Je, ukistaajabu ya Spika Ndugai na Utanganyika utayaona ya Rais Samia na Uzanzibar?

Acha kujifanya unanijua mimi nakukimbia umande wapi na wapi!? 😳😳😳
Ningekuwa nimekimbia umande ningekuwa na najikomba kwenye hilo genge la wahuni la maccm ili nipate TEUZI.

Acha kulia lia,mlipokimbia umande,mkakataa kusoma,ndio faida yake hiyo.Mliambiwa msome,mkawa mnatoroka shule.'Mshike sana elimu,usimuachie',mlionao ni maneno ya utani
 
Nani kakwambia mimi sina kazi ZWAZWA wewe? Unadhani wanaostahili kuikosoa Serikali ni wale WALIOPIGIKA kimaisha tu!? Acha ujinga!!!!

Kama huna elimu,utalia lia,wenye elimu,wanapata kazi mpaka mashirika ya kimataifa
 
vp kashfa ya maaskofu kulawit????tena Vatican kabsa na Papa kuomba msamaha au ulikuwa mtt??
Wahanga wengi wako madrasa na siyo Sunday school!Fuatilia mahakamani kesi za watoto kulawitiwa madrasa ni nyingi sana!
Wewe ni mvaa kanzu,huwezi kudanganya hapa!Eti unaenda kulipua na kuua watu wasio na hatia halafu unasema unaipigania Dini,shwain!
 
Njombe imeshika mkia na parachichi zake sasa umekimbilia huku kuleta hoja za ajabu ajabu.
Ukweli gani? Binafsi ningekuwa Rais ningeweka Waislam wengi Wana utu na ni waaminifu ,aisee Wakristo ni wezi,makatili na wenye majungu Sana.

Ndicho kinaendelea humu jukwaani.
 
Hakuna kauli ya bahati mbaya au jambo la bahati mbaya, Haya yote humtoka mtu moyoni kwani ndio moyo wake umeyajaa yamtokayo

Refer:Uzi wa Pascal Mayalla Unaoongelea Powers of karma na Nguvu za uvutano( Newton's laws of Motion)

Kauli ya Spika Job Ndugai kuwa pesa za korona za msaada wa IMF zigawanywe kwa kufuata idadi ya watu na sio majimbo ilikuwa inailenga Zanzibar na kutaka kuisaidia Tanganyika wengi wanaiita Tanzania bara

Zanzibar ina idadi ndogo sana ya watu hawafiki hata laki sita lakini wana majimbo zaidi ya 20,Ukigawa pesa za korona kwa kufuata majimbo Zanzibar watapata pesa nyingi sana kuliko majimbo ya bara yenye idadi kubwa ya watu

Takribani nusu ya watu wa Zanzibar yaani zaidi ya watu laki tano wanaishi Tanzania bara(Tanganyika) wakijishughulisha na shughuli mbalimbali za Kilimo na biashara , Hivyo wakazi waliopo Zanzibar kama Zanzibar hawazidi laki sita

Je Ndugai sasa somo la katiba mpya linaanza kumuingia kwani kwa miaka mingi Bungeni pesa ziligawanywa kwa kufuata majimbo na Yeye alishiriki kama Spika kupitisha

Kauli ya Rais Samia kuwa Yeye ni mzanzibar ilikuwa ni kutuma ujumbe kwa wale wanaoona sasa anaipendelea Zanzibar kwa kulazimisha kila kitu kinachofanyika bara kifanyike Zanzibar huku watu wa Tanganyika wakitambua Zanzibar ina idadi ndogo ya watu sana


Jimbo la kawe Dar es Salaam lina watu zaidi ya Zanzibar

Jimbo la Mbeya mjini ambalo Spika Ndugai alilitolea mfano lina watu zaidi ya Zanzibar, Jimbo la Mbeya mjini lina watu zaidi ya Milioni moja huku Zanzibar watu hawafiki laki sita

Pesa za msaada wa korona za IMF zikigawanywa kwa kufuata majimbo basi zitasaidia Zanzibar zaidi kuliko Tanganyika,

Pesa za msaada wa korona za IMF zikigawanywa kwa kufuata idadi ya watu wa eneo husika basi zitasaidia zaidi hata kwenye Jimbo la Kongwa la Ndugai

Mtifuano huu wa kauli kuna siku kila mtu atadai nchi yake, Tayari watu walishaanza kuona hali ya upendeleo inaanza kutamalaki kati ya Zanzibar na Tanganyika

Rais Samia amethibitisha kwa kauli yake kuwa Katika teuzi wanaotumbuliwa wanalalamika kuwa ukabila unatumika huku suala la udini Rais Samia akilificha na kutotaka kuliongelea ambayo ndio msingi mkuu wa malalamiko ya watu kwa sasa

Muda ni wakati na Muda ni mwalimu, kuna siku suala la katiba mpya na la kupunguza mamlaka ya Rais litaanzishwa na wana ccm wenyewe Bungeni akiwepo Spika Job Ndugai

=====

View attachment 1971577
Ndugu zake Kalemani hamuishiwi threads za manung'uniko yasiyo na msingi. Wiki hii ya kumbukumbu ya Nyerere na alipozungumzia ukabila inakubidi umeze tu hata kama ni chungu kiasi gani.
Kama bara wapo wengi na Zanzibar idadi yao ni kama Kinondoni kwanini uumie mpaka ufungue uzi?.
 
Huu ni UFINYU mkubwa sana wa akili. Hivi unadhani ni kwanini Katiba inaruhusu kukosoa walio madarakani!? Unadhani huyo Chifu Hang ya ni Mwenyezi Mungu hadi aogopwe kukosolewa anapovurunda!? huo urais wake aliupata kwa njia halali au haramu?
Acha kulia lia,kama huna elimu,nani atakupa kazi?Kama umesoma weka vyeti vyako tuvione hapa.
 
Sio Mdini kabisa. Mlisema waislam hawajasoma wanakalia madrasa tu. Kila teuzi ya mwendazake ilikuwa 1 percent ndio waislam 99 wagalatia. Na mkasema wanachaguliwa kwa elimu zao saiz kelele zinatoka wapi kuna aliechaguliwa bila kuwa na Vigezo?
Umesema kweli tupu.
 
Kweli kabisa mijitu Haina utu. Wabinafsi Baraza lote la mawizir waislam walikuwa hawafiki hata 10. Lakn waislam walikuwa kimya. Saiz gepu linapunguzwa kelele nyingi
Umesema kweli tupu.Walikuwa wanisema waislamu,wamekalia madrasa tu hawasomi.Lete hija hao,waliopewa teuzi,hawakusoma?
 
Mpuuzi kweli wewe!!! Hivi unadhani mimi ni mjinga kiasi gani hadi niweke vyeti vyangu humu. Acha KUKURUPUKA na kujifanya unawajua watu ambao hujui chochote kuhusu wao.

Acha kulia lia,kama huna elimu,nani atakupa kazi?Kama umesoma weka vyeti vyako tuvione hapa.
 
Hilo haliwezi kutokea kamwe! Zanzibar hata ibebwe vipi, siku zote itabakia tu kuwa mnyonge wa Tanganyika.

Na kama wataichezea hii fursa waliyo ipata awamu hii, basi itawalazimu kusubiri miaka mingine 50 ya kuja kumpata Rais mwingine Mzanzibari.
Mkuu si wanasema zamu ya mwinyi kuja kula 10 tena na yy
 
Huyu mama ni kiazi kweli. Eti anasema yeye ni mZanzibar ,eti hana ukabila. Mtu asie na ukabila angesema yeye ni Mtanzania.
Naam,ni mama mwenzenu! Na atatuonesha rangi yake halisi.

Mi najaribu kufikiria ni jinsi gani SMZ wamepewa 200bn za corona, nakumbuka kabla ya JPM, bajeti ya mwaka ya SMZ ilikuwa inacheza kwenye 400bn to 500bn, sasa kwenye 1.3trillion, unatoa 230bn kwa SMZ? Nusu ya bajeti yao ya mwaka!

17.69% Vigezo na uwiano ukoje hapa?
 
Njombe imeshika mkia na parachichi zake sasa umekimbilia huku kuleta hoja za ajabu ajabu.
Pole Sana ndugu,Njombe hakuna vilaza ni Mkoa wa kimkakati na wenye tija kitaifa..

Njombe hiyooo 👇

Screenshot_20211012-195233.png


Screenshot_20211012-195326.png


Screenshot_20211012-195437.png
 
Nimekwambia hayo majina yanapendekezwa na kamati kuu ya ccm,ndio maana hata yeye hakuwazidi wenzake kwenye chama ila akapigishwa agombee u Rais.

Kwa hiyo Samia ndio alimpendekeza Mpango?
Niambie kamati kuu ya ccm ilikaa lini n a kupendekeza Jina la majaliwa kuwa PM
 
Back
Top Bottom