Je, Tundu Lissu amekumbwa na jinamizi gani mpaka amegeuka kuwa adui wa Rasilimali za nchi hii?

Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa maelezo yake, Tundu Lissu amejipambanua kuwa amepigania rasilimali za nchi hii tangu mwaka 1999. Kwa kipindi chote, ilikuwa ni rahisi kupima uzalendo wa Tundu Lissu hasa dhidi ya wahujumu uchumi wa nchi hii.

Hata hivyo, tangu mwaka 2015 baada ya CHADEMA kumchukia Edward Lowasa licha ya kashfa lukuki za ufisadi dhidi yake, Tundu Lissu kwa sasa amegeuka kuwa mwanasheria wa ajabu kuweza kutokea katika tasnia hiyo hapa nchini. Yeye sasa ni mtetezi wa kila maovu katika nchi hii.

Nilitaraji kuwa katika hili la kuibiwa kwa madini yetu atamuunga mkono Rais Magufuli na kila mwenye nia njema kwa nchi hii.

Najiuliza, ni jinamizi gani limemkumba Tundu Lissu? Ama lile lililotumika kumsafisha Edward Lowasa baada ya kumchafua kwa miaka kadhaa sasa limewaingilia kinyume na matakwa yao? Au ni kuthibitisha kuwa mkono mtupu haulambwi? Au anaogopa kumuunga mkono Rais Magufuli ili asimpe point?

Mwenye jibu mujarab aje fasta hapa atujuze
Tangu aliponunuliwa na lowassa,kawa hovyo kabisa,vitumbua tu vinamnunua...yaani ''ukishakula nyama ya mtu..............''
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa maelezo yake, Tundu Lissu amejipambanua kuwa amepigania rasilimali za nchi hii tangu mwaka 1999. Kwa kipindi chote, ilikuwa ni rahisi kupima uzalendo wa Tundu Lissu hasa dhidi ya wahujumu uchumi wa nchi hii.

Hata hivyo, tangu mwaka 2015 baada ya CHADEMA kumchukia Edward Lowasa licha ya kashfa lukuki za ufisadi dhidi yake, Tundu Lissu kwa sasa amegeuka kuwa mwanasheria wa ajabu kuweza kutokea katika tasnia hiyo hapa nchini. Yeye sasa ni mtetezi wa kila maovu katika nchi hii.

Nilitaraji kuwa katika hili la kuibiwa kwa madini yetu atamuunga mkono Rais Magufuli na kila mwenye nia njema kwa nchi hii.

Najiuliza, ni jinamizi gani limemkumba Tundu Lissu? Ama lile lililotumika kumsafisha Edward Lowasa baada ya kumchafua kwa miaka kadhaa sasa limewaingilia kinyume na matakwa yao? Au ni kuthibitisha kuwa mkono mtupu haulambwi? Au anaogopa kumuunga mkono Rais Magufuli ili asimpe point?

Mwenye jibu mujarab aje fasta hapa atujuze
Hajabadilika ila nadhani wewe ndiye uliyebadilika. Hoja yake ya msingi ni kuwa kinachoendelea sasa ni maigizo kwani tunahangaika na makombo (mchanga wenye dhahabu ndogo) wakati sehemu kubwa ya chakula (dhahabu inayozalishwa migodini) wanakula wamiliki wa migodi kwa mujibu wa mikataba tuliyosaini. Pendekezo lake kuu ni kuwa tushughulike na kiini cha matatizo yaani Sheria na mikataba ili nchi ipate share kubwa zaidi ya dhahabu. Na anatahadharisha kuwa tukiendelea kuhangaika na huu mchanga bila kubadilisha sheria na mikataba tutaishia kuingia hasara ya kulipa faini kwa kukiuka sheria na mikataba yetu wenyewe. Umeelewa sasa??
 
Kwa hili Tundu Lissu akapimwe akili. Yawezekana ule ugonjwa uliompeleka mirembe umeanza tena
Tundu lissu nilimuona ana matatizo ya akili pale aliposema lowassa sio tatizo,tatizo mfumo,daaa hapo nikajua huyu mtu sio mzima
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa maelezo yake, Tundu Lissu amejipambanua kuwa amepigania rasilimali za nchi hii tangu mwaka 1999. Kwa kipindi chote, ilikuwa ni rahisi kupima uzalendo wa Tundu Lissu hasa dhidi ya wahujumu uchumi wa nchi hii.

Hata hivyo, tangu mwaka 2015 baada ya CHADEMA kumchukia Edward Lowasa licha ya kashfa lukuki za ufisadi dhidi yake, Tundu Lissu kwa sasa amegeuka kuwa mwanasheria wa ajabu kuweza kutokea katika tasnia hiyo hapa nchini. Yeye sasa ni mtetezi wa kila maovu katika nchi hii.

Nilitaraji kuwa katika hili la kuibiwa kwa madini yetu atamuunga mkono Rais Magufuli na kila mwenye nia njema kwa nchi hii.

Najiuliza, ni jinamizi gani limemkumba Tundu Lissu? Ama lile lililotumika kumsafisha Edward Lowasa baada ya kumchafua kwa miaka kadhaa sasa limewaingilia kinyume na matakwa yao? Au ni kuthibitisha kuwa mkono mtupu haulambwi? Au anaogopa kumuunga mkono Rais Magufuli ili asimpe point?

Mwenye jibu mujarab aje fasta hapa atujuze
Kwa sababu gani hasa amuunge mkono Magufuli?

Let's compartmentalize things, tuangalie hili la madini.

Kwa nini mtu yeyote mwenye akili zake, achilia mbali Tundu Lissu, amuunge mkono Magufuli?
 
Lizaboni, account yako imekuwa hacked au ni wewe mwenyewe.... Nina hofu na daku uliyokula leo. Mbona sioni hoja hapa???
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa maelezo yake, Tundu Lissu amejipambanua kuwa amepigania rasilimali za nchi hii tangu mwaka 1999. Kwa kipindi chote, ilikuwa ni rahisi kupima uzalendo wa Tundu Lissu hasa dhidi ya wahujumu uchumi wa nchi hii.

Hata hivyo, tangu mwaka 2015 baada ya CHADEMA kumchukia Edward Lowasa licha ya kashfa lukuki za ufisadi dhidi yake, Tundu Lissu kwa sasa amegeuka kuwa mwanasheria wa ajabu kuweza kutokea katika tasnia hiyo hapa nchini. Yeye sasa ni mtetezi wa kila maovu katika nchi hii.

Nilitaraji kuwa katika hili la kuibiwa kwa madini yetu atamuunga mkono Rais Magufuli na kila mwenye nia njema kwa nchi hii.

Najiuliza, ni jinamizi gani limemkumba Tundu Lissu? Ama lile lililotumika kumsafisha Edward Lowasa baada ya kumchafua kwa miaka kadhaa sasa limewaingilia kinyume na matakwa yao? Au ni kuthibitisha kuwa mkono mtupu haulambwi? Au anaogopa kumuunga mkono Rais Magufuli ili asimpe point?

Mwenye jibu mujarab aje fasta hapa atujuze
mkuu, kwa hili Lissu amewakamata magamba kwenye balls kisawasawa.

mkuu, mbona single ya Lowasa ilikwisha-expire? mahakama ya mafisadi imeundwa lakini naona Lowasa anadunda mtaani, tena kwa mbwembwe zote! Magufuli mwenyewe alipokutana na Lowasa alichanganyikiwa na kusema "ameona muujiza", badala ya kuchukua hatua ya kumpeleka "fisadi huyo" kwenye mahakama hewa ya mafisadi!

sikiza mkuu, Watanzania tunamwelewa sana Lissu. kwenye hili la Acacia, siye wengine hapa ambao kidogo tuna mwanga japo kidogo wa kiufundi kwenye masuala ya madini na mikataba yake tunaiambia serekali ukweli kuwa imebugi sana kwa kuchukua hatua kwa kutumia ripoti ya Mruma ambayo ina makosa mengi sana - si ya kiufundi tu bali kimchakato pia!

kama Magufuli hataomba poo haraka kwa Acacia, i tell you we are up against a gigantic claim - kitu ambacho mzalendo Lissu anataka kukizuia kisitokee kwa sababu trickle down effect yake haitamwathiri Magufuli na genge la magamba waliofaidi keki ya nchi kwa wizi kwa miongo 3 iliyopita. waathirika wakubwa ni Watanzania walioko kule kwa Mtogole, Mwananjilinji, Nsongantombi, Namanyere, etc - hawa ndiwo Lissu anaowapigania na sisi tunaojitambua tunamuunga mkono kwa 120%!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa maelezo yake, Tundu Lissu amejipambanua kuwa amepigania rasilimali za nchi hii tangu mwaka 1999. Kwa kipindi chote, ilikuwa ni rahisi kupima uzalendo wa Tundu Lissu hasa dhidi ya wahujumu uchumi wa nchi hii.

Hata hivyo, tangu mwaka 2015 baada ya CHADEMA kumchukia Edward Lowasa licha ya kashfa lukuki za ufisadi dhidi yake, Tundu Lissu kwa sasa amegeuka kuwa mwanasheria wa ajabu kuweza kutokea katika tasnia hiyo hapa nchini. Yeye sasa ni mtetezi wa kila maovu katika nchi hii.

Nilitaraji kuwa katika hili la kuibiwa kwa madini yetu atamuunga mkono Rais Magufuli na kila mwenye nia njema kwa nchi hii.

Najiuliza, ni jinamizi gani limemkumba Tundu Lissu? Ama lile lililotumika kumsafisha Edward Lowasa baada ya kumchafua kwa miaka kadhaa sasa limewaingilia kinyume na matakwa yao? Au ni kuthibitisha kuwa mkono mtupu haulambwi? Au anaogopa kumuunga mkono Rais Magufuli ili asimpe point?

Mwenye jibu mujarab aje fasta hapa atujuze
Hebu ukatafte kwanza jinamizi lililowakumba CCM mpaka wakauuza hizo rasilimali zetu na mpanga wakawaita wengine wasaliti wa maendeleo!! ukishapata hilo ndio ujue hilo hilo LISU limemkumba na tu mwache nae mpaka aje azinduke kma wanavyofanya CCM sasa hivi kujinadi wazalendo na wanauchungu na rasilimali zetu baada ya kupiga chao!!!
 
Na magu kakumbwa na nn mpaka kageuka kuwa na roho mbaya?
1. Kafuta ajira
2. Kafuta increment
3. Kala rambi rambi mchana kweupe
4. Kafuta fao la kujitoa
5. Uhakiki umeendeshwa kiubaguzi, ilipaswa watu wote wanaopokea fedha ya serikali kama mshahara wahakikiwe
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa maelezo yake, Tundu Lissu amejipambanua kuwa amepigania rasilimali za nchi hii tangu mwaka 1999. Kwa kipindi chote, ilikuwa ni rahisi kupima uzalendo wa Tundu Lissu hasa dhidi ya wahujumu uchumi wa nchi hii.

Hata hivyo, tangu mwaka 2015 baada ya CHADEMA kumchukia Edward Lowasa licha ya kashfa lukuki za ufisadi dhidi yake, Tundu Lissu kwa sasa amegeuka kuwa mwanasheria wa ajabu kuweza kutokea katika tasnia hiyo hapa nchini. Yeye sasa ni mtetezi wa kila maovu katika nchi hii.

Nilitaraji kuwa katika hili la kuibiwa kwa madini yetu atamuunga mkono Rais Magufuli na kila mwenye nia njema kwa nchi hii.

Najiuliza, ni jinamizi gani limemkumba Tundu Lissu? Ama lile lililotumika kumsafisha Edward Lowasa baada ya kumchafua kwa miaka kadhaa sasa limewaingilia kinyume na matakwa yao? Au ni kuthibitisha kuwa mkono mtupu haulambwi? Au anaogopa kumuunga mkono Rais Magufuli ili asimpe point?

Mwenye jibu mujarab aje fasta hapa atujuze
Kwa nchi zilizo katika vita aina yoyote ile, na sasa tupo katika vita ya kiuchumi, ni lazima hata wapinzani wasaidie juhudi za nchi vitani.
Ama sivyo wtakuwa wanatumiwa na maadui, yaani wanakuwa Fifth Columnists.

Lissu kasoma lakini bado kijana mdogo, aulize vita kuu ya pili wajapani walifanywa nini huo Marekani, na vile vile wakati wa vita ya baridi(Cold War) aliyejulikana ni mkomunisti huko Marekani alifanywa nini na FBI.

Umahiri wa Lissu auweke katika uchaguzi tu, huku kwenye vita ya uchumi naye yuko upande wa adui, ataumia!
 
Lizabon,hapo ni uelewa tu,Lisu hoja anazozitoa ni hoja sahihi za kisheria.Tatizo mtu akishalishwa kumchukia mtu anakuwa hawezi kukubali lolote.

Hii mikataba haikuingiwa bila utaratibu wa kikatiba hiki ndicho anachojaribu kukisimamia Mh Lisu yaana makubaliano yaliyofanyika yalifanyika kisheria hivyo lazima hatua zinazochukuliwa na Mh Raisi zichukuliwe kwa kufuata sheria.
Mkuu Kikara ni sahihi kabisa Lisu hoja anazozitoa ni hoja sahihi za kisheria, lakini najiuliza: 1) Kwa nini, Mh Lissu analiwekea nguvu suala la mikataba kiasi hicho, wakati kama mtu msomi na kiongozi anelewa kwamba kuna tume ya pili ya Rais inayopitia mikataba na sheria husika na uchimbaji madini!

2) Kwa nini hasubiri ripoti ya hiyo tume?

3) Kitu gani kinamsukuma kuanza kulaumu kuwa Serikali hadi sasa inafanya yaliyo kinyume cha mikataba?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa maelezo yake, Tundu Lissu amejipambanua kuwa amepigania rasilimali za nchi hii tangu mwaka 1999. Kwa kipindi chote, ilikuwa ni rahisi kupima uzalendo wa Tundu Lissu hasa dhidi ya wahujumu uchumi wa nchi hii.

Hata hivyo, tangu mwaka 2015 baada ya CHADEMA kumchukia Edward Lowasa licha ya kashfa lukuki za ufisadi dhidi yake, Tundu Lissu kwa sasa amegeuka kuwa mwanasheria wa ajabu kuweza kutokea katika tasnia hiyo hapa nchini. Yeye sasa ni mtetezi wa kila maovu katika nchi hii.

Nilitaraji kuwa katika hili la kuibiwa kwa madini yetu atamuunga mkono Rais Magufuli na kila mwenye nia njema kwa nchi hii.

Najiuliza, ni jinamizi gani limemkumba Tundu Lissu? Ama lile lililotumika kumsafisha Edward Lowasa baada ya kumchafua kwa miaka kadhaa sasa limewaingilia kinyume na matakwa yao? Au ni kuthibitisha kuwa mkono mtupu haulambwi? Au anaogopa kumuunga mkono Rais Magufuli ili asimpe point?

Mwenye jibu mujarab aje fasta hapa atujuze
Maccm walioshiriki kupitisha miswaada ya sheria mbovu za madini bungeni walikumbwa na jinamizi gani?
 
Tundu Lissu ni level nyingine.

Lissu ni Rasilimali watu inayopotea nchi hii kama ambavyo rasilimali madini inavyopotea katika hii nchi kisa si tu si mwana-CCM hivyo hata mawazo yake mnayapuuza!
Naunga mkono hoja 100%
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa maelezo yake, Tundu Lissu amejipambanua kuwa amepigania rasilimali za nchi hii tangu mwaka 1999. Kwa kipindi chote, ilikuwa ni rahisi kupima uzalendo wa Tundu Lissu hasa dhidi ya wahujumu uchumi wa nchi hii.

Hata hivyo, tangu mwaka 2015 baada ya CHADEMA kumchukia Edward Lowasa licha ya kashfa lukuki za ufisadi dhidi yake, Tundu Lissu kwa sasa amegeuka kuwa mwanasheria wa ajabu kuweza kutokea katika tasnia hiyo hapa nchini. Yeye sasa ni mtetezi wa kila maovu katika nchi hii.

Nilitaraji kuwa katika hili la kuibiwa kwa madini yetu atamuunga mkono Rais Magufuli na kila mwenye nia njema kwa nchi hii.

Najiuliza, ni jinamizi gani limemkumba Tundu Lissu? Ama lile lililotumika kumsafisha Edward Lowasa baada ya kumchafua kwa miaka kadhaa sasa limewaingilia kinyume na matakwa yao? Au ni kuthibitisha kuwa mkono mtupu haulambwi? Au anaogopa kumuunga mkono Rais Magufuli ili asimpe point?

Mwenye jibu mujarab aje fasta hapa atujuze
Wewe kwa Lissu iwe elimu,uzalendo humuingii hata kwa robo na huwezi hata kuwa dereva wake hata kumnawisha miguu yake huwezi maana hufikii viwango
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa maelezo yake, Tundu Lissu amejipambanua kuwa amepigania rasilimali za nchi hii tangu mwaka 1999. Kwa kipindi chote, ilikuwa ni rahisi kupima uzalendo wa Tundu Lissu hasa dhidi ya wahujumu uchumi wa nchi hii.

Hata hivyo, tangu mwaka 2015 baada ya CHADEMA kumchukia Edward Lowasa licha ya kashfa lukuki za ufisadi dhidi yake, Tundu Lissu kwa sasa amegeuka kuwa mwanasheria wa ajabu kuweza kutokea katika tasnia hiyo hapa nchini. Yeye sasa ni mtetezi wa kila maovu katika nchi hii.

Nilitaraji kuwa katika hili la kuibiwa kwa madini yetu atamuunga mkono Rais Magufuli na kila mwenye nia njema kwa nchi hii.

Najiuliza, ni jinamizi gani limemkumba Tundu Lissu? Ama lile lililotumika kumsafisha Edward Lowasa baada ya kumchafua kwa miaka kadhaa sasa limewaingilia kinyume na matakwa yao? Au ni kuthibitisha kuwa mkono mtupu haulambwi? Au anaogopa kumuunga mkono Rais Magufuli ili asimpe point?

Mwenye jibu mujarab aje fasta hapa atujuze
So this is also an argument?
 
Back
Top Bottom