ngilenengo1
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,275
- 605
Mwanasiasa siku zote anatafuta mianya kwenye kila tukio ili ajijenge.
1999 ulikuwa unagombania mambo ya madini. Hizo siku nyingine ulikuwa wapi hadi uanze upya baada ya mkuu wa nchi kuonyesha nia hii.
Nia ya mkuu wa nchi ni njema sana na kila mtu anamuunga mkono katika kuitoa nchi kwenye umasikini. Tatizo njia zinazotumika zitaongeza matatizo na hapo ndipo wataalam wanatakiwa kumsaidia Mh. Rais wetu.
TL anaonyesha mapungufu na anatoa tahadhari ya athari zitakazopatikana yaani yeye ni whistle blower. Wahusika sasa wachambue kama ni chenga waendelee ila kama TL ana pointi basi wamshauri Rais