UK Special forces (SAS) wana usemi huu
"Who Dares Wins"
if u take calculated Risk,with no fear of loosing,after few failures and Trials success is guaranteed. kuna rich Dad/Poor Dad then Soma Kitabu chake cha The Four Quadrants by the same Author. ninaplan ya kufungua Kitaa Academy- street academy based on this Authors books.Tatizo bado sijakamilisha projects ambazo nataka nizitumie kama mfano hai ktk haya madarasa.kwa sasa bado nafanyia kazi elimu niliyoipata kutoka katika vitabu hivi.
Hivi vitabu vinasaidia sana, hicho cha Four quadrants sijakiona. Kuna fursa nyingi sana, kuna mmoja anasema, dhahabu iko kila mahali, tatizo watu hawajafundishwa namna ya kuitambua dhahabu iliyo ktk mazingira yake.
Pale Bongo naweza pata wapi hicho kitabu cha Four Quadrants mkuu?
Have a nice day.
Mimi nilikwisha wahi kutuma hizo kwadrants hapa maalim. ngoja ntazirudisha. lakini na huyu mwenzetu anaetaka kufungua hicho Kitaa chake nadhani anahitaji msaada kuwa more efficiency yani ili kua shule more successful wanafunzi.
Just ask Invisible awapakulie vitabu hivi hapa pia...........vina mambo muhimu sana ya kuzingatia
The Richest Man In Babylon - George S. Clason
Trump & Kiyosaki - Why We Want You To BeRich
Robert Kiyosaki - CashFlow Quadrant
Robert Kiyosaki - Retire Rich Retire Young
Robert Kiyosaki - Freedom or Security
Robert Kiyosaki - Rich Dad's Guide to Investing
Huyo ni jasiri na anastahili pongezi,ngoja na mimi nikamsome.kuna mahali nimepita kwenye blog moja hivi nimekutana na mtu ambae amedare to try nadhani amesoma hivi vitabu cz kitu alichoamua kufanya mm sikuwahi kufikiria lakini namuombea heri afanikiwe mtazame kwa blog inaitwa theblueboxtoday afu ni mbongo msichana
Hivi vitabu vinasaidia sana, hicho cha Four quadrants sijakiona. Kuna fursa nyingi sana, kuna mmoja anasema, dhahabu iko kila mahali, tatizo watu hawajafundishwa namna ya kuitambua dhahabu iliyo ktk mazingira yake.
Pale Bongo naweza pata wapi hicho kitabu cha Four Quadrants mkuu?
Have a nice day.
malila.. The Richest Man In Babylon - George S. Clason pia kinapatikana Mlimani City bookshop... bei yake nadhani haizidi 20,000/=
mimi kwa sasa nina library ya:
-Trump & Kiyosaki - Why We Want You To BeRich (20,000)
Robert Kiyosaki - CashFlow Quadrant (17,000)
Napoleon Hill Think and Grow Rich (hiki nilikinunua 10,000 kwa machinga mmoja)
Trump- Think Big
pia nashauri nununueni CD titled "siri za Eric Shigongo" kwa kweli ni nzuri sana maana anaeleza how youo can be successful- bei si kubwa ni 5,000/= tu au kwa lugha nyingine ni chupa tatu za bia (kwa wanywao)
mimi next move ni kununua na kusoma Robert Kiyosaki - Rich Dad's Guide to Investing na The Richest Man In Babylon - George S. Clason,. suala litakalolimebaki ni application ya hiyo knowledge.. nawaambia ndugu zangu ukisoma vitabu vya namna hii lazima utabadilika.
Hiki pale mtaani dar nilikiona,kama vipo mitaani niambieni ni mitaa ipi nikavinunue, nitaacha kuchangia send off kama miezi miwili hivi ninunue hazina hii kwa ajili yangu na wanangu.
Mkuu pita Mlimani city pale kuna duka linauza vitabu na hivyo baadhi nilishawahi kuviona pale nadhani liko opp na Tigo au kabla hujafika NMB
Mkuu pita Mlimani city pale kuna duka linauza vitabu na hivyo baadhi nilishawahi kuviona pale nadhani liko opp na Tigo au kabla hujafika NMB
Linaitwa Scolastica Bookshop, wana duka lingine Samora Avenue mita chache kabla hujafika mnara wa askari kama unatokea ppf house. Vitabu nadhani vyote vilivyotajwa hapo juu unaweza vipata hapo, mi nilishachukua hapo richdada/poor dad, na cashflow quadrant, bei si kubwa ukilinganisha na uzito wa ujumbe wenyewe kwny kitabu.
Hiki pale mtaani dar nilikiona,kama vipo mitaani niambieni ni mitaa ipi nikavinunue, nitaacha kuchangia send off kama miezi miwili hivi ninunue hazina hii kwa ajili yangu na wanangu.