Je, TV Hisense Brand zikoje?

Hii tv ni brand ya sharp ni smart tv ubora wake hua sion wa kulinganisha ni nzuri sana na niliipata mtumba zanzibar, inanikosha sana sema rimoti yake ndio nimekosa laiti ningekua nauwezo wa kupata 43 ya hii tv hakika nisingenunua tv tena. Ina vineno harmn kadon pemben kwa juu
IMG_20201129_201011.jpg
 
TCL iko vizuri sana ninayo ya kwangu tangia 2013 haijawahi kunisumbua kabisa na kinachonifurahisha upande wa usb inasoma mafile mengi sana ya movie tofauti na brand kubwa kama Sony
 
Hiyo ni smart? Na ni nchi ngapi?
 
Hii tv ni brand ya sharp ni smart tv ubora wake hua sion wa kulinganisha ni nzuri sana na niliipata mtumba zanzibar, inanikosha sana sema rimoti yake ndio nimekosa laiti ningekua nauwezo wa kupata 43 ya hii tv hakika nisingenunua tv tena. Ina vineno harmn kadon pemben kwa juuView attachment 1637815
Mkuu huko Zanzibar TV za mtumba 32' wanauza kuanzia bei gani?
 
Unamaanisha Fm Radio? Nchi nyingi wamezifungia hii standard,

Na sound Bar si speaker tu? Unaweza ukawa na Fm radio sauti ikatoka kwenye sound bar.
Hivi chief hiz hisense zinazokuja bongo ndio zinazoenda pia na mataifa yaliyoendelea kama vile amerika, na mengineyo
 
Most of time Ulaya na Marekani wanapelekewa Model nzuri, huku kwetu wanaleta model za kawaida. Bei pia kule wanauza rahisi.

Mfano Hisense za huku kwetu zinakuja na modified Android ambayo hata kusideload app ni kazi, ila za Us zina Roku ama Android yenye playstore.

Pia blackfriday hapa Tv zao $250 tu unapata hadi tv ya 4k na inch 65, hio ni kama laki 6 ya huku. Kibongo bongo hisense inch 65 ni milioni 2 kwenda 3.
 
Dawa ni kuagiza tu online uchina basi nafikir kuongeza tv moja ikae seblen hii ihamie chumban je unazungumziaje brand ya xiaomi kwa uonavyo ni sahihi nijilipue huko au kuna kampuni gan ambayo itakua nzur na bei cheap kwa tv ya 43 inches, iwe na verified android pia, budget 700,000|= before shiping fee
 
Tatizo TV inaweza fika 10kg ama zaidi hivyo kuisafirisha gharama ni kubwa sana, unless unatumia loose cargo (kwenye container)

Naona TCL wanazo 43" around hio bei,
 
Back
Top Bottom