Je kwh wanazio andika kwenye mafriji ni za kweli?

TIASSA

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
2,893
3,423
Salam kwenu wakuu
Je ni kweli kilowatt zinazoandikwa kwenye mafrige ni za kweli kuanzia ni nunue kifrige changu tena kipya matumizi ya umeme ya mepaa sana
Kimeandikwa kwh113 kwa mwaka am ago ukigawanya kwa siku ni uniti 0.3 lakini inakula karibia unit 2

View attachment 2792130
 
Sasa mmenisanua kuna kipindi wapangaji wenzangu walinigomea nisiliwashe non stop me nikawaambia friji halili umeme kwanza yako optomized kujizima na kujiwasha..ila leo ndo mnanipa idea itakuwa kweli asee
 
Tafuta mita ya umeme kama hii
$_1.jpeg-1.jpg

Chomeka fridge na mita itakuonesha kiasi halisi fridge inakula. Aliexpress 20-30K.

Hizo Kwh wanazo eka sio kwamba sio sahihi ila ni marketing term unakuta ili utumie umeme huo inabidi uweke ubaridi mdogo kabisa.
 
Itakuwa kweli
 
Tafuta mita ya umeme kama hii
View attachment 2792215
Chomeka fridge na mita itakuonesha kiasi halisi fridge inakula. Aliexpress 20-30K.

Hizo Kwh wanazo eka sio kwamba sio sahihi ila ni marketing term unakuta ili utumie umeme huo inabidi uweke ubaridi mdogo kabisa.
Asante saba chief super helpful itabidi nitafute
 
Back
Top Bottom