Je, ukipata kazi kwenye taasisi hizi ni kweli Umetoboa?

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,259
4,129
IMG_1342.jpg

Je, kuna ukweli au ni hypothesis ambayo ni kama utabiri hauna ithibati yoyote na ni street words tu.

Mbona tunawaona baadhi wanaofanya kazi kwenye hayo mashirika na hali zao ni za kawaida sana na wengine ndio wanaongoza kwa kusumbua watu January.

Yes, ma DG kwenye hizo taasisi mishahara yao ni kuanzia 15M kwa mwezi. lakini DG ni mmoja kwa taasisi nzima.

Kwangu mimi kutoboa ni kutokosa kuanzia mil 300 kwenye Ac yako huku ukiwa na investment nyingine mtaani.

Kuna mtumishi kama Afisa wa hizo taaasisi ametoboa kwa definition yangu hapo juu?
 
Nakumbuka project ya geography form 3 nilifanyia jengo la ngorongoro NTC pale arusha

Hiyo ofisi tuliopokelewa tukawa tunafanya research kila mtu ana macho matatu, 2019 hiyo macho matatu ndo yameingia na iphone 11 pro
 
Macho matatu ni kipimo cha kutoboa,?

Macho matatu si 2.5M tu . Kwa wenye kupenda masimu simu ni kawaida kujibana na kuto hizo pesa
 
kumiliki iphone 11 pro/pro max dec 2019 zimetoka sept 2019 zilikua zinauzwa 3M+ ni kipimo cha kutoboa
Watu husema kutumia iphone ni show off lakini to be honest iphone ni simu gharama na hadhi ya juu huo ni ukweli usiopingika kumiliki iphone 11 kwa miaka ya 2019 ni kipimo cha kufanikiwa kwa mpaka sasa kwenye account yangu nina mill 4 tu lakini mtu ana nunua iphone so it mean hao watu walikuwa katika level fulani ya juu ya kimaisha
 
Hujaipenda iPhone kiasi hicho ungekuwa umeshanunua. Tuwaulize watu hapa wenye iPhone 15 the last version . Wana hata 30 M kwenye AC zao ambazo zimetulia tu ?
Wana investment inayoingiza lau 2 M kwa mwezi?
 
Back
Top Bottom