Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

Eiyer hii ni post yako ya zamani lakini nahisi bado unaamini kama ulivyoandika!
Sipingi ulichokiongea hapo but ningependa kukuuiliza swali hapa:

Ikiwa Muafrika ni mtu bora, kwanini walikubali kufuata mfumo huo wa kujidharau na kuweza kutawaliwa?

Kwani wewe unajua nini kuhusiana na mtu kuwa bora?
 
Kwani wewe unajua nini kuhusiana na mtu kuwa bora?

Dah! Mtu bora linamaana pana sana! Labda nijaribu kuongelea mtu bora kutokana na content ya hii mada!
Mtu bora ni yule anaeweza kufanya mambo/mikakati/kutumia akili ktk kujiletea maendeleo endelevu!
...
Mimi kama mimi sina hoja ya kutetea kuwa watu weusi wamelaaniwa or hawajalaaniwa, nnachohisi mimi ni kuwa Majority ya watu weupe ni bora kuliko majority ya watu weusi!!! Hii inatokana na maendeleo waliyonayo watu weupe na umasini tulionao sisi watu weusi!
What do you think!
 
Hebu niambie
Rangi ya ngozi inawezaje kuathiri vipi uwezo wa mtu wa kufikiri?
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari kwa nini nchi za kiafrika hasa zinazokaliwa na watu wengi wakiwa na ngozi nyeusi tuna matatizo kila kona japokuwa tuna rasilimali nyingi sana zinazoweza kutufanya tuwe matajiri wa kutupwa, mfano Tanzania na madini lakini hamna tunachofanya wakati Afrika kusini imejengwa na dhahabu za J,burg, DRC na utajiri lukuki lakini ona wanavyohangaika.

Aidha, ukiangalia mikataba tunayoingia utadhani Karl Peters na chief Mangungo enzi zile za harakati ya wajerumani kuipata Tanganyika kama koloni lao. Sasa najiuliza au kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaanika ni kweli? Naomba michango yenu waheshimiwa.

inaelekea hujasoma historia vizuri au ile kasumba ya kusema watu weusi wamelaanika
Ustaarabu na maendeleo ya kweli vilianzia Afrika nitakuja na full version ya proof kuhusu hili ngoja leo nipite tu kwanza
kuna vitu vichache ngoja nikukumbushe aliyegundua taa za kuongozea magari barabarani ni mwafrika aliyegundua gari ya posche ni mwafrika,sayansi ya unajimu ilianzia Africa, uhifadhi wa maiti isioze ulianzia Afrika sayansi ya pyramids ilianzia Africa ni mengi mno !hebu tafuta jarida la X-factor la 1997-1998
Na mpaka leo ushenzi wote bado uko huko ulaya dini za ajabu imani za kishenzi tabia za kishenzi kama ushoga na ulesbian
 
Hebu niambie
Rangi ya ngozi inawezaje kuathiri vipi uwezo wa mtu wa kufikiri?

Hahahahahahaaaa! Umeshinda! lol! Ni kweli rangi haiwezi kuathiri kufikiri kwa mtu!
...
Lakini bado sijapata jibu ikiwa sisi (weusi) ni bora halafu tuwezeshwe kujidharau na kutawaliwa licha ya ubora wetu!
 
Swali lako linajibiwa na maelezo yako uliyoanza kwenye hii post yako

Kama rangi haiathiri uwezo wa mtu wa kufikiri basi kilichotokea kwa Waafrika kimetokea na kinaweza kutokea kwa binadamu yoyote yule na ni ujinga kuliko ujinga wenyewe kulihusisha hilo la rangi

Hivi unajua kuwa Rumi ya kale iliwahi kuwa na mtawala mweusi?

Unajua kuwa Yesu alikuwa mweusi? [wanawaita afrikast,yaani myahudi aliyechanganya damu na mwafrika]

Hata Musa nae alikuwa hivyo

Hata wafuasi wa Yesu walikua hivyo

Historia hii imevurugwa kwa maslahi ya watu fulani tu!
 
inaweza isiwe laana au labda cjui laana maana yake but there is something fundamental wrong with us black!!! nchi kama tanzania cjui unaweza mueleza nani kwa nn haiendelei maana ina kila kitu, kwa mfano

unaweza kuelewa shirika la reli kwa nn linakufa, wateja wapo na hawana shida ya kulipa nauli hadi booking zinakua ngumu unapangiwa next week ukibook leo lakini kwa nn hilo shirika linachechemea, enzi za shirika ndege kulikua hakuna ushindan wa wateja kama sasa lakini still waka fail the list is endless na hii reality ndio iko kila mahali africa ni pale tu mtu mweupe alipoingia!!!

south africa na zimbabwe hazikua tofauti kimaendeleo kipindi wazungu wapo kt nchi izo ni zimbabwe baada ya wazungu kuondoka leo wamerud sifuri kama nchi zingine za africa zilizopata uhuru mapema south africa wanatakiwa wawashukuru sana wazungu badala ya kuendelea na ujinga wa kudai wanaonewa!!!

kama ni elimu tuna watu tumewapeleka ktk vyuo bora kabisa duniani lakini wako wapi, chenge mzee wa vijisenti amesoma havard lakini angalia alivyo mpuuz, membe amesoma john hopkins vyuo bora kabisa duniani lakini wanafanya nn, ni wasomi hawa hawa tuliodhan wataenda kuiba technolojia na ujuzi kwa hao wazungu wamekuja huku wamekua ndio vibaraka wao angalia china na japan wakipeleka watu uko wanaiba kweli ujuzi na utaalam wa kuendeleza nchi zao.

kuna mtu yoyote anaweza jibu kwa nn tanzania ni maskini, tuna madini ya kila aina dhahabu, almasi tanzanite, chuma etc tuna ardhi ya rutuba with favourable weather, tuna vitu vya utaliiii kibao, tuna bahari, tuna lakes za kutosha hakuna tunachokosa lakini we are still very poor!!!
 
Nilikuwa na mawazo kama yako, mimi nasoma Archaeology. Ila ujue kuwa. Waisraeli wa kale walikuwa ni weusi/brown, wamisri walikuwa ni weusi/brown, Yesu alikuwa Brown coloured.

Aliyelaaniwa alikuwa ni Canaan na sio Ham, Ham alikuwa na watoto watatu, Canaana (aliishi kanaan), misrata (aliishi Misri), na Kush (aliishi Ethiopia). Kush ndie baba wa waafrika wa sasa. Aliyelaaniwa ni Canaan na sio Kush, Misrata au baba yao Ham.

Mtu mweusi ana nafasi kubwa katika historia za kidini, uchumi, sayansi, .

Tatizo dini, siasa, biashara, ubaguzi n.k vinatumika kumshusha mwafrika. Mfano movies za sasa hasa za kidini zinaweka wazungu wakati hakuna ushahidi wa Kiakeolojia kuwa walikuwa wazungu ila kuna picha za zamani sana zinawaonyesha brownskinned.

Jinsi sayansi inavyoendelea kuufumbua ulimwengu tunakuja kujua kuwa Afrika ndio source of humankind (Eden Garden), watu wote wametokea Africa, waafrica wa kale walikuwa Civillized n.k.

Naomba niambie kama watu wote wametokea africa, Race nyingine zimekujaje??
 
Swali lako linajibiwa na maelezo yako uliyoanza kwenye hii post yako

Kama rangi haiathiri uwezo wa mtu wa kufikiri basi kilichotokea kwa Waafrika kimetokea na kinaweza kutokea kwa binadamu yoyote yule na ni ujinga kuliko ujinga wenyewe kulihusisha hilo la rangi

Hivi unajua kuwa Rumi ya kale iliwahi kuwa na mtawala mweusi?

Unajua kuwa Yesu alikuwa mweusi? [wanawaita afrikast,yaani myahudi aliyechanganya damu na mwafrika]

Hata Musa nae alikuwa hivyo

Hata wafuasi wa Yesu walikua hivyo

Historia hii imevurugwa kwa maslahi ya watu fulani tu!

Source please my dia...napata sintofahamu kuamini kuwa Yesu alikuwa halfcast while mama yake alikuwa a pure jews
 
Nilikuwa na mawazo kama yako, mimi nasoma Archaeology. Ila ujue kuwa. Waisraeli wa kale walikuwa ni weusi/brown, wamisri walikuwa ni weusi/brown, Yesu alikuwa Brown coloured.

Aliyelaaniwa alikuwa ni Canaan na sio Ham, Ham alikuwa na watoto watatu, Canaana (aliishi kanaan), misrata (aliishi Misri), na Kush (aliishi Ethiopia). Kush ndie baba wa waafrika wa sasa. Aliyelaaniwa ni Canaan na sio Kush, Misrata au baba yao Ham.

Mtu mweusi ana nafasi kubwa katika historia za kidini, uchumi, sayansi, .

Tatizo dini, siasa, biashara, ubaguzi n.k vinatumika kumshusha mwafrika. Mfano movies za sasa hasa za kidini zinaweka wazungu wakati hakuna ushahidi wa Kiakeolojia kuwa walikuwa wazungu ila kuna picha za zamani sana zinawaonyesha brownskinned.

Jinsi sayansi inavyoendelea kuufumbua ulimwengu tunakuja kujua kuwa Afrika ndio source of humankind (Eden Garden), watu wote wametokea Africa, waafrica wa kale walikuwa Civillized n.k.

My dia,ukifanya follow up vizuri utagundua Eden ilikuwa either Saudi Arabia,Iraq or Iran and not otherwise

Wayahudi ni weupe,waliokuwa wanatokea kuwa Brown ni wale ambao walikuwa matokeo ya intermarriage kati yao na Black people
 
Source please my dia...napata sintofahamu kuamini kuwa Yesu alikuwa halfcast while mama yake alikuwa a pure jews

Kwanza kabla hujaniuliza source hebu jiulize kwanza

Wewe umejuaje kuwa alikuwa pure jew?
Pure jew ndio nini?

Halafu sio jews ni jew bana
 
inaweza isiwe laana au labda cjui laana maana yake but there is something fundamental wrong with us black!!! nchi kama tanzania cjui unaweza mueleza nani kwa nn haiendelei maana ina kila kitu, kwa mfano

Unaposema hivyo tayari unau connect weusi au rangi ya mtu na uwezo wake wa kufikiri

Je unaweza kuthibitisha hapa namna rangi inavyoweza kuhusiana na kuathiri uwezo wa mtu wa kufikiri?
 
Ngozi yetu nyeusi na mambo yetu meusi. Shida tupu hii ngozi, mtu mweusi anaenda kuangalia mpira uwanja wa taifa halafu anashika kinyesi (sijui kama ni chake au cha mwingine) anaandikia ukutani na kukojolea masinki ya kunawa. Jamani, hv kweli mtu mweupe anaweza kufanya kitu kama hicho? Kumbe ndo maana hata shetani wanamchora mweusi kureflect laana ya hii ngozi. NGOZI GUNDU HII

Vipi kuhusu homosexual huu ni usafi?. Na je huwezi ona kuwa wazungu ndio wamawafundisha waafrika haya yote. Kwa taarifa yako wazungu wanafanya mambo ya ajabu yasiyoelezekaa. Tafakali
 
nashukuru sana kwa kuliona hilo. mara nyingi sana watu wamekua hawalizungumzii kwa ukweli wote hili jambo. wanasahau kabisa kwamba waharabu ndio walioanza kuifanya na pengine kuikuza hii biashara ya kishenzi ya utumwa hapa afrika na hawakuacha chochote cha maana hapa afrika zaidi ya dini yao tu waliokuja kuieneza hapa.
matatizo ya mwafrika always lawama ni mzungu sijui kwanini hata kama mwafrika anafanya upumbavu somehow utakuta anamlalamikia mzungu yaani mi sielewi ni kwa lipi! hata kwa matatizo madogo madogo ambayo tunaweza kujua soiurce yake ni wafrika wenyewe lakini liltahusishwa na mzungu somehow. sisemi kwamba hawa wazungu hawajawahi kutufanyia mambo mabaya la.ila somehow nasisi tuache porojo za kutaka kutafuta mchawi nani wakati hata kabla hatujajicheki sisi na makosa yetu kibao tunayofanya. let us not look for excuses.we should focus on solutions of our problems practically!

HAKUNA CHA LAANA WALA NINI ,.,.,,,,,NI UPUUZI TU WA MWAFRIKA MWENYEWE!

Hakuna kiumbe cha hovyo kuwahi kutokea duniani kama mtu mweusi full stop!
 
hakuna aliyetulaani
kuhusu laana na baraka viko juu ya ulimi wako pale unapojitamkia kuwa mm ntakuwa mtu wa laana basi unajilaani hapo au mm nitakuwa mbarikiwa unajibarikia wewe mwenyewe hakuna kabisa kwamba ngozi nyeusi iliyolaaniwa ni sisi wenyewe waafrika tuna matatizo kabisa
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari kwa nini nchi za kiafrika hasa zinazokaliwa na watu wengi wakiwa na ngozi nyeusi tuna matatizo kila kona japokuwa tuna rasilimali nyingi sana zinazoweza kutufanya tuwe matajiri wa kutupwa, mfano Tanzania na madini lakini hamna tunachofanya wakati Afrika kusini imejengwa na dhahabu za J,burg, DRC na utajiri lukuki lakini ona wanavyohangaika.

Aidha, ukiangalia mikataba tunayoingia utadhani Karl Peters na chief Mangungo enzi zile za harakati ya wajerumani kuipata Tanganyika kama koloni lao. Sasa najiuliza au kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaanika ni kweli? Naomba michango yenu waheshimiwa.
 
Unaposema hivyo tayari unau connect weusi au rangi ya mtu na uwezo wake wa kufikiri

Je unaweza kuthibitisha hapa namna rangi inavyoweza kuhusiana na kuathiri uwezo wa mtu wa kufikiri?

kitabu chako kitakatifu chasemaje kuhusu sisi weusi..
kihistoria hadi karne ya 15 tulikua sawa na hawa wazungu ila tumeachwa kwa sasa

weusi ni cursed race hilo halina ubishi.. watazame aborigene wa australi ni wazawa kabisaa wa pale ila hadi sasa wana muwakilishi mmoja kwenye bunge..
wamarekani weusi kazi yao ni kurap tu.. hawana teknolojia yaani ni vilaza
tuje Africa ndo kituko.. sehemu yenye rangi nyeusi kwa wingi jua ni umasikini na vita vya kijing a kabisa na upuuzi wote wa hovyo unaoujua wewe..
kwa mifano hiyo ni wazi weusi ni tatizo tena sana
 
kitabu chako kitakatifu chasemaje kuhusu sisi weusi..
Mimi sina kitabu
kihistoria hadi karne ya 15 tulikua sawa na hawa wazungu
Tulikua sawa kwenye nini?
ila tumeachwa kwa sasa
Tumeachwa kwenye nini?
weusi ni cursed race hilo halina ubishi..
Cursed na nani?
watazame aborigene wa australi ni wazawa kabisaa wa pale ila hadi sasa wana muwakilishi mmoja kwenye bunge..
wamarekani weusi kazi yao ni kurap tu.. hawana teknolojia yaani ni vilaza
tuje Africa ndo kituko.. sehemu yenye rangi nyeusi kwa wingi jua ni umasikini na vita vya kijing a kabisa na upuuzi wote wa hovyo unaoujua wewe..
kwa mifano hiyo ni wazi weusi ni tatizo tena sana

Hebu niambie wewe unaelewa nini kuhusiana na maendeleo ili tuwe sawa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom