Je, shilingi milioni 2 Itatosha kwa biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme?

Mkuu Majigo mi nakubaliana na hili wazo la bluetooth,starting small is the way to go,plus itakupa wewe nafasi ya kujua bidhaa inayotoka zaidi,biashara za rejareja za maduka hupaswi kujaza duka mwanzoni,so kama rent ipo covered nje ya 2M uliyonayo uko katika nafasi nzuri.All the best.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Nitafanyia Kazi Kila Linalofaa,Ahsante Mkuu!
 
Wakuu!
Nipo DAR Kuna kamkopo Natarajia Kupewa Mwez Wa Pili Mwakani
Wazoefu naomba mnishauri Kama pesa hizo zitatosha
na vp upatikanaji wa bidhaa hizo kwa bei ya jumla na mapendekezo yenu ikibidi!
Ahsanteni wakuu!

Nakushauri anza na nguo. Usisikile watu mwaya. Mwenda bure si mkaa bure huenda akaokote. 2 mil ni nyng kwa kuanza retail shop. Got a sis started a clothes shop kitaani with lak 3 only but afta 3 yrs nw she is speaking of 5 mil!! She is my young sis! Ila iwe capital na sio kodi na capital. ALL THE BEST.
 
Kwani ungesema 21M haitoshi si angekuelewa tu? Mpaka umkatishe tamaa kwa kumvunja moyo eti afungue genge? Binadamu bwana!!!

Ni mtoto tu huyo achaneni nae.
Btw mkuu hiyo M2 kusema kweli ni ndogo sana mkuu haitatosha, hiyo ni pesa ya pango tu! Unaweza kusema uanze na vitu vichache sana lakini ujue ndy unafkuza wateja na pesa yako tazunguka hatimaye hautaweza kulipa mkopo!! Kama hauna uwezo wa kujivuta lau mara ufikie kiasi cha chini kabisa 10M basi nakushauri uwaze biashara nyingine, kumbuka kupanga ni kuchagua, na kuchagua sharti ukokotoe. Ukikokotoa vizuri vizuri unaweza kuwekeza kiasi kidogo na ukapata return nzuri, na unaweza ukawekeza kiasi kikubwa ukapata return ndogo. Mfano, wewe ukanunua Hiace kwa 18M ukawa unapata 45K kwa siku, wakati huo mtu mwingine akawa na 4M akaweka vijiwe vinne vya mama ntilie, kila mama ntilie akawa anarejesha elfu20 kwa siku, mara nne anapata 80,000/=!!!! Akili mukichwa.
 
Majigooooo lete mrejesho bana..
Kama ulikaa kwenye stuli ndefu pia sema hahaaaaa (joke)
 
Last edited by a moderator:
wakuu ahsanten sana
biashara tayari ishaanza toka mwezi january mwaka huu, ila si biashara hyo bali ni cosmetics nilibadilisha baada ya kugundua Hardware inahitaji mtaji mkubwa
nashukuru Mungu bado naendelea ingawa kuna changamoto za mauzo, najua ni kawaida ktk biashara!!
 
mkuu Majigo

nina wazo moja .... kama tayari una sehemu yaani chumba cha biashara ningekushauri hivi .... fanya uwezekano wa kuwa specialized dealer wa aina moja ya building materials .... hapa nakushauri uspecialize na Rangi za nyumba ... utakwenda kiwandani Goldstar, Coral au sadoline etc diposit kama 2M halafu watakusajili kama agent wao, watakufungulia account na kukupatia sales, marketing and promotional tools kama brochours, calendars, catalogs pia watali-brand duka lako kwa rangi na picha za bidhaa pia wataweka bango lenye jina la duka lako

hakikisha rangi aina zote zipo ( roofing, floor, wall paint) emulsion paints, high gloss paints and all acrylic paints - vinyl silk, weather Guard etc pamoja na kuwa ujazo mbali mbali mdogo mpaka mkubwa (0.5litre to 20litres), weka pia viambata kama solvents, high gloss, brushes, primer

anza kwa stock ndogo, sio lazima uanze na vyote nilivyosema ili upanuke, tafuta mafundi rangi wa maeneo uliyopo wapatie promo watakaponunua let say 10pcs unawapa punguzo and more and more and more available business tricks not to mention

all the best
brilliant idea.
 
Ni mtoto tu huyo achaneni nae.
Btw mkuu hiyo M2 kusema kweli ni ndogo sana mkuu haitatosha, hiyo ni pesa ya pango tu! Unaweza kusema uanze na vitu vichache sana lakini ujue ndy unafkuza wateja na pesa yako tazunguka hatimaye hautaweza kulipa mkopo!! Kama hauna uwezo wa kujivuta lau mara ufikie kiasi cha chini kabisa 10M basi nakushauri uwaze biashara nyingine, kumbuka kupanga ni kuchagua, na kuchagua sharti ukokotoe. Ukikokotoa vizuri vizuri unaweza kuwekeza kiasi kidogo na ukapata return nzuri, na unaweza ukawekeza kiasi kikubwa ukapata return ndogo. Mfano, wewe ukanunua Hiace kwa 18M ukawa unapata 45K kwa siku, wakati huo mtu mwingine akawa na 4M akaweka vijiwe vinne vya mama ntilie, kila mama ntilie akawa anarejesha elfu20 kwa siku, mara nne anapata 80,000/=!!!! Akili mukichwa.

Umeongea kitu kikubwa sana mkuu yaan leo hii mwenye mtaji wa lak 8 anaenda fuata mihogo chanika anapata faida ya lak1 kwa cku zaid ya alyeekeza M18 kwenye Hiace.Me nadhan hapa tumejiwekea matabaka wenyewe ya kuchagua kaz kaka maana tunaamini kuna kaz ni za wasiosoma
 
Habari zenu wanajamvi.

Mwenye uzoefu wa biashara hii hasa mtaji wa kuanzia na upatikanaji wa vifaa husika kutoka kwa wauzaji wa jumla.
 
Vifaa unavyoweka dukani inategemea na eneo husika, kuna maeneo ambayo yameshajengwa sana na ni makazi ya watu wengi tu hivyo hilo duka lako litakuwa linauza sana vifaa kwa ajili ya kurepair repair tu kama switch moia, taa moja, bomba linavuja nk

Lakini kuna maeneo ambayo ndio yanajengwa hapo ndio unaweza fanya biashara kubwa, mtu anaweza nunua nondo 50, cement 30, mbao za kutosha nk

ungesema ni eneo gani hasa kwa maana ya hayo maelezo hapo juu ili usaidiwe nini cha kuweka

usiwe na hofu ya mtaji, vitu vingine kwenye duka huwa ni kama mapambo tu
 
Wajasiriamali siku zote hawakatishani tamaa,,yule jamaa hatakuwa sio mjasiriamali na hana ndoto za ujasiriamali so mtoa post msamehe
 
Vifaa unavyoweka dukani inategemea na eneo husika, kuna maeneo ambayo yameshajengwa sana na ni makazi ya watu wengi tu hivyo hilo duka lako litakuwa linauza sana vifaa kwa ajili ya kurepair repair tu kama switch moia, taa moja, bomba linavuja nk

Lakini kuna maeneo ambayo ndio yanajengwa hapo ndio unaweza fanya biashara kubwa, mtu anaweza nunua nondo 50, cement 30, mbao za kutosha nk

ungesema ni eneo gani hasa kwa maana ya hayo maelezo hapo juu ili usaidiwe nini cha kuweka

usiwe na hofu ya mtaji, vitu vingine kwenye duka huwa ni kama mapambo tu
Nashukuru sana mkuu, nipo Dodoma na kwa maeneo ninayoishi kuna shughuli nyingi tu za ujenzi, nilitaka kuanza na tiles pamoja na gypsum boards.
 
Je unasumbuliwa na mashine yako ya kutotolea mayai?

Je mashine yako haitotoleshi vizuri,inaacha mayai mengi?

Je mashine yako inatumia umeme mwingi na inakugharimu sana?

Je ulishakata tamaa,au unashida yoyote kwenye mashine za kutotoleshea?

MWAKALINGA GENERAL ENTERPRISES WALIOKO MBURAHATI KINONDONI DAR ES SALAAM NI WATAALAMU WALIOBOBEA KWENYE INCUBATOR ZA KILA AINA.

TUNAUNDA INCUBATOR ZENYE UWEZO WA KUTUMIA SOLAR,MAFUTA YA TAA,NA UMEME.

KARIBUNI KWA MAHITAJI YENU.EPUKA MATAPELI AMBAO HAWANA UTAALSMU WANAWEZA KUWAHARIBIA MASHINE,KUMBUKA KUWA MASHINE HIZI NI MALI NZURI INAYOWEZA KUKUONDOA KWENYE UMASKINI.

TUONE,KUTANA NASI,AU TUPIGIE.....
0784413039.

MWL.ELIASANTE MWAKALINGA.
 
mkuu Majigo

nina wazo moja .... kama tayari una sehemu yaani chumba cha biashara ningekushauri hivi .... fanya uwezekano wa kuwa specialized dealer wa aina moja ya building materials .... hapa nakushauri uspecialize na Rangi za nyumba ... utakwenda kiwandani Goldstar, Coral au sadoline etc diposit kama 2M halafu watakusajili kama agent wao, watakufungulia account na kukupatia sales, marketing and promotional tools kama brochours, calendars, catalogs pia watali-brand duka lako kwa rangi na picha za bidhaa pia wataweka bango lenye jina la duka lako

hakikisha rangi aina zote zipo ( roofing, floor, wall paint) emulsion paints, high gloss paints and all acrylic paints - vinyl silk, weather Guard etc pamoja na kuwa ujazo mbali mbali mdogo mpaka mkubwa (0.5litre to 20litres), weka pia viambata kama solvents, high gloss, brushes, primer

anza kwa stock ndogo, sio lazima uanze na vyote nilivyosema ili upanuke, tafuta mafundi rangi wa maeneo uliyopo wapatie promo watakaponunua let say 10pcs unawapa punguzo and more and more and more available business tricks not to mention

all the best

Many thank you
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom