Je ukiwasha udi ndani kwako eti unayakaribisha majiniNaweka mjadala huu kwa niaba ya mdau wangu aliyeniomba ufafanuzi juu ya hili na akapenda niwashirikishe nanyi...
Je uchawi una harufu gani?
Unanuka?
Unanukia?
Kama unanuka ni harufu ya nini?
Kama unanukia....! Unanukiaje?
Uchawi kwa maana nzima ya dhana ya ulozi ushirikina na shirki... Haunuki, haunukii wala hauna harufu yoyote.. Uchawi ni nguvu roho.. Huwezi kuuona, kuushika, kuusikia wala kuunusa.... Sanasana unaweza kuhisi nguvu yake hasa pale unapofikia mahali ambako pametekwa na hiyo nguvu... Utahisi hali tofauti, mapigo ya moyo kuongezeka, nywele kusimama na mwili kusisimka! Hakuna harufu.....
Kinachonuka ama kunukia ninini sasa?
Kinachonuka ama kunukia ni vitendea kazi!
Kama ni vitu vinavyotokana na binadamu mfano nywele kucha nguo ngozi mate au haja kubwa na ndogo!
Kinachonuka ama kunukia ni mitishamba, mapembe makombe na zanakazi nyingine za kishirikina....
Uchawi kama uchawi hauna harufu kabisa... Ni jambo la kiroho ambayo matokeo yake ndio ithibati pekee tena kwa wale waamini tuu...
Ukiona mtu ananukia sana hizi ni ishu za majini... A ukipita sehemu ukakuta pana harufu nzuri sana... Fahamu kwamba hilo eneo majini wapi tena wale wapendanao harufu nzuri hasa udi na uturi wa harufu kali na mavumba ya kuvukiza...
Ukikutana na ushirikina huku ananukia sana basi huyo ni mojawapo wa wale wajanja wajanja wanaojaribu kufanya kolabo isiyomatch ya vitu viwili tofauti....
So, kufuga Mmbwa na mapaka ni namna ya kucontrol uchawi majumbani? Mechanism ya Hisia zao ktk hili pleaseEneo hilo kunakuwa na hatari ambayo tayari hisia na macho ya kiroho vinakuwa vimeshaona.... Wanyama ni mahiri sana kwenye hili.. Mbwa na paka kwa hawa tufugao wanaongoza
Inawezekana kabisa akawa ni mchawi ama jini. Ila kwakuwa hisia zilikutuma kuwa ni mchawi basi atakuwa ni yeye kwakuwa hisia ni jambo la kiroho zaidi na roho huona zaidi kabla ya sisi hatujatazamaKuna muda napata hisia kali juu ya kitu au mtu flani na mawazo yanaenda kuwaza mambo ya kichawi kichawi na punde tu ninaporejesha mawazo kutoka huko nitazame hicho kitu au mtu huwa simuoni au kinatokomea.
Mfno... Kuna siku nilipita mahali akatokea mtu mbele akanisalimia vizur tu alipopita hatua moja tu nikapata hisia flni isio yakawaida akili ikaniambia huyu mtu sio mzuri yawezekana ni mchawi, mawazo yakarudi nimtazame kuwa ni nani alahaulaa alishapotea mda mrefu yani nimekaza macho kuangalia lakini skuona mtu wakati kwa hakika alipaswa nimuone mana alikuwa hajaenda hata hatua kumi wala hakuna uchochoro wa kupinda.
Je! Inawezekana ikawa hisia ziko sawa au nawazaga ujing tu?
Kwanini nikirudia kutazama siwaongi ni kusema wamestuka au?
Mshana Jr karibu
Huwa tunawaita alerters na sio lazima iwe nyumbani... Kwa mfano mbwa kwenye uwindaji zaidi ya kukusaidia kunasa mawindo lakini pia hutumika kama scanner... Kuna njia akisita msipite usilazimishe jua kuna jambo baya mbeleni.. Na kuna mawindo akiyakataa yaache hata kama yamenona vipi.So, kufuga Mmbwa na mapaka ni namna ya kucontrol uchawi majumbani? Mechanism ya Hisia zao ktk hili please
Mkuu, naomba unijuze kidogo mimi huwa siamini uchaw ama uganga na kunawatu huwa wananiambia kuwa umelogwa na pia siamin na sometime mambo yangu hayaendi na kuna siku nakasema hebu nifuatishe kama wanavyosema nikaenda kwa mganga na sijaona mabadiliko yoyote baada kutoka kwa mganga pia kinachofanya bado nisiamini ningependa mganga anaponifanyia uganga nipate hisia ama nguv inayoingia mwilin lakin nayo hakuna hivyo bado siamini uchaw na uganga na sasa mtu akinambia twende kwa mganga kuanzia anapo anza kutoa tiba yake mi naanza kudharau na kubeza anachofanya na kumuona anaigiza, nawe nisaidie je ndio nipo kwenye dimbwi la kulogwa.[emoji3] [emoji144] ni mimi hapo kwenye avatar