Je, Tunaweza Kuwa Marafiki!?

Je, Tunaweza Kuwa Marafiki!?

Urafiki unakujaga automaticaly haina haja ya maombi
Marafiki hupatikana kwa njia zote mbili:
1. kuna wanaokuja wenyewe automatically kutokana na mazingira,
2. Wale unaopaswa kuwatafuta kwa makusudi kulingana na malengo yako.
 
Back
Top Bottom