Kila mtu ana namna yake ya ku relax, mfano mimi nikiwa home navaa pence
na t-shirt, vest or casual shirt, is all the time, na chini sandoz or simple, ila kuna siku navaa track siku nimetembelewa na wakwe na kuna siku Paroko wangu alikuja home ndio nikavaa trousers.
Ila pia sisi Wasukuma buana kwa ushamba tuu, tunatia fora, cap is meant for outdoors tena sunny days, hivyo sio ajabu, kofia za indoor na all weather, sii ajabu kumkuta mtu amevaa sun goggles usiku kwenye event.
Niliisha shauri mahali, we have to know the public as well the private of our public figures
Nilifika kwa kiongozi mmoja mkubwa serikalini, nyumba yake iko by the beach na ndani ina swimming pool with pool attendant.
Nilipomdodosa huyu attendant vipi boss mara moja moja ana swim?, jamaa alisema amefanya hapo ten years hakuna hata mara moja baba na mama wameswim!, hata kutoka nje and stroll by the beach, never!.
Kiukweli sisi Wasukuma ndio tunaoongoza kwa kupenda, ila ukikutana na wasiojua kupenda, hata kujipretend hawawezi, baba kule, mama kule ilimradi. Hivyo jameni ndivyo tulivyo.
P