Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,580
- 870,233
- Thread starter
- #81
Hapa kuna mchanganyiko wa uchawi na mila... Kuwa makini sana hasa hilo sharti la kutowekwa chini... Lakini pia usijipe hofu sana kwakuwa vitu vingine ni imani zaidi kuliko uhalisia... Ukijenga hofu ndio itakumalizaNaomba msaada wako mkuu mshana, wife alipata tatizo flani hivi lile tatizo lilitusumbua sana bila kupata muahafaka, akaitwa na mama yake cha ajabu kaja na kibangili cha shaba anadai amepewa na mama yake na ameambiwa asiweke chini hiyo bangili, mbaya zaidi Akasema ameambiwa ampe mtoto wake wa mwisho,, naomba kufahamu huo ndo uchawi wenyewe au? Naomba jibu tafadhali bro.