Je! umeomba kujiunga na Jeshi la Polisi?

Je! umeomba kujiunga na Jeshi la Polisi?

interview kwa graduates inafanyika Dar pale Tanzania Police Academy Kurasini na wengine watapelekwa sehemu ambazo wamespecialize mf. unahoda lazima waende bandarini all in all interview kwa profession ni Dar es salaam

kila la heri mtakaobahatika Jeshi la police ndio jeshi nzuri kwa kufanya kazi tofauti na maneno ya raia huko mtaani kila siku tuhuma zisizo na maana

Ndicho nilochomwambia huyo jamaa hapo,interview za mikoani ni za o'level na advance level.graduate ni dar es laam.natambua uwepo wako mkuu
 
Hivi professional mzima doctor,lawyer(advocate), engineer,nk unaenda kwenye kazi ya upolisi arrrrgh

hujui km police kuna sector zote ambazo wanatakiwa wajisimamie wenyewe?na kufanya kazi huko ni lazima upitie mafunzo ya police ili ujue kanuni na taratibu,sasa wasipoenda hao professional unataka aende nani au wakachukue wasomi toka wapi?
 
Nimegundua humu ndani kuna watu wako kwa ajiri ya kukashifu tuu.....na dharau kibaooo! Kwani polisi sio kazi!?? Acheni kuzarau kazi za wenzenu ambazo zinawafanya watoto wao wapange foleni ya kwenda chooni! By the way ku-comment sio lazima, we soma kama huna cha maana cha kuongea chapa rapaa!
 
We mtoa mada, wambie wachukue WALE waliochakachua wa uhamiaji.
 
Nimegundua humu ndani kuna watu wako kwa ajiri ya kukashifu tuu.....na dharau kibaooo! Kwani polisi sio kazi!?? Acheni kuzarau kazi za wenzenu ambazo zinawafanya watoto wao wapange foleni ya kwenda chooni! By the way ku-comment sio lazima, we soma kama huna cha maana cha kuongea chapa rapaa!

Hahaaa mkuu hujamuelewa!!!!

Huyu hana vigezo.hasira alizo nazo anaamua kuongea chochote tu.
 
duuuuh, nimegundua humu kuna waropokaji wasio na data. Mapovu yenu katoleeni huko far away.....vigezo vyote walivyosema ninavyo. Nasubiri interview. Mbn form ilionyesha kila kitu clear! Tangu nijue tareh yangu ya kuzaliwa cjawah kuisahau na sina haja ya kufoji cheti, mzee wangu alinitafutia cheti kabla hata cjawa na akili-3yrs old. Tufanye hivi, 10% safe basi nami nimo. Aaaah nyie mnaodiss upolice hamna sera. Zaman ndio ilikua sio dili but nowadays things hv changed so the job too.
 
kwani mkuu jamaa kataja majina, au kakutaja kuwa ww ndo ume foji cheti!? Duuuh!
 
Jaman tukubali kuwa kila mtu kuna anayoipenda

binafsi sipendi kazi ya jeshi la aina yoyote.. Nawaachia wanayoipenda

maana ili kaz uifanye kwa moyo hatua ya kwanza ni kuipenda
 
Mwanzoni mwa mwezi wa 8 jeshi la polisi lilitangaza nafasi za ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu kwa mwaka 2013/14.

Maelekezo yalikuwa wazi kabisa ni watu wa aina gani na wenye proffesionals gan walikiwa wakihitajika! Kwa mujibu wa registra wa mafunzo wa vyuo vya polisi, 90% of applicants hawakukidhi mahitaji!

Jeshi lilihitaji watu wenye taaluma za Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala katika Utumishi wa Umma, Uchumi, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji[BaLE], Sheria, Ualimu, Maendeleo ya Jamii, Uandishi wa Habari, Uandishi wa Habari za Michezo, Mawasiliano ya Umma, TV & Redio Production, Michezo, Ugavi[BA in Procurement & Supplies], Mawasiliano ya Redio[Bsc in Radio Communication], Mazingira[BA in Environmental Disaster Mgt], Uhandisi Mitambo, Uhandisi Madini[Mining Engineering], Uchoraji[BA in Fine Arts], Fedha na Benki[Finance & Banking], Daktari[Medical Doctor] na Daktari wa Meno[Dental Surgeon], Mkemia, Bailojia[Molecular Biology]. Kwa ngazi ya degree na Utunzaji Kumbukumbu, Katibu Muhutasi[Personal Secretaries], Mawasiliano ya Redio, Matengenezo ya Kompyuta, Fax na Photocopy Machines, Mafundi Mitambo wa Meli, Mafundi Umeme wa Magari, Ugavi[Procurement & Supplies], TV na Video Production, Manahodha, Tabibu[Clinical Officer], Tabibu wa Meno[Dental Therapist], Mzoeza Viungo[Psysiotherapist/Occupational Therapist], Fundi Sanifu Mionzi[Radiographer] na Fundi Sanifu Macho[Optometrist]. Kwa ngazi ya diploma, lakini cha kushangaza 90% ya waombaji sio qualified. Wengi wao:

(i) sio proffesionals kwa fani tajwa. Yani fani zao hazikutajwa kwenye tangazo

(ii) sio wahitimu kwa mwaka wa masomo 2013/14. Yani fani zao zilitajwa lakini wao ni wahitimu wa miaka ya nyuma

(iii) hawajakidhi kigezo cha umeri, jeshi lilitaka watu wenye umri kati ya miaka 18-25. Cha ajabu wengi wamefoji vyeti vya kuzaliwa bila kujua kuwa hata secondary school leaving certificates zina tarehe za kuzaliwa ivyo kujikuta tarehe iliyopo kwenye cheti cha kuzaliwa na leaving certficate hazifanani!

(iv) hawajatuma nyaraka zote zilizokuwa zikihitajika yani cheti cha kuzaliwa, vyet vya kumaliza sekondary na vyeti vya matokeo, provisonal reaults za chuo.

Swali la muhimu la kujiuliza wewe uliyeomba, je unakidhi vigezo?
Mi napenda kuuliza mtu aliyesoma Psychology anapojiunga na PT anakua na majukumu gani maana jeshi la police halioneahi vzr wataalamu wake wanafanya kazi gani kama tpdf
 
Mi napenda kuuliza mtu aliyesoma Psychology anapojiunga na PT anakua na majukumu gani maana jeshi la police halioneahi vzr wataalamu wake wanafanya kazi gani kama tpdf

Mkuu wa Psychology anakua ktk kitengo chake maana wana ufahamu mkubwa juu ya social psychology pia katika idara ya upelelezi wanafit ku deal na watuhumiwa kama officers
Only who knows the meaning shall grasp the means...:bump:
 
Na ni baada ya kumaliza CCP ndo unapelekwa ofisini au ofisin ni mpaka ukiwa ofisa baada ya hiyo miaka mi nne nasikia ndo unaweza kwenda kusomea uafisa kwa jeshi la polisi
 
Na ni baada ya kumaliza CCP ndo unapelekwa ofisini au ofisin ni mpaka ukiwa ofisa baada ya hiyo miaka mi nne nasikia ndo unaweza kwenda kusomea uafisa kwa jeshi la polisi

CCP ni hatua ya kwanza mdau, kila polisi anatakiwa apitie mafunzo then baada ya mafunzo ndio wapo watao kwenda kurasini barracks kusomea uafisa tena kozi yenyewe haizidi miezi mi 3 labda kuwe na changes now!!! umenipata mkuu???
Only who knows the meaning shall grasp the means...:bump:
 
CCP ni hatua ya kwanza mdau, kila polisi anatakiwa apitie mafunzo then baada ya mafunzo ndio wapo watao kwenda kurasini barracks kusomea uafisa tena kozi yenyewe haizidi miezi mi 3 labda kuwe na changes now!!! umenipata mkuu???
Only who knows the meaning shall grasp the means...:bump:

Nimekuelewa mdau asante kwa maelekezo basi tuombe uzima nadhan Mungu atajalia but kiukweli mimi napenda sana CID so if psychologist can be placed there fine yani itakua magorii sana asante mkuu
 
Nimekuelewa mdau asante kwa maelekezo basi tuombe uzima nadhan Mungu atajalia but kiukweli mimi napenda sana CID so if psychologist can be placed there fine yani itakua magorii sana asante mkuu
We!! U have to save to the streets first, I mean lazima ulinde kwanza kwa Mabank and offices...
 
We!! U have to save to the streets first, I mean lazima ulinde kwanza kwa Mabank and offices...

How long will a soldier save to the streats mzee??ndo nature ya kazi yenyewe wale madem zetu waliosoma banking and finince lazima tuwaliende kwenye mabenk wakiwa ndani kwenye teller huku uko wewe uko nje na bachelor yakoo umekalinda kwa ndani na silaha mpaka raha hahahaha
 
sasa wewe hujui tu hakuna lindo nzuri kama ya benki b'se wanakulipa tofauti na mshahara wako hivyo you can make more money natamani kila siku niwe lindo la bank halafu wale madem wanaofanya kazi banks wanakubali sana solders hivyo ukitaka unakamatia hapohapo na ukitembea naye njiani wanakuwa wanajiamini
 
Hahahahaaaa yeah, that whatssap, cjui wanaita lini??? Coz nna ham ya kushika ile aka 47...
 
Back
Top Bottom