Je! umeomba kujiunga na Jeshi la Polisi?

Mkuu...
Kwanza khabar za asubuh...
Mimi kwangu ni njema kabisa. Ila mi napenda kuuliza hivi hizi habar ambazo znaenea mtaani kuwa polisi wamejaza kontena kama tatu ivi za barua za maombi ni ya kweli..?

Hakuna kitu kama hicho! Ni kweli maombi ni mengi na kama Registra anavyoclaim as a result of many unqualified application
 
Training ya uhamiaji lini jamani. Ile nafasi ya wakaguzi wasaidi
 
Mwanzoni mwa mwezi wa 8 jeshi la polisi lilitangaza nafasi za ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu kwa mwaka 2013/14.

Maelekezo yalikuwa wazi kabisa ni watu wa aina gani na wenye proffesionals gan walikiwa wakihitajika! Kwa mujibu wa registra wa mafunzo wa vyuo vya polisi, 90% of applicants hawakukidhi mahitaji!

Jeshi lilihitaji watu wenye taaluma za Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala katika Utumishi wa Umma, Uchumi, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji[BaLE], Sheria, Ualimu, Maendeleo ya Jamii, Uandishi wa Habari, Uandishi wa Habari za Michezo, Mawasiliano ya Umma, TV & Redio Production, Michezo, Ugavi[BA in Procurement & Supplies], Mawasiliano ya Redio[Bsc in Radio Communication], Mazingira[BA in Environmental Disaster Mgt], Uhandisi Mitambo, Uhandisi Madini[Mining Engineering], Uchoraji[BA in Fine Arts], Fedha na Benki[Finance & Banking], Daktari[Medical Doctor] na Daktari wa Meno[Dental Surgeon], Mkemia, Bailojia[Molecular Biology]. Kwa ngazi ya degree na Utunzaji Kumbukumbu, Katibu Muhutasi[Personal Secretaries], Mawasiliano ya Redio, Matengenezo ya Kompyuta, Fax na Photocopy Machines, Mafundi Mitambo wa Meli, Mafundi Umeme wa Magari, Ugavi[Procurement & Supplies], TV na Video Production, Manahodha, Tabibu[Clinical Officer], Tabibu wa Meno[Dental Therapist], Mzoeza Viungo[Psysiotherapist/Occupational Therapist], Fundi Sanifu Mionzi[Radiographer] na Fundi Sanifu Macho[Optometrist]. Kwa ngazi ya diploma, lakini cha kushangaza 90% ya waombaji sio qualified. Wengi wao:

(i) sio proffesionals kwa fani tajwa. Yani fani zao hazikutajwa kwenye tangazo

(ii) sio wahitimu kwa mwaka wa masomo 2013/14. Yani fani zao zilitajwa lakini wao ni wahitimu wa miaka ya nyuma

(iii) hawajakidhi kigezo cha umeri, jeshi lilitaka watu wenye umri kati ya miaka 18-25. Cha ajabu wengi wamefoji vyeti vya kuzaliwa bila kujua kuwa hata secondary school leaving certificates zina tarehe za kuzaliwa ivyo kujikuta tarehe iliyopo kwenye cheti cha kuzaliwa na leaving certficate hazifanani!

(iv) hawajatuma nyaraka zote zilizokuwa zikihitajika yani cheti cha kuzaliwa, vyet vya kumaliza sekondary na vyeti vya matokeo, provisonal reaults za chuo.

Swali la muhimu la kujiuliza wewe uliyeomba, je unakidhi vigezo?

mbona hueleweki? hiyo secondary leaving certificate kwani nani aliweka kama ni nyaraka mojawapo? kumbuka cheti cha iv/vi ndo nyaraka ambayo inahitajika. sasa hiyo living iliendaje huko?

jipange upya
 
mnafanya selection kwa kuzingatia vigezo vyenu vyote au kuna baadhi mmevipitia upya na kuvirekebisha km umri,urefu,mwaka wa kumaliza masomo..etc
 
initial selection is based on the criterios indicated on advertisement. But during interview (for selected candidates only) there will be different evaluation criterios basing on specific proffesion and as desired by the team.
 
Jaman wadau nawaombeni mnijuze juu ya zile nafasi a volunteers zilizokuwa zmetangazwa na GIO June 2014 na mwesho wa kutuma maombi ilikuwa ni 31july...........na training yao ilikuw ianze leo tareh 6 /09/2014, maana naona kimya kingi kutoka waliponitumia e mail yao ya kunitaarfu kuw nimefanikiwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa short listed candidates. Na wakasema nitume kiasi cha Tsh 50000 kwa mpesa , nikatuma na baada ya hapo wakaniahid kunitumia email ya ratiba ya training ambayo ilitakiwa ianzae leo. cha kushangaza sijapata hyo email yao na hata namba yao yacmu haipatikan naombeni mnipe jibu waungwana maana kitaan pagumu jaman..................

Haahaa! TAPELIZ haooo! Umeliwa Mjomba..
 
initial selection is based on the criterios indicated on advertisement. But during interview (for selected candidates only) there will be different evaluation criterios basing on specific proffesion and as desired by the team.

I mean selection hii ya short list ili waende kwenye interview,vigezo ni vilevile?maana 90% hawana sifa au ndo mnatumia hiyo 10% tu?
 
mbona hueleweki? hiyo secondary leaving certificate kwani nani aliweka kama ni nyaraka mojawapo? kumbuka cheti cha iv/vi ndo nyaraka ambayo inahitajika. sasa hiyo living iliendaje huko?

jipange upya

mkuu rudi tena kasome tangazo! Vyote vilikuwa vinahitajika! Pole sana!
 
Jeshi la Polisi litatoa majina ya watakaokuwa wamechaguliwa kwenda kwenye hatua ya usaili yani interview! Ikumbukwe kuwa usahili wote utafanywa kwenye ofisi za wakuu wa Polisi wa mikoa (RPC) ivyo kituo cha usaili ni ule mkoa ulioujaza kwenye form yako ya maombi.

Wewe inaelekea huna ulijualo kuhusu police.interview kwa graduate zinafanyikia wapi??embu chunguza tena
 
Sio kila anaepost humu unadhani yupo kwa ajili ya kupoteza muda na ku-discourage watu kama wewe! Wengine wamefungua account JF kwa ajili ya kuwasaidia watu wengine kwa sababu kumeonekana kuna haja ya kufanya hivyo! Upo mkoa gani? Nenda kwenye tovuti ya jeshi kisha angalia timetable ya interview kwa mkoa wako kwa vijana waliomaliza form six ambao wamechaguliwa kwenda hatua ya usaili ni lini? Unadhani siku hizi jeshi linaajiri kama zamani eti kwa kuwa una nguvu tu!? No, the world has changed so the level of science & technology! The force has no more rooms for illeterates! jeshi linafanyisha waombaji interview.
 
Interview ziazofanyika mikoani ni za o'level and A level only.unachakuongeza??
 
mbona hueleweki? hiyo secondary leaving certificate kwani nani aliweka kama ni nyaraka mojawapo? kumbuka cheti cha iv/vi ndo nyaraka ambayo inahitajika. sasa hiyo living iliendaje huko?

jipange upya

Inawezekana kweli 90% hawakukidhi mahitaji.
 
mbona hueleweki? hiyo secondary leaving certificate kwani nani aliweka kama ni nyaraka mojawapo? kumbuka cheti cha iv/vi ndo nyaraka ambayo inahitajika. sasa hiyo living iliendaje huko?

jipange upya

nwdayz huezi kutuma vyeti bila leavng certificate....hasa kukiwa na kigezo cha umri.
 
Wewe inaelekea huna ulijualo kuhusu police.interview kwa graduate zinafanyikia wapi??embu chunguza tena

interview kwa graduates inafanyika Dar pale Tanzania Police Academy Kurasini na wengine watapelekwa sehemu ambazo wamespecialize mf. unahoda lazima waende bandarini all in all interview kwa profession ni Dar es salaam

kila la heri mtakaobahatika Jeshi la police ndio jeshi nzuri kwa kufanya kazi tofauti na maneno ya raia huko mtaani kila siku tuhuma zisizo na maana
 
Mwanzoni mwa mwezi wa 8 jeshi la polisi lilitangaza nafasi za ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu kwa mwaka 2013/14.

Maelekezo yalikuwa wazi kabisa ni watu wa aina gani na wenye proffesionals gan walikiwa wakihitajika! Kwa mujibu wa registra wa mafunzo wa vyuo vya polisi, 90% of applicants hawakukidhi mahitaji!

Jeshi lilihitaji watu wenye taaluma za Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala katika Utumishi wa Umma, Uchumi, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji[BaLE], Sheria, Ualimu, Maendeleo ya Jamii, Uandishi wa Habari, Uandishi wa Habari za Michezo, Mawasiliano ya Umma, TV & Redio Production, Michezo, Ugavi[BA in Procurement & Supplies], Mawasiliano ya Redio[Bsc in Radio Communication], Mazingira[BA in Environmental Disaster Mgt], Uhandisi Mitambo, Uhandisi Madini[Mining Engineering], Uchoraji[BA in Fine Arts], Fedha na Benki[Finance & Banking], Daktari[Medical Doctor] na Daktari wa Meno[Dental Surgeon], Mkemia, Bailojia[Molecular Biology]. Kwa ngazi ya degree na Utunzaji Kumbukumbu, Katibu Muhutasi[Personal Secretaries], Mawasiliano ya Redio, Matengenezo ya Kompyuta, Fax na Photocopy Machines, Mafundi Mitambo wa Meli, Mafundi Umeme wa Magari, Ugavi[Procurement & Supplies], TV na Video Production, Manahodha, Tabibu[Clinical Officer], Tabibu wa Meno[Dental Therapist], Mzoeza Viungo[Psysiotherapist/Occupational Therapist], Fundi Sanifu Mionzi[Radiographer] na Fundi Sanifu Macho[Optometrist]. Kwa ngazi ya diploma, lakini cha kushangaza 90% ya waombaji sio qualified. Wengi wao:

(i) sio proffesionals kwa fani tajwa. Yani fani zao hazikutajwa kwenye tangazo

(ii) sio wahitimu kwa mwaka wa masomo 2013/14. Yani fani zao zilitajwa lakini wao ni wahitimu wa miaka ya nyuma

(iii) hawajakidhi kigezo cha umeri, jeshi lilitaka watu wenye umri kati ya miaka 18-25. Cha ajabu wengi wamefoji vyeti vya kuzaliwa bila kujua kuwa hata secondary school leaving certificates zina tarehe za kuzaliwa ivyo kujikuta tarehe iliyopo kwenye cheti cha kuzaliwa na leaving certficate hazifanani!

(iv) hawajatuma nyaraka zote zilizokuwa zikihitajika yani cheti cha kuzaliwa, vyet vya kumaliza sekondary na vyeti vya matokeo, provisonal reaults za chuo.

Swali la muhimu la kujiuliza wewe uliyeomba, je unakidhi vigezo?
Hivi professional mzima doctor,lawyer(advocate), engineer,nk unaenda kwenye kazi ya upolisi arrrrgh
 
Kama unatafuta kazi,upolisi sio kazi ule ni wito mkuu ndio maana ni wanaume tu ndio wanajiunga ila wakiume hawawezi.

Fanya kazi mkuu jeshi huwezi.
 
Back
Top Bottom