu, nk
Vyakula kuna baadhi ya vyakula huchangia kuleta hil8 tatizo
Matatizo ya Kisaikolojia na kihisia: watu wenye stress
, wasiwasi,uoga na hasira kama zanvu jana dah Kufungwa na yanga kabisa duh ok tuendeelee..
Matumizi ya Dawa: Baadhi ya dawa, kama vile baadhi ya dawa za shinikizo la damu, dawa za kulevya, na madawa mengine yanaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
ubonge na Lishe: Unene uliopitiliza na lishe isiyofaa inaweza kusababisha matatizo ya moyo na kisukari, na pia yanaweza kusababisha kujengeka kwa layer ya mafuta au inaitwa choresteral kwenye mishipa ya damu na hivyo kupunguza kipenyo cha mishipa ya damu na kusababisha uume kushinda kusimama vizuri (lege lege) au kushindea kabisa kusimamisha
Matatizo ya Homoni: Kushuka kwa viwango vya homoni za kiume, kama vile testosterone, ambayo ndo huongeza libido (Nyege) pia lunaweza kuchangia
kwa leo mwisho itakuwa ni
Matumizi ya Pombe na
Tumbaku: Matumizi ya pombe kupita kiasi na tumbaku yanaweza kuathiri afya ya mishipa ya damu na hivyo kushindwa kuzitandika 5G
ila dah jamani inauma nyinyi Goal 5...
KWAHIYO WATU WOTE WANATOFAUTIANA KATIKA SABABU ZA UPUNGUFU NI VYEMA KUHAKIKISHA UNATIBU TATIZO KABISA KAMA SIO KUPUNGUZA..
KWAHYO NAKARIBISHA MASWALI KABLA SIJAENDELEA..
ILA 5 ZINAUMA...
So kama kuna swali ili kuendelea
CC:
ninjajr Labani og Division One DAVID PALMER