Je, Ukiwa home ume “chillax”, inakuwaje?

Je, Ukiwa home ume “chillax”, inakuwaje?

labda hizo ni kochi from chattle
Kuna mafindi locals wakibongo wana uwezo wa kutengeza nzuri zaidi ya hizo. Halafu wanachukia diaspora. Hiyo nchi haiwezi kuendelea bila kuwashirikisha! Hata wachina walifanya hivyo. Na mataifa yote yaliyoendelea.
 
Siku ya Jumapili ni siku ya kupumzika, hivyo ukiona mtu kavaa training shoes ndani, na cap ya kuzuia jua living room usiku akitazama Tiivii, ujue alikuwa ametoka kunyoosha miguu.

P
Kwani mechi ilikuwa saa ngapi? Kama alifanya matembezi baada ya mechi labda. Lakini tena tayari giza limeingia. Kama matembezi yalikuwa marefu, basi hakutizama mechi (assume alianza matembezi juwa bado likiwa halijazama na hivyo kofia kuwa muhimu)
 
Ni kujisahau tuu, ila wengine huvaa kofia za jua all the time hata usiku just for comfort, kama wanaovaa miwani ya jua ndani tena usiku.
P
 
Kila mtu ana namna yake ya ku relax, mfano mimi nikiwa home navaa pence
na t-shirt, vest or casual shirt, is all the time, na chini sandoz or simple, ila kuna siku navaa track siku nimetembelewa na wakwe na kuna siku Paroko wangu alikuja home ndio nikavaa trousers.

Ila pia sisi Wasukuma buana kwa ushamba tuu, tunatia fora, cap is meant for outdoors tena sunny days, hivyo sio ajabu, kofia za indoor na all weather, sii ajabu kumkuta mtu amevaa sun goggles usiku kwenye event.

Niliisha shauri mahali, we have to know the public as well the private of our public figures

Nilifika kwa kiongozi mmoja mkubwa serikalini, nyumba yake iko by the beach na ndani ina swimming pool with pool attendant.

Nilipomdodosa huyu attendant vipi boss mara moja moja ana swim?, jamaa alisema amefanya hapo ten years hakuna hata mara moja baba na mama wameswim!, hata kutoka nje and stroll by the beach, never!.

Kiukweli sisi Wasukuma ndio tunaoongoza kwa kupenda, ila ukikutana na wasiojua kupenda, hata kujipretend hawawezi, baba kule, mama kule ilimradi. Hivyo jameni ndivyo tulivyo.
P
Rais ana watu ambao wamesomea haya na wanalipwa kwa nini wasimuweke Mzee digital? Hata kama alikuwa evening walk basi wange balance maana kofia, raba, suruali ya kitambaa , shati...rangi mvurugano..duh!!
Nakumbuka enzi wa kijijini mtu akipata hela za Tumbaku au Pamba basi ni kwenda mjini kutungua....
 
Hebu mwacheni bana, ni kweli hao watu wapo na kiukweli mpaka sasa hapo alipo ujue wamejitahidi sana, maana tunaokumbuka dress code za watu before and after, kwenye public appearances he's good, I mean he looks good, hivyo kwenye private appearances, mwacheni mzee wetu atupie tupie zile za Usukumani.

Unadhani watu wa aina hiyo hawana shida kwenye maamuzi? Hivi mtu mshamba mwenye pesa na asiye mshamba lakini ana pesa, tofauti yake ni nini haswa? Je mshamba anaweza kufanya maamuzi yenye hasara? Kwasababu washamba wenye mafanikio na pesa wako wengi sana. Nadhani kwenye mpangilio pamoja na matumizi ndo tofauti kabisa! We unaona Je?
 
Back
Top Bottom