Je, ukimkata Nyoka mkia ataendelea kuishi?

Je, ukimkata Nyoka mkia ataendelea kuishi?

Nasikia ukiwa unawakimbia wanyonya damu usigeuke nyuma, wana kioo chao ukigeuka wakakumulikia unakuwa kama umelewa, unajikuta unakaa chini wanajuja kukuokota.
Walikuwa wanakwenda sana mashuleni kna magari yao yenye misilaba myekundu kwenda kunyonya damu wanafunzi.
Umelipiza ubaya kwa ubaya mkuu, ndiyo hiyo mnaita ubaya ubwela?
 
Uko dar sehemu gani?
Watu wa mikoani mkionaga shida za wadudu wanyama wakorofi au sehem ya kutumia nguvu huwa mnajiona mashujaa sana sijui kwanini.

Kingine kwenye kula mkila sana mnjiona mafahari kweli
Hili nalo mkalitizame
 
Unauamiza nyoka mali ya serikali, kwanini usiwapigie Tanapa.Bahati yako siyo mpinzani la sivyo tungekupa kesi kubwa sana.
Kama ni mali ya serikali huyo nyoka alikuwa anafanya nini huko kwa watu. Si angeenda kuishi serikalini Dodoma?
 
Habari wadau,

Naomba kuuliza kama ukimkata nyoka mkia ataendela kuishi.

Leo baada ya mihangaiko yangu nimerudi nyumbani mapema nikaona ni vyema nishughulikie bustani yangu ya matunda na mboga mboga.

Sasa wakati nachimba mche kwa kutumia kisu ghafla akatokea nyoka mweusi na kuanza kutambaa kutoka kwenye shimo.
Kwakua nilikua na kisu mkononi nikafanikiwa kumkata mkiani kwa kutumia kisu kama inavyoonyesha hapo kwa picha.

Bahati mbaya akakimbia lakini yuko ndani ya uzio.

Sasa nawaza je ataendelea kuishi huyu mdudu

Wajuzi Naombeni maarifa yenu
Kuna theory kuwa nyoka akikatwa mkia akafanikiwa kupona, basi sumu yake huwa kali sana na huwa mkali [meaning atakuwa aggressive.

Ni myth!! Am not sure. Ushauri ungepambana kwa kumwaga mafuta ya taa au kuchoma matairi kwa ajili ya usalama wa watoto.
 
Watu wa mikoani mkionaga shida za wadudu wanyama wakorofi au sehem ya kutumia nguvu huwa mnajiona mashujaa sana sijui kwanini.

Kingine kwenye kula mkila sana mnjiona mafahari kweli
Hili nalo mkalit

Watu wa mikoani mkionaga shida za wadudu wanyama wakorofi au sehem ya kutumia nguvu huwa mnajiona mashujaa sana sijui kwanini.

Kingine kwenye kula mkila sana mnjiona mafahari kweli
Hili nalo mkalitizame
Mwanaume wa dar anapigwa na mwanamke wa mkoani
 
Kuna theory kuwa nyoka akikatwa mkia akafanikiwa kupona, basi sumu yake huwa kali sana na huwa mkali [meaning atakuwa aggressive.

Ni myth!! Am not sure. Ushauri ungepambana kwa kumwaga mafuta ya taa au kuchoma matairi kwa ajili ya usalama wa watoto.
Duh napata waoga sasa.
Nitamsaka jioni huyu
 
Hivi nyoka ana mkia eh? Unaanzia wapi hadi wapi? Just curious wandugu
 
Duuuh kibaya zaidi umeikatiako mbususu yake imebaki, huon umemnyima raha ya maisha mkuu.!

Hata hvo mshukuru Mungu mkuu, nyoka huwa ni hatari zaid ukimjeruh mkian huwa anarudisha mashambulzi kwa hasira na sumu kali.
 
Kutegemea na aina ya nyoka inawezekana asiishi. Mfano kwa kuzingatia upana wa ulichokata kwa aina nyingine ya nyoka hapo ni umekata nusu ya mwili wake.

Hivyo hawezi kuishi.

Angekua ni kifutu angeishi ila jeraha lingemsababishia mauti eventually. Ila kwa rangi za huo mkia huyo hawezi kua kifutu.
 
Nyoka akiwa na kidonda, anajing'ata mwenyewe hakiwezi kupona. Na hasa anapokuwa amemwagiwa mafuta ya taa, ngozi huanza kutoka taratibu na kupelekea ajing'ate na kueneza vidonda, huyo kufa lazima. Kikubwa jaribu kumwaga mafuta ya taa maeneo ya karibu au uzunguushe mji unakotaka. Harufu ya mafuta hakai nyoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom