Je, simu ipi bora Infinix Hot 12 Vs Samsung A13?

Je, simu ipi bora Infinix Hot 12 Vs Samsung A13?

Kaka hatulinganishi brand tunalinganisha simu zinazo endana kama tukilinganisha bra Samsung bado wako juu unajua infinix anaakili sana hawezi kutoa high-end sababu vifaa vya kutengenezea high-end ni ghali sana akitoa high-end atamuuzia nani maana bei itakua juu sana au labda auze bei ya chini apate asara sababu ni kampuni changa wabongo wazee wakukalili Brand wataibeza tu hawata nunua labda nch nyingine ndio wataielewa sio wabongo
Usiwaonee wabongo tu...hata nchi za watu huko hzo high ends nyengine kama za oneplus...xiaomi na pixels bado haziwapiku kimauzo samsung and apple.
 
mnapata wapi nguvu ya kuifananisha infinx brand ya 30 kwa kutoa simu bora duniani na the best brand ya kwanza samsung kwa simu bora duniani,

tecno ni wa 13 kamzidi parefu infinix

itel wa 19 duniani

enaseketeshaaaaaaas[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tecno zinadharaulika sana, ukiachana na kina Samsung,

Tecno ni bora kuliko infinix
 
Inakalishwa vipi sasa? Unless hata Hujui kuziangalia. Na Snapdragon 720G sio inferior kwa 730G.


Angalia benchmarks mbalimbali hapo
1. Kwenye Single core performance sd 720G ipo vizuri kuliko G95
2. Kwenge Multicore perfomance pia 720G ipo vizuri zaidi
3.kwenye Gpu G95 ipo vizuri zaidi (ila in real life kwenye games 720G ipo vizuri zaidi)
4. Isp ya camera 720G ipo vizuri zaidi
5. Network modem 720G ina speed zaidi

Hebu niambie Hapo kwanini Uchague Helio G95?

Na Hio ni Soc tu Overall vitu vyengine A52 ina Camera kali yenye OIS, Display Nzuri ya Amoled, Refresh rate 120hz na HDR10 juu, Simu ni water proof unaweza ogelea nayo, Software updates kwa miaka 4, na Build Quality ya Samsung.

Convice me infinix zero x ni bora zaidi
Mwamba huyu hapa
 
Tecno zinadharaulika sana, ukiachana na kina Samsung,

Tecno ni bora kuliko infinix
Nna infiix ho6 nimenunua mwaka 2019 mpka sjawai ipeleka kwa Fundi zaidi ya kidude cha kuchaji kulegea na Betty kuisha muda wake ukaanza kuvimba tu.
 
Kuna mtu kasema Samsung A series ni za michongo!! Kwa taarifa yako hakuna sim za Samsung zinazokaa na charge na imara kuliko A series.. hakuna
 
Kuna mtu kasema Samsung A series ni za michongo!! Kwa taarifa yako hakuna sim za Samsung zinazokaa na charge na imara kuliko A series.. hakuna
Hizo tecno zilizochangamka mkuu hakuna simu hapo
 
Back
Top Bottom