MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,373
- 25,652
Eee ndugu yangu nifanyeje sasa ? Nilowaza kujiunga na chadema nigombee udiwani sasa na kwenyewe kunafuka moshi ,wacha nibaki na kibarua changu na ulabu wangu tu.Unapiga ugimbi mzee