Je, simu ipi bora Infinix Hot 12 Vs Samsung A13?

nitajie infix iliyotoka sawa na samsung ambayo ipo overperformance kwa samsung kinachowashinda nyie watu wa in fix samsung ni price tu maana hata ubora nyie mnauhitaji na kama kukaa na chaji mbona hata yeye anakaa na chaji
Infinix zero x pro na Samsung A52 ukiacha ushabiki na ujinga hiyo infinix zero x pro performance yake ni nzuri kuliko hiyo Samsung A52 nimezifanyia test kwa mkono wangu mwenyewe
 
Hapana Zero X ina Helio G95 haina advantage over sd 720G kwenge A52, na A52 overall ni simu nzuri zaidi.

Achana na A52 even A33 inamkalisha Zero X.
 
Snapdragon 730G inakalishwa na helio G95 sembuse hiyo snapdragon 720G
Inakalishwa vipi sasa? Unless hata Hujui kuziangalia. Na Snapdragon 720G sio inferior kwa 730G.

Angalia benchmarks mbalimbali hapo
1. Kwenye Single core performance sd 720G ipo vizuri kuliko G95
2. Kwenge Multicore perfomance pia 720G ipo vizuri zaidi
3.kwenye Gpu G95 ipo vizuri zaidi (ila in real life kwenye games 720G ipo vizuri zaidi)
4. Isp ya camera 720G ipo vizuri zaidi
5. Network modem 720G ina speed zaidi

Hebu niambie Hapo kwanini Uchague Helio G95?

Na Hio ni Soc tu Overall vitu vyengine A52 ina Camera kali yenye OIS, Display Nzuri ya Amoled, Refresh rate 120hz na HDR10 juu, Simu ni water proof unaweza ogelea nayo, Software updates kwa miaka 4, na Build Quality ya Samsung.

Convice me infinix zero x ni bora zaidi
 
Camera sawa ina OIS hata zero x pro ina OIS refresh rate A52 ina 90 Hz na zero x pro ana 120 Hz zote ni AMOLED display zote hazina HDR10 labda kwenye camera ndio wameweka hio future ya HDR panorama zaidi kilicho bora kwa A52 ni protection ya gorilla glass zero x pro hana na hio IP water resistant zero x pro pia hana body design zero x pro kauwa lakini pamoja na yote hayo Samsung bado wana simu Kali mara 100 ya infinix
 
A52 inayo HDR, kama unatumia Hio simu ingia Youtube Kutest, Na Amoled na Super Amoled Vioo viwili Tofauti, Pengine Hio Infinix ni Panel ya Boe huko, Compare na Panel ya Samsung.
 
Kuna uzi watu wanavyobishana wengne wanabisha sio kama wanajua sana ila wanabisha ili anaejua afunguke zaid sasa hapa jamaa amesababisha chief Mkwawa afunguke zaid na weng wamepata elimu sana.
Elimu haina mwisho tusomeni, Technology inabadilika kila siku.
 
Infinix zero x pro na Samsung A52 ukiacha ushabiki na ujinga hiyo infinix zero x pro performance yake ni nzuri kuliko hiyo Samsung A52 nimezifanyia test kwa mkono wangu mwenyewe
Acha uongo wako hapa.
 
Inakalishwa vipi sasa? Unless hata Hujui kuziangalia. Na Snapdragon 720G sio inferior kwa 730G.

Angalia benchmarks mbalimbali hapo
1. Kwenye Single core performance sd 720G ipo vizuri kuliko G95
2. Kwenge Multicore perfomance pia 720G ipo vizuri zaidi
3.kwenye Gpu G95 ipo vizuri zaidi (ila in real life kwenye games 720G ipo vizuri zaidi)
4. Isp ya camera 720G ipo vizuri zaidi
5. Network modem 720G ina speed zaidi

Hebu niambie Hapo kwanini Uchague Helio G95?

Na Hio ni Soc tu Overall vitu vyengine A52 ina Camera kali yenye OIS, Display Nzuri ya Amoled, Refresh rate 120hz na HDR10 juu, Simu ni water proof unaweza ogelea nayo, Software updates kwa miaka 4, na Build Quality ya Samsung.

Convice me infinix zero x ni bora zaidi
Mkuu angalia hapo in real life nguvu ya Helio G95 dhidi ya snapdragon 730G
 
mnapata wapi nguvu ya kuifananisha infinx brand ya 30 kwa kutoa simu bora duniani na the best brand ya kwanza samsung kwa simu bora duniani,

tecno ni wa 13 kamzidi parefu infinix

itel wa 19 duniani

enaseketeshaaaaaaas
 
Tazama hapo in real life infinix zero x pro anavyo mkalisha Samsung A52 kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom