Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,016
- 142,708
All ya grow up, mbona masela kibao tu wanatolewa kule tokea kajamba nani mpaka mawaziri wa serikali, so itakuwa president? Ile ni site ya kikubwa anayeona inamzingua aache kuitembelea.
Ni mtazamo tu.
Mhhh unatishia mtu mzima nyau? Wewe weka wala uimwombe idhini yake
Mkuu Masanilo,
Aweke picha ya nani? Zeutamu!! Ni hasira tu mzee imepelekea kuomba idhini.
msitumie njia hii kuingilia bungeni.....- kwangu leo ni siku ya huzuni sana kwa sisi wapenda uhuru wa kusema, na hasa watumiaji wakubwa wa internent, na tunaojulikana na wengi kwamba ni magiwji wa mtandao, kinachosikitisha zaidi ni the fact kwamba tunawajua hata hao wahusika wa hiyo kitu, shame on you guys na this time mmefika mbali sana!
Mungu Aibariki Tanzania.
FMES
Uchunguzi wangu wa haraka haraka inanionesha huyu jamaa anayejiita zeutamu
anapatika USA, state ni texas na city ni Houston.
Host IP address ni: 174.132.156.66
IP postcode: 77002
IP address latitude: 29.7523
IP address longtude: -95.3670
Tafadahali ni vyema aache upuuzi na uchafu wake mara moja kwani tunaweza kuanika mpaka jina lake kamili, alisoma wapi na hata ikiwezekana picha zake pamoja na kwamba tulisoma computer migombani.

- kwangu leo ni siku ya huzuni sana kwa sisi wapenda uhuru wa kusema, na hasa watumiaji wakubwa wa internent, na tunaojulikana na wengi kwamba ni magiwji wa mtandao, kinachosikitisha zaidi ni the fact kwamba tunawajua hata hao wahusika wa hiyo kitu, shame on you guys na this time mmefika mbali sana!
Mungu Aibariki Tanzania.
FMES
Mkuu, hebu niulize. Mimi nina personal computers 2 na ninazitumia kutokana na mahitaji. Kama wife anatumia moja mimi natumia nyingine. Halafu ofisini (20km away from home) natumia almost computer 3 kwa siku kutokana na computer ipi iko free na wakati mwingine naenda internet cafes kama hakuna umeme sehemu nilipo.
Swali, je kwa hizo computer zote zitakuwa na IP address moja? IP postcode moja? IP address latitude moja? IP address longtude moja?
Ninasema hivi nikimaanisha kuwa huyo jamaa anaweza asiwe anatumia computer yake na inawezekana pia akawa anaenda sehemu anayofanyia hiyo kazi yake. Ila kitu kimoja kinaweza kuwa sahihi ni kwamba computer aliyotumia siku hiyo inaweza kuwa na 'details' kama ulivyoorodhesha hapo juu. Unasemaje?
yuko kwenye kampeni huyo.......Hii ndiyo tunasema haitakiwi, kama unamjua muweke jamvini tumjue wote huenda ataacha baada ya kuona anajulikani, kuendelea kuwaficha ni kibali cha kuendeleza uchafuzi wao
Hii ndiyo tunasema haitakiwi, kama unamjua muweke jamvini tumjue wote huenda ataacha baada ya kuona anajulikani, kuendelea kuwaficha ni kibali cha kuendeleza uchafuzi wao
sera anza nazo weye.....mimi nilifikiri labda utakuwa wa kwanza kulipiga vita jukwaa la kikubwa.......Hivi vipi sera ya Tanzania ktk haya mambo? Maana wanafunzi/watoto wadogo wanaenda cafe analipa tu 500 anaaanza kuangalia picha mbaya!
muandikie PM Gembe......Wakubwa mie mbona sijaona hiyo picha inaosemwa hapa? Naomba link ya hiyo ze website ili nami niione niweze japo kutoa yangu machache maoni