tehe tehe shem unajua kiswahili kimekua sana siku hizi......unajua maana ya hilo neno siku hizi?
Mkuu, hebu niulize. Mimi nina personal computers 2 na ninazitumia kutokana na mahitaji. Kama wife anatumia moja mimi natumia nyingine. Halafu ofisini (20km away from home) natumia almost computer 3 kwa siku kutokana na computer ipi iko free na wakati mwingine naenda internet cafes kama hakuna umeme sehemu nilipo.
Swali, je kwa hizo computer zote zitakuwa na IP address moja? IP postcode moja? IP address latitude moja? IP address longtude moja?
Ninasema hivi nikimaanisha kuwa huyo jamaa anaweza asiwe anatumia computer yake na inawezekana pia akawa anaenda sehemu anayofanyia hiyo kazi yake. Ila kitu kimoja kinaweza kuwa sahihi ni kwamba computer aliyotumia siku hiyo inaweza kuwa na 'details' kama ulivyoorodhesha hapo juu. Unasemaje?
Si mahali anapopatikana mwenye ze utamu ila ni sehemu zilipo servers ambazo ndani yake kuna documents za ze utamu. Ieleweka mapema. Hapa Texas ni hosting provider alipo. Inawezekana ze utamu yuko hapo hapo Tanzania ama magomeni ama kariakoo ama michokeni ama kokote. Kimsingi si mshenzi kwa vile kamtoa mkuu wa nchi ila ni tangu mwanzo; it is like bad fortune, ikimpata masikini, tajiri anaona ni kawaida, ikimpata tajiri anasema kwa gharama yoyote n.k. We need to be fair and realistic kwamba kama mkuu wamemtoa personality yake should be protected and not spoiled as should have been anybody that appeared in ZEUTAMU. At least it is my opinion.
siku hizi kiswahili kimekua shem.....maana yake sio hio pamoja na kwamba inasomeka hivyo......naogopa kuanzishiwa thread maana siku jf mtu anamka asubuhi na thread yake "sizitaki post za masanilo" teh eteheKugawana rasilimali tulizonazo ama mzee ina maana gani? Ni PM please usije ambiwa hapa unatukana !
tehe tehe nimemkumbuka Lodi lofaNinaweza kukupa jina lake kamili, alisoma wapi na college ID yake ilikuwa nini, ana benki na bank gani, ana kiasi cha pesa kwa leo, simu yake na aliwasiliana na nani kwa mara ya mwisho iwe kupigiwa na kupiga. Si vyema kufanya hivi alivyofanya ni bora aache mapema.
siku hizi kiswahili kimekua shem.....maana yake sio hio pamoja na kwamba inasomeka hivyo......naogopa kuanzishiwa thread maana siku jf mtu anamka asubuhi na thread yake "sizitaki post za masanilo" teh etehe
Hivi haiwezekani kuwatoa hawa WALA VYA BURE yaani viongozi wa dini? Ingelikuwa poa sana kuwaweka pale Pengo na rafiki zake wakiwania visenti vya Lowasa.
Dah mkuu naona unaingia choo cha jinsia nyingine hapa! Huyu Pengo anakujaje hapa tena? Kama una hoja, nenda kule kwenye thread husika sio kuchanganya madesa hapa!
Bahati mbaya muda sina na picha zao sina. Vinginevyo hawa PENGUIN wala vya bure ningelilala nao sambamba kwa huyo Zeutamu hadi washike adabu zao na waanze kuwa watumishi wa Mungu kwelikweli na si utapelitapeli.
Wamekutapeli nini mkuu?
Picha ile SI KIKWETE. Nashangaa mnacholalamika ni nini. Mtu kaunganishaunganisha na tena unaona kabisa kaunga na wewe bado unalalamika kuwa "Wamemtoa Kikwete?" Najua si vizuri ila ndivyo hivyo tena. Badala ya kutengeneza vitambulisho, kuiba hela za EPA nk nafikiri kuna haja UWT waanze kuajiri vijana wapya wanaoijua kazi na kujua kuwa vita vya sasa duniani si VIFARU na Ndege ila ni kwenye mtandao. Yes, usalama wa taifa kengele inalia, anzeni kazi maana vinginevyo ........tutakuja aibika kikwelikweli na si hizi za kulazimisha na kupindisha
Hapa umenena mkubwa na haya maneno ndo mahala pake hapa....sio umbea wa hapo juu!
sasa mkuu nikikuambia unionyeshe wapi nimeitangaza web hio ni wapi utanionyesha?
Dah mkuu naona unaingia choo cha jinsia nyingine hapa! Huyu Pengo anakujaje hapa tena? Kama una hoja, nenda kule kwenye thread husika sio kuchanganya madesa hapa!
Wamekutapeli nini mkuu?
NL,
Nimewahi kuishi nchi ya Kikatoliki hasa hasa ila taa zikizimwa ndiyo utajua hawa Kunguru wanafanya nini. Nilikaa na mmoja wao hadi akawa ananipa Jokes za kanisani. Akikupa jinsi wanavyokula GOOD TIME wala huwezi amini. Boss wao mmoja alinunua JAGUAR na mwingine akanunua MAYBACH na kumbuka hawa wamefunga HARUSI kuishi katika umasikini na wao ni kumhubiri tu Mungu. Kuna hadi ile story kuwa Papa Pius alikuwa akishirikiana na Hitler/Musolini. Pia kwa Italy, huwa wanakula sahani moja na Mafia.
Haya naona yamefika hadi Tanzania. Dini imekuwa ni utapeli tu. Unaweza kukuta Pengo ana kimama ki-secretary ambacho kila akihama, anahama nacho. Mwingine alishawahi niambia Padri..... ambaye sasa nasikia ni Askofu .... ambaye ni mjomba wake, huko kwao Dodoma ana mtoto. Sisemi sana maana ni rahisi kumfahamu na hii habari sijaithibisha.
NB: JOKE ya Mapadri.
Yesu akaonekana akitembea juu ya maji. Petro akamwambia kuwa na yeye aje kumlaki? Yesu akasema njoo. Jamaa kuanza kutembea akaanza kuzama na kupiga kelele. Yesu akamwambia " Wee idiot, fata hizo PILES foundation.."
NL,
Nimewahi kuishi nchi ya Kikatoliki hasa hasa ila taa zikizimwa ndiyo utajua hawa Kunguru wanafanya nini. Nilikaa na mmoja wao hadi akawa ananipa Jokes za kanisani. Akikupa jinsi wanavyokula GOOD TIME wala huwezi amini. Boss wao mmoja alinunua JAGUAR na mwingine akanunua MAYBACH na kumbuka hawa wamefunga HARUSI kuishi katika umasikini na wao ni kumhubiri tu Mungu. Kuna hadi ile story kuwa Papa Pius alikuwa akishirikiana na Hitler/Musolini. Pia kwa Italy, huwa wanakula sahani moja na Mafia.
Haya naona yamefika hadi Tanzania. Dini imekuwa ni utapeli tu. Unaweza kukuta Pengo ana kimama ki-secretary ambacho kila akihama, anahama nacho. Mwingine alishawahi niambia Padri..... ambaye sasa nasikia ni Askofu .... ambaye ni mjomba wake, huko kwao Dodoma ana mtoto. Sisemi sana maana ni rahisi kumfahamu na hii habari sijaithibisha.
Mkuu sikonge,
Issue yangu ya kwanza ni kwamba maneno yanayohusu wachungaji na kashfa zao, hayana uhusiano na thread hii, so nikasema labda ungeipeleka kny thread husika!
La pili, kwa maoni yangu si sahihi kuweka comments za ujumla .like, mapadre...bla blaaaabla, wachungaji....blablabla....maaskofu.....! mashekhe etc ..kama unakuwa na uhakika na unalo sema , just point out kwamba kwa mfano, Askofu Pengo kafanya hili na lile au Kakobe kafanya ......! Ukijumlisha unakwaza waumini wao, updre ni taasisi nyeti ambayo waumini wao wanaiheshimu sana...so better kuheshimu hilo na sisi!
Mimi binafsi ni ex seminarian, so najua maisha ya kiroho ya mapadre wetu hasa, wanajua kuna exceptions pia, najua pia kuna case by case ambazo naweza kuzitaja kabisa zilizotokea na kuleta mkanganyiko kanisani......!
Lakini siwezi sema eti Mapdre ni wahuni, matapeli...though kuna padre mmoja (sasa ni marehemu, RIP) alishanitapeli mkwanja wangu! siwezi generalise kusema...wachungaji ni wezi....kuna baadhi walikuwa fantastic acha kabisa!
Ninaweza kukupa jina lake kamili, alisoma wapi na college ID yake ilikuwa nini, ana benki na bank gani, ana kiasi cha pesa kwa leo, simu yake na aliwasiliana na nani kwa mara ya mwisho iwe kupigiwa na kupiga. Si vyema kufanya hivi alivyofanya ni bora aache mapema.
.........duh ebwanee hao UWT wapo hivi kweli na hao wanao jiita intelejinsia vp hawajaamuka bado........nimechungulia mmmh hakufai hali ya hewa imechafuka.
Wiki kadhaa zilizopita tulitahadharishwa juu ya taskforce flani hivi inayokuja...Huenda tuliunderestimate kile watakachokifanya na namna watakavyokifanya.Mimi nilitegemea kuwa watakuja sooo negative ktk issue za mafisadi/ufisadi.But what if they use other way round.Nimeona hivi karibuni a U-turn katika mitazamo ya some memberz.Sasa nadhani ni wakati wa kutulia na kuanza kufanya conspirancy...Sijamwona kimwana kwenye ile picha jamani mbona mnataka kumharibia Villager wetu?