Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Ni jambo jema kwaoNaam,ni mama mwenzenu! Na atatuonesha rangi yake halisi.
Mi najaribu kufikiria ni jinsi gani SMZ wamepewa 200bn za corona, nakumbuka kabla ya JPM, bajeti ya mwaka ya SMZ ilikuwa inacheza kwenye 400bn to 500bn, sasa kwenye 1.3trillion, unatoa 230bn kwa SMZ? Nusu ya bajeti yao ya mwaka!
17.69% Vigezo na uwiano ukoje hapa?