Je, simu ipi bora Infinix Hot 12 Vs Samsung A13?

Je, simu ipi bora Infinix Hot 12 Vs Samsung A13?

Niwape siri. Samsung series za A anaibia watu. Kama kwel unataka samsung tafita series ya NOTE ,S series au M hizi A ni michongo
 
Niwape siri. Samsung series za A anaibia watu. Kama kwel unataka samsung tafuta series ya NOTE ,S series au M hizi A ni michongo
 
Niletee infinix yoyote ile ambayo bora kwa samsung S10 plus
Taratibu basi kuwa muelewa mbona hutumii akili mbona sijaifananisha zero x pro na A72 mpaka nimeifananisha na A52 alafu infinix hana simu ya high-end anazo midrange ambayo ni hiyo zero x pro huwezi kuilinganisha na Samsung S10 sababu S10 ni high-end basi wewe linganisha S10 na A72 alafu ujijibu mwenyewe kama ulisoma comment yangu huko juu nimesema Samsung bado anazo simu nzuri mara 100 kuliko simu za infinix
 
Kitendo cha infinix kutokuwa na high end ni sababu tosha ya wewe kuacha kufananisha samsung na utopolo maana hata hizo mid-range zake zina matatizo ila sio kama ya hizo mid-range za infinix ambapo kwetu sisi tunaziona kama kama end
 
Jitu zima unafukuzana kubadilisha simu kila toleoo HV hakuna vingine vya kufanya
 
Kitendo cha infinix kutokuwa na high end ni sababu tosha ya wewe kuacha kufananisha samsung na utopolo maana hata hizo mid-range zake zina matatizo ila sio kama ya hizo mid-range za infinix ambapo kwetu sisi tunaziona kama kama end
Kaka hatulinganishi brand tunalinganisha simu zinazo endana kama tukilinganisha bra Samsung bado wako juu unajua infinix anaakili sana hawezi kutoa high-end sababu vifaa vya kutengenezea high-end ni ghali sana akitoa high-end atamuuzia nani maana bei itakua juu sana au labda auze bei ya chini apate asara sababu ni kampuni changa wabongo wazee wakukalili Brand wataibeza tu hawata nunua labda nch nyingine ndio wataielewa sio wabongo
 
mnapata wapi nguvu ya kuifananisha infinx brand ya 30 kwa kutoa simu bora duniani na the best brand ya kwanza samsung kwa simu bora duniani,

tecno ni wa 13 kamzidi parefu infinix

itel wa 19 duniani

enaseketeshaaaaaaas[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka hatulinganishi brand tunalinganisha simu zinazo endana kama tukilinganisha bra Samsung bado wako juu unajua infinix anaakili sana hawezi kutoa high-end sababu vifaa vya kutengenezea high-end ni ghali sana akitoa high-end atamuuzia nani maana bei itakua juu sana au labda auze bei ya chini apate asara sababu ni kampuni changa wabongo wazee wakukalili Brand wataibeza tu hawata nunua labda nch nyingine ndio wataielewa sio wabongo
Naelewa ndo maana niakwambia nikichukua infinix tu hata hot 9 nikachukua na A10s matatizo yaliyopo kwenye A10s yana unafuu kuliko hot 9 na zote zipo kundi moja...
 
Tazama hapo in real life infinix zero x pro anavyo mkalisha Samsung A52 kwa kila kitu

Nimeangalia Hio video sijaona chochote cha maana humo mkuu, Ka mention specs, kazima kawasha na kutest vi app vidogo vidogo basi.

Uzuri ni kwamba simu zote mbili zimekuwa reviewed Gsmarena unaweza kwenda kuziangalia.

Mfano hii Comparison ya Camera ya GsmarenA

Nimchukua Screenshot kwenye Tai
Screenshot_20220526-112831.png

angalia kwa Unakini dots Nyeupe kwenye Tai picha ya Infinix hazipo zote, kwengine kuna nyeusi mahala ambapo Dots zilitakiwa Zionekane, Around kifungo,

Pia angalia juu ya tai kuna details hazipo kwenye huo weupe kijivu
 
Back
Top Bottom