Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

Mmmmmmmh mtume yupi huyo be open
Muhammad, anajiita eti yeye ni Mzungu. Makubwa haya.

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU

Yeye alifanya Ngamia wake apige magoti katika Msikiti, halafu akamfungaMguu wake kamba na kisha akauliza: "Ni nani kati yenu ni Mtume Muhammad" Wakati huo Mtume alikuwa amekaa miongoni mwetu(wenzake) huku akiwa ameegemea mkono wake. Sisi tukajibu, "Huyu MZUNGU aliye agemea mkono wake ndiye Muhammad." Kisha akasemanaye, "O Mwana wa 'Abdul Muttalib." -Sahih Bukhari1:3:63

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU NA SIO
MWARABU
 
true kabisa

Matatizo ya watu weusi yalianza baada ya weupe kuja huku!Walipogundua ubora wa mtu mweusi na utajiri alionao,ndipo ulipotengenezwa mfumo wa kumfanya Mwafrika ajidharau ili aweze kutawalika vizuri!Kwa kifupi hakuna laana yoyote tena ni aibu sana mtu kusema hivyo,matatizo yote tuliyonayo ni ya kimfumo zaidi!
 
YAANI WEWE SIKUPENDII...UNAPENDA KULETA MAMBO YA DINI SANA KTK JAMII.......Haya mambo ya kutofautisha tofautisha na kuongelea dini yanatoka wapi ktk mada hii...? Hebu badilika...KUA KIJANA..
Neno moja litokalo kinywani mwa mtu mmoja laweza badili dunia nzima ikawa hapakaliki....achaga kuongelea ongela dini..Ukitaka ongelea kuhusu amani na kuwasihi watu watende mema si mengineyo

Muhammad, anajiita eti yeye ni Mzungu. Makubwa haya.

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU

Yeye alifanya Ngamia wake apige magoti katika Msikiti, halafu akamfungaMguu wake kamba na kisha akauliza: "Ni nani kati yenu ni Mtume Muhammad" Wakati huo Mtume alikuwa amekaa miongoni mwetu(wenzake) huku akiwa ameegemea mkono wake. Sisi tukajibu, "Huyu MZUNGU aliye agemea mkono wake ndiye Muhammad." Kisha akasemanaye, "O Mwana wa 'Abdul Muttalib." -Sahih Bukhari1:3:63

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU NA SIO
MWARABU
 
YAANI WEWE SIKUPENDII...UNAPENDA KULETA MAMBO YA DINI SANA KTK JAMII.......Haya mambo ya kutofautisha tofautisha na kuongelea dini yanatoka wapi ktk mada hii...? Hebu badilika...KUA KIJANA..
Neno moja litokalo kinywani mwa mtu mmoja laweza badili dunia nzima ikawa hapakaliki....achaga kuongelea ongela dini..Ukitaka ongelea kuhusu amani na kuwasihi watu watende mema si mengineyo
Lazima una tatizo wewe. Yaani unanichukia hata kuniona hujawai. Hakika chuki zako zitakupa mpasuko wa moyo. Mtafute Yesu akusaidie.

Mimi nakupa mifano thabit tena yenye ushahidi wewe unaingiza Udini. Kwani, hatuwezi zungumzia Muhammad kama mtu mpaka iwe Uislam? Hakika chuki imejaa kwenye nyoyo yako.
 
Muhammad, anajiita eti yeye ni Mzungu. Makubwa haya.

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU

Yeye alifanya Ngamia wake apige magoti katika Msikiti, halafu akamfungaMguu wake kamba na kisha akauliza: "Ni nani kati yenu ni Mtume Muhammad" Wakati huo Mtume alikuwa amekaa miongoni mwetu(wenzake) huku akiwa ameegemea mkono wake. Sisi tukajibu, "Huyu MZUNGU aliye agemea mkono wake ndiye Muhammad." Kisha akasemanaye, "O Mwana wa 'Abdul Muttalib." -Sahih Bukhari1:3:63

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU NA SIO
MWARABU

Weee kumbeeee haya mwaya baraka kwako
 
Duuuuh.....! kumbe whiteman inamaanisha mzungu, kweli wewe unakijua kithungu.:A S wink:
 
Muhammad, anajiita eti yeye ni Mzungu. Makubwa haya.

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU

Yeye alifanya Ngamia wake apige magoti katika Msikiti, halafu akamfungaMguu wake kamba na kisha akauliza: "Ni nani kati yenu ni Mtume Muhammad" Wakati huo Mtume alikuwa amekaa miongoni mwetu(wenzake) huku akiwa ameegemea mkono wake. Sisi tukajibu, "Huyu MZUNGU aliye agemea mkono wake ndiye Muhammad." Kisha akasemanaye, "O Mwana wa 'Abdul Muttalib." -Sahih Bukhari1:3:63

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU NA SIO
MWARABU

usipende kutukana mzazi wa mwenzako akitukanwa wako utajiskiaje?
elimu huna kasome ulimi wako utakuponza kama unafurahisha watu basi jua wapo unawakera
 
hapa mnaleta mambo ya how europe under developed africa by walter rodney!!
Hata mimi nimesoma hicho ktabu ambapo rodney amejaribu kujustify kwamba matatzo tulio nayo yamesababishwa na hawa wazungu kwa kujaribu kuonesha shughuli za kiuchumi na kijamii pamoja na science iliyokuwepo afrika hata kabla ya kuja kwa wazungu.
Lakini mpaka leo kuna swali najiuliza? Ni miaka mingapi toka tupate uhuru toka kwa hao wazungu?
Ebu angalia south africa. Nadhan ingekuwa bado iko mikononi mwa makaburu (ngozi nyeupe) leo hii south africa ingekuwa iko mbali sana tena sana. Haina shaka south africa wakati wanabadili regime ya uongozi toka kwa makaburu kuja kwa waafrika ilikuwa ina uchumi na ilikuwa bora zaidi ya ilivyo sasa.
Lakini ndani ya miaka kumi na nne nadhan south africa mambo yake hayako sawa na miaka kadhaa mbeleni itakuwa nyuma zaidi maana hata kile kilichopo ni msingi uliojengwa na makuburu.
Ukiacha nchi za mashariki ya kati, nadhan africa ndilo bara linaloongoza kuwa na resources nyingi, mafuta, madini na kila kitu. Nadhan hakuna kitu kinachokosekana africa hata kama wazungu walivuna still waliacha mengine hata hajagunduliwa.
Lakini still hizo resources bado hazijaweza kumnufaisha mwafrica na bado tu masikini sana.
Kwa wanao dai kwamba tatizo ni uongozi wala hatujalaaniwa, basi mimi nawajibu laana yetu ilikuwa ya kwamba hatutakuwa na uongozi bora hivyo fact inabaki bado kuwa laana.
Kwa wanaodai kwamba weupe wanatunyonya na sasa wamekuja na neo colonialism basi mimi na conclude labda waafrica tupo kutawaliwa na kuwa supplier wa raw materials mbona asia hawanyonywi kama sisi?

Kwenye tears of the sun jamaa alisema hivi GOD HAS ALREADY FORGOTEN ABOUT AFRICA. Sitaki kuamin kama ni kweli
Bluce Williams..
 
Hakuna laana yoyote ...ni vile tu tuko so broken hatuko organized ,not visionary , ni wavivu wa kufikiri na kufanya kaz , na tunaishi karne karne ya nyuma compared to the rest of the world

u cant blame colonialism kwasababu b4 that it was a dark continent like hatuelew kinachoendelea n no civilization

kwa mtazamo wangu mm cha kwanza tunafeli coz hatuna umoja ..(Africa needs to unite ) iwe ktu kimoja (which will never happen ) ...kuwe na free trade across the continent , tuwekeze kwenye mali zetu wenyewe n tuwe exporters tupunguze imports ....tukatae kampuni za kimarekani kubwa ku realocate africa n instead kuanzisha vyetu kuepuka kutoa fedha nje ya Africa ....ku motivate pholosophy ya kaz accross the continent other wise tuko maskin hivi for ever

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Laana ni nini? inatokana na nini? na inatoka kwa nani?.....hayo maswali hayana majibu....Ila jibu ni moja tu "ni ili ujidharau na kukata tamaa Ili ushindwe....na ni mpumbavu pekee atakayekubali huo ujinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom