Je, Tunaweza Kuwa Marafiki!?

We ndio Mchizi wangu, Kaka yangu, Mentor wangu. Mshana Jr

Kuna sehemu niliingia ofisi kubwa nikakuta kuna maua ya asili mengi sana na yule mwenye ofisi alinipa maana zake. Maua yaliyokuwemo mle Mti Pesa, Ulimi wa Mama mkwe , Aloe Vera yote alinielezea maana zake. Nitahitaji siku utuanzishie uzi. Kwanini maofisi makubwa huwa wanaweka maua ya asili ?
 
πŸ’ͺπŸΏπŸ™πŸΏ
 
Marafiki wanakufanya usijihisi mpweke, usijihisi upo peke yako napenda marafiki
marafiki wa kweli ni hazina kubwa maishani. Wanaleta furaha, wanafariji wakati wa shida, na wanafanya maisha yawe na maana zaidi
 
Shee utaninunulia bia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…