Je! umeomba kujiunga na Jeshi la Polisi?

Jaman wadau nawaombeni mnijuze juu ya zile nafasi a volunteers zilizokuwa zmetangazwa na GIO June 2014 na mwesho wa kutuma maombi ilikuwa ni 31july...........na training yao ilikuw ianze leo tareh 6 /09/2014, maana naona kimya kingi kutoka waliponitumia e mail yao ya kunitaarfu kuw nimefanikiwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa short listed candidates. Na wakasema nitume kiasi cha Tsh 50000 kwa mpesa , nikatuma na baada ya hapo wakaniahid kunitumia email ya ratiba ya training ambayo ilitakiwa ianzae leo. cha kushangaza sijapata hyo email yao na hata namba yao yacmu haipatikan naombeni mnipe jibu waungwana maana kitaan pagumu jaman..................

Pole sana, ule ulikua mchezo wa watoto wa mjini, umeliwa mkuu
 
Nilichogundua ni kuwa vijana ni wavivu sana wa kufikiri,mnakuwa wepesi kumwamini mtu kirahisi sana.
 
Jaman wadau nawaombeni mnijuze juu ya zile nafasi a volunteers zilizokuwa zmetangazwa na GIO June 2014 na mwesho wa kutuma maombi ilikuwa ni 31july...........na training yao ilikuw ianze leo tareh 6 /09/2014, maana naona kimya kingi kutoka waliponitumia e mail yao ya kunitaarfu kuw nimefanikiwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa short listed candidates. Na wakasema nitume kiasi cha Tsh 50000 kwa mpesa , nikatuma na baada ya hapo wakaniahid kunitumia email ya ratiba ya training ambayo ilitakiwa ianzae leo. cha kushangaza sijapata hyo email yao na hata namba yao yacmu haipatikan naombeni mnipe jibu waungwana maana kitaan pagumu jaman..................

Umetapeliwa.. Pole sana..
 
Daahh watu wanalalamikia kazi za polisi

mi binafsi hata nikafuatwa leo sipendi kazi ya upolisi
 
Kawaida swala la umri wangefika angalau 27 kama jeshi la wananchi wanavyofanya, coz wengi wanao maliza chuo wakiwa na 26,27, so baadhi ya vigezo havina maana kama swala la umri coz mtu mwenye 26 na 27 bado ni vijana tena wenye nguvu na hawana tofauyi na 25, pili kingine baadhi ya vigezo wanavyoweka sijajua wanakuwa wamelenga kupunguza idadi ya watu sasa huyu mwenye 26 mnataka akaylfanye kazi wapi
 
Hujakosea ndugu yangu yoote nimeafiki ila tatizo linalokuja hata kutoa hiyo elimu kuna taabu nyingi,uelewa wa watu unatofautiana na wengi wa wenye kuelewa haraka hawapo ktk nafasi muhimu za kuweza badili njia.Sasa waliobaki ni wale walioktk tabaka la walionazo na walio na influence.

Hatuna ujanja hapa tunatakiwa kulijua soko kwa haraka sana, haraka inayozidi hii haraka ya ubadilikaji wa mambo ili tuweze kuikuta dunia na kuanza kwenda nayo. Na pia hatutoweza fika kwa pamoja nchi nzima na wengine hatutofika kabisa.

Ndio maana ninasema elimu sahihi na kuachia time iamue tutakuwa wapi.Tutakuwa uchochoro wa wenzetu kwa kipindi kwani hatuna ujanja. Cha msingi ni kujaribu punguza madhara ya kupokonywa vyote kabla hatujazibuka. Yaani hata hao vipofu wakitupwa mjini wengi kama watafuata njia tofauti ipo chance baadhi wakapona pengine wataanguka ktk rescue team, wengine wataanguka mashimoni wengine watagongwa, etc.

Hapa kidogo nataka elezea kidogo concept ya adapatability na evolution kwa maan isiyo ya kibayojoa sana. Yaani wapo watakaojifunza mazingira na kuweza jua watakavyojibadili na kuweza yatumia kwa faida ya upande wao. Ila bado hatutafika pamoja na mwishowe tutakuwa na ugonjwa mwingine wa kutibu yaani kuwa na watu wachache walioshikilia uchumi uliokuwa km ilivyo kwa nchi km India, South Africa etc. Si muda mrefu utakuta watu chini ya 10% wakishikilia 99.999% ya uchumi wa nchi inayoweza itwa imepiga hatua. Pengine tutakuwa tumerusha rocket anga za juu, tunauza bidhaa na elimu, tuna neuclear na mengine wanayoweza angalia nayo nguvu ya taifa. Ila yote yakabaki kwa vigogo.

Bado ni bora hata hao wachache waokoe kila kitu then baadaye tuanze fanya mabadiliko ya ndani km dilution ili kupata mchanganyiko safi na baadaye kuweza poteza hii sumu ya ujinga.

Wamekuotea mkuu
 
Kawaida swala la umri wangefika angalau 27 kama jeshi la wananchi wanavyofanya, coz wengi wanao maliza chuo wakiwa na 26,27, so baadhi ya vigezo havina maana kama swala la umri coz mtu mwenye 26 na 27 bado ni vijana tena wenye nguvu na hawana tofauyi na 25, pili kingine baadhi ya vigezo wanavyoweka sijajua wanakuwa wamelenga kupunguza idadi ya watu sasa huyu mwenye 26 mnataka akaylfanye kazi wapi
Hata JWTZ ni miaka 25 mkuu., soma sifa za kujiunga na JWTZ kwny website yao
 
Kweli Tanzania hali ya maiaha ni ngumu, yani inafikia hatua hata kazi ya jeshi unaililia! Eu não acredito, mimi hata nifuatwe nilazimishwe siitaki, vala á pena nishike mbopo nikalime.
 
Hata JWTZ ni miaka 25 mkuu., soma sifa za kujiunga na JWTZ kwny website yao

Ujaelewa mkuu au haujaulizia wahusika wakakuambia, usimuulizie mtu ambaye ni mwanajeshi bora liende, miaka 18-25 kama una elimu ya sekondari (O'level - A'level) ambazo interview zinafanyika wilayani na mikoani, lkn JWTZ kwa maProfessionals mwisho miaka 33, tafuta mtu alyeingia JWTZ akiwa Professional dats why even Interview za professional znafanyika Dar es salaam tu.
 
Mkuu...
Kwanza khabar za asubuh...
Mimi kwangu ni njema kabisa. Ila mi napenda kuuliza hivi hizi habar ambazo znaenea mtaani kuwa polisi wamejaza kontena kama tatu ivi za barua za maombi ni ya kweli..?
 
vigezo vingne si vya msingi,mfano umri,kuoa au kutoolewa,na mwaka wa kumaliza masomo.Darasa la kwanza nimeanza na miaka 7 nikamaliza na miaka 14,o level nmemaliza nina miaka 18,advance nimemaliza 20,nikakaa home mwaka mmoja,nikasoma diploma ya pharmacy miaka mitatu(mpaka hapo nina 25)nikafanya kibarua mwaka 1 na kuoa kabisa,then nikasoma MD kwa miaka 5 hapo niko na 30 miaka.

Natunzamwili wangu nafanya mazoezi so depo haitanisumbua.Je nikiomba polisi utaniambia sina vigezo?

hapo mdau naona hupati angalia job description tena fact ya umri na completion date:flame:
Only shortlisted candidates will get chance
 
Hahah:tz bwana blah blah kibao;msihofu mlioapply kuweni na moyo wa subira mnaweza mkapata hzo nafasi ;who knows
 
Mkuu...
Kwanza khabar za asubuh...
Mimi kwangu ni njema kabisa. Ila mi napenda kuuliza hivi hizi habar ambazo znaenea mtaani kuwa polisi wamejaza kontena kama tatu ivi za barua za maombi ni ya kweli..?

Tutakuthibitishia vp ikiwa sisi sio wahusika na pia ikiwa na sisi tunasikia hizo habari kama wewe?vp uliapply nini?coz yaonyesha umeshapata shock
 
Mwanzoni mwa mwezi wa 8 jeshi la polisi lilitangaza nafasi za ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu kwa mwaka 2013/14.

Maelekezo yalikuwa wazi kabisa ni watu wa aina gani na wenye proffesionals gan walikiwa wakihitajika! Kwa mujibu wa registra wa mafunzo wa vyuo vya polisi, 90% of applicants hawakukidhi mahitaji!

Jeshi lilihitaji watu wenye taaluma za Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala katika Utumishi wa Umma, Uchumi, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji[BaLE], Sheria, Ualimu, Maendeleo ya Jamii, Uandishi wa Habari, Uandishi wa Habari za Michezo, Mawasiliano ya Umma, TV & Redio Production, Michezo, Ugavi[BA in Procurement & Supplies], Mawasiliano ya Redio[Bsc in Radio Communication], Mazingira[BA in Environmental Disaster Mgt], Uhandisi Mitambo, Uhandisi Madini[Mining Engineering], Uchoraji[BA in Fine Arts], Fedha na Benki[Finance & Banking], Daktari[Medical Doctor] na Daktari wa Meno[Dental Surgeon], Mkemia, Bailojia[Molecular Biology]. Kwa ngazi ya degree na Utunzaji Kumbukumbu, Katibu Muhutasi[Personal Secretaries], Mawasiliano ya Redio, Matengenezo ya Kompyuta, Fax na Photocopy Machines, Mafundi Mitambo wa Meli, Mafundi Umeme wa Magari, Ugavi[Procurement & Supplies], TV na Video Production, Manahodha, Tabibu[Clinical Officer], Tabibu wa Meno[Dental Therapist], Mzoeza Viungo[Psysiotherapist/Occupational Therapist], Fundi Sanifu Mionzi[Radiographer] na Fundi Sanifu Macho[Optometrist]. Kwa ngazi ya diploma, lakini cha kushangaza 90% ya waombaji sio qualified. Wengi wao:

(i) sio proffesionals kwa fani tajwa. Yani fani zao hazikutajwa kwenye tangazo

(ii) sio wahitimu kwa mwaka wa masomo 2013/14. Yani fani zao zilitajwa lakini wao ni wahitimu wa miaka ya nyuma

(iii) hawajakidhi kigezo cha umeri, jeshi lilitaka watu wenye umri kati ya miaka 18-25. Cha ajabu wengi wamefoji vyeti vya kuzaliwa bila kujua kuwa hata secondary school leaving certificates zina tarehe za kuzaliwa ivyo kujikuta tarehe iliyopo kwenye cheti cha kuzaliwa na leaving certficate hazifanani!

(iv) hawajatuma nyaraka zote zilizokuwa zikihitajika yani cheti cha kuzaliwa, vyet vya kumaliza sekondary na vyeti vya matokeo, provisonal reaults za chuo.

Swali la muhimu la kujiuliza wewe uliyeomba, je unakidhi vigezo?

May be;japo hatuwezi kuamini taarifa za mtoa Uzi lakn yawezekana;salsa ewe uliyeapply jiulize kama 90% hawajakidhi vigezo;je hzo 10% utakuwepo??
 
Yaa kwan hata wakichukua mtu mmoja sijazidi moja mie ndo unambie 10% tena uhakika m2pu we nijalie tarehe ya usaili tu au kwa uzoefu huwa inachukua muda gan toka deadline ya ku2ma application had usaili?
 
Mwanzoni mwa mwezi wa 8 jeshi la polisi lilitangaza nafasi za ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu kwa mwaka 2013/14.

Maelekezo yalikuwa wazi kabisa ni watu wa aina gani na wenye proffesionals gan walikiwa wakihitajika! Kwa mujibu wa registra wa mafunzo wa vyuo vya polisi, 90% of applicants hawakukidhi mahitaji!

Jeshi lilihitaji watu wenye taaluma za Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala katika Utumishi wa Umma, Uchumi, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji[BaLE], Sheria, Ualimu, Maendeleo ya Jamii, Uandishi wa Habari, Uandishi wa Habari za Michezo, Mawasiliano ya Umma, TV & Redio Production, Michezo, Ugavi[BA in Procurement & Supplies], Mawasiliano ya Redio[Bsc in Radio Communication], Mazingira[BA in Environmental Disaster Mgt], Uhandisi Mitambo, Uhandisi Madini[Mining Engineering], Uchoraji[BA in Fine Arts], Fedha na Benki[Finance & Banking], Daktari[Medical Doctor] na Daktari wa Meno[Dental Surgeon], Mkemia, Bailojia[Molecular Biology]. Kwa ngazi ya degree na Utunzaji Kumbukumbu, Katibu Muhutasi[Personal Secretaries], Mawasiliano ya Redio, Matengenezo ya Kompyuta, Fax na Photocopy Machines, Mafundi Mitambo wa Meli, Mafundi Umeme wa Magari, Ugavi[Procurement & Supplies], TV na Video Production, Manahodha, Tabibu[Clinical Officer], Tabibu wa Meno[Dental Therapist], Mzoeza Viungo[Psysiotherapist/Occupational Therapist], Fundi Sanifu Mionzi[Radiographer] na Fundi Sanifu Macho[Optometrist]. Kwa ngazi ya diploma, lakini cha kushangaza 90% ya waombaji sio qualified. Wengi wao:

(i) sio proffesionals kwa fani tajwa. Yani fani zao hazikutajwa kwenye tangazo

(ii) sio wahitimu kwa mwaka wa masomo 2013/14. Yani fani zao zilitajwa lakini wao ni wahitimu wa miaka ya nyuma

(iii) hawajakidhi kigezo cha umeri, jeshi lilitaka watu wenye umri kati ya miaka 18-25. Cha ajabu wengi wamefoji vyeti vya kuzaliwa bila kujua kuwa hata secondary school leaving certificates zina tarehe za kuzaliwa ivyo kujikuta tarehe iliyopo kwenye cheti cha kuzaliwa na leaving certficate hazifanani!

(iv) hawajatuma nyaraka zote zilizokuwa zikihitajika yani cheti cha kuzaliwa, vyet vya kumaliza sekondary na vyeti vya matokeo, provisonal reaults za chuo.

Swali la muhimu la kujiuliza wewe uliyeomba, je unakidhi vigezo?

na kwa wale wenye ajira serikalini inakuwaje?watachukuliwa mkuu?!
 
Acheni tamaa, wapeni wengine nafasi, nao waonje ladha ya kukinga kila end month.. Aiiii mbona mnakuwa hivooo
 
Mi naomba kuuliza ni siku gani ya interview coz Kuna SMS ilitumwa ambayo nadhani ilikuwa ya polisi kama sikosei ila bahati mbaya mtu aliyekuwa na simu wakati huo akafuta bila kujua kama Kuna mtu anajua naomba aniambie asanteni sana.
Jeshi la Polisi litatoa majina ya watakaokuwa wamechaguliwa kwenda kwenye hatua ya usaili yani interview! Ikumbukwe kuwa usahili wote utafanywa kwenye ofisi za wakuu wa Polisi wa mikoa (RPC) ivyo kituo cha usaili ni ule mkoa ulioujaza kwenye form yako ya maombi.
 
Jaman naomba tujuzaje cku ya interview...................maana hii t mmmmmmmmmmmmmmmmh!
Tafadhali endelea kutembelea tovuti ya jeshi la Polisi! Jeshi litatoa orodha ya majina ya vijana waliochaguliwa! Pia kutakuwa na timetable itakayonesha usaili kwa kila mkoa utafanyika lini, usaili utakuwa ukifanyika kwenye ofisi za ma-RPC! Hii itategemea ulijaza mkoa gani wakati wa kuomba!
 
short listed mnatoa line na interview lini!??? Tuanzie hapo kwanza mkuu!

Tafadhali endelea kutembelea tovuti ya jeshi la polisi! Jeshi litatoa majina ya watakaochaguliwa pamoja na ratiba ya usaili kwa kila mkoa. Usaili utafanyika kwenye ofisi za ma-RPC kwa kila mkoa.
 
Back
Top Bottom