Je, shilingi milioni 2 Itatosha kwa biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme?

mkuu Majigo

nina wazo moja .... kama tayari una sehemu yaani chumba cha biashara ningekushauri hivi .... fanya uwezekano wa kuwa specialized dealer wa aina moja ya building materials .... hapa nakushauri uspecialize na Rangi za nyumba ... utakwenda kiwandani Goldstar, Coral au sadoline etc diposit kama 2M halafu watakusajili kama agent wao, watakufungulia account na kukupatia sales, marketing and promotional tools kama brochours, calendars, catalogs pia watali-brand duka lako kwa rangi na picha za bidhaa pia wataweka bango lenye jina la duka lako

hakikisha rangi aina zote zipo ( roofing, floor, wall paint) emulsion paints, high gloss paints and all acrylic paints - vinyl silk, weather Guard etc pamoja na kuwa ujazo mbali mbali mdogo mpaka mkubwa (0.5litre to 20litres), weka pia viambata kama solvents, high gloss, brushes, primer

anza kwa stock ndogo, sio lazima uanze na vyote nilivyosema ili upanuke, tafuta mafundi rangi wa maeneo uliyopo wapatie promo watakaponunua let say 10pcs unawapa punguzo and more and more and more available business tricks not to mention

all the best
 
Last edited by a moderator:

this is classic advice, nimejifunza kitu hapa, asante sana mkuu!!
 
Mkuu heshima, Kama washika dau walivyo sema hapo juu,

Kilichopo sasa ni wewe kuanza kazi mkuu make mwaka 2013 ni mwaka wa Vitendo zaidi kuliko maneno, mkuu kazi imebakia kwako kufanya utafiti wa nini uataweka kwa sababu sisi mtaani kwako htupajui kabisa na wewe ndo unajua mazingira ya hapo ulipo,

Ukisha fahamu hilo basi ni kuanza kazi na kuhakikisha unapunguza cost kwa kufanya kazi nyingi peke yako au kumtumia mke wako kama unaye,

Tumia usafiri rahisi au hata saazingine bebe kichwani, hakuna kuona aibu katika swala zima la vita ya ujasirimali,

So hiyo milioni 2 itakuwa kubwa endapo utafuata principal zote za biashara
 
Mkuu Umeongeza Kitu Kipya Ktk Ufaham Wangu
Haraka Sana Itabidi nifanye Utafiti Ni Kampuni Gani Ya Rangi Inayokubalika Zaidi!
Ahsante Sana!
 
Last edited by a moderator:
kwa hardware store..hiyo pesa ni ndogo sana lakini unaweza kuanzisha genge shop zuri tu.

Ni Kweli Mkuu Ila Hata Hii Ndogo Unayosema
Inaweza Fanya Kitu Kikubwa
Cha Muhimu Ni Kuangalia Bidhaa Zinazohitajika Kwa Sehemu Uliyopo!

Maana Unaweza Fungua Hardware Ukajaza Mzigo Mwingi wenye Mtaj Mkubwa, Lakin Ununuz ukawa Ni Kwa Vitu Vichache tu Ambavyo Hata Mimi Naweza Kuvpata Kwa Hii Ml2
Ahsante sana kiongoz!
 
huu mchanganuo wako uliouweka utamkatisha tamaa baadae..inatakiwa aanze na vifaa vya kawaida vya hardware sio kukimbilia cement.
Unaweza anza na vitu vya kawaida vinavyotoka kwa uraisi mfano brush za rangi,nyundo,misumari,bawaba,vanish,socket,taa za ndani,nyaya,mafagio ya ndani nje chooni,vitasa,plug na vitu vinavyofanana na ivyo..na unapoenda kununua kariakoo hakikisha kila kitu umechukua japo kwa uchache,hapa namaanisha usije ukabeba boksi zima la nyundo alafu misumari ikakosekana..unaweza ukachukua nyundo tano,taa za ndani 30,vitasa kumi yani namaanisha mtu anapokuja dukani akiuliza kitu ata kama anunui hakikosi..maana watu tulivyo ukienda hardware ukaulizia superglue ukaambiwa haipo sijui kama utarudi siku nyengine..hii ya kununua vitu mbalimbali japo kwa uchache itakuwa inakurudisha kila mara kariakoo ni inasumbua ila ni nzuri kwa kukukuza kibiashara na baada ya mwaka utashangaa utakavyopaa.

Mkuu MATUMBO itabidi Nitathmini Vifaa Vitokavyo Kwa Urahisi
Shukran Sana!
 
Mkuu heshima, Kama washika dau walivyo sema hapo juu,

Kilichopo sasa ni wewe kuanza kazi mkuu make mwaka 2013 ni mwaka wa Vitendo zaidi kuliko maneno, mkuu kazi imebakia kwako kufanya utafiti wa nini uataweka kwa sababu sisi mtaani kwako htupajui kabisa na wewe ndo unajua mazingira ya hapo ulipo,

Ukisha fahamu hilo basi ni kuanza kazi na kuhakikisha unapunguza cost kwa kufanya kazi nyingi peke yako au kumtumia mke wako kama unaye,

Tumia usafiri rahisi au hata saazingine bebe kichwani, hakuna kuona aibu katika swala zima la vita ya ujasirimali,

So hiyo milioni 2 itakuwa kubwa endapo utafuata principal zote za biashara

Nafarijika Kweli Kuona Mkuu Wangu CHASHA unatumia Mda Wako Kunipa Motisha Nzuri Kama Hivi!
Ahsante Mkuu, Nitazingatia Kanuni Zote Mlizonipatia!
 
JAMANI!!
NASHUKURUNI NYOTE MLIOTOA MICHANGO YENU YA FIKRA ZA KIMAENDELEO

HUO NDIO MOYO UNAOFA A, MMESAIDIA WENGI KWA USHAURI WENU
HATA KAMA SI SASA, BASI HUU USHAURI UTAFAA MBELENI

MUNGU AWAPE HERI NYINGI KTK KILA NYANJA ZA MAISHA YENU!
Amina!
 
mkuu, usikate tamaa !! kama fremu ya biashara unayo tayari katika location nzuri i mean kodi haimo kwenye 2M, basi unaweza kuanza kwa kuweka vitu ambavyo ni fast moving na visivyohitaji mtaji mkubwa, uneweza anza na misumari, binding wire, square box, conduit pipes, hata switches na sockets ukanunua nusu dozen, baada ya kuwa na duka then kuna suppliers wenye maduka makubwa ya wholesale watakupa mzigo kwa mali kauli

mtaji wa cement ni mkubwa faida ndogo sana

all the best

Bonge la ushauri mkuu, unajua watz wengi hatuendelei kwa kuwa tunadhani mtaji ukiwa mkubwa ndio biashara kama mdau mmoja amem-discourage kamanda wetu kwa kumwambia hata 21m haitoshi. Unajua biashara si mtaji tu bali kuna kitu kingine kama ujuzi na uzoefu wa kile unachotaka kufanya nacho ni muhimu na ili upate ujuzi na uzoefu unahitaji kupata kutoka kwa watu wenye uzoefu na kupata ushauri mzuri kama uliompa wa kuanza na fast moving product.

Kuna vitu viwili vya kuzingatia kabla ya kuchukua mkopo, moja uingie gharama ya kuanzia ambayo na ujenzi wa fremu, pango la chumba cha biashara, leseni alafu mbili unatakiwa utafute gharama za undeshaji wa shughuli ambayo unataka kufanya (na ndio huo mkopo uliochukua). In this case hiyo ela inatosha kwa kuanzia huku ukijipanga zaidi pia kumbuka kuwa na mbinu za kibiashara mfano bidhaa hata kama huna jitahidi kuwaambia zipo stoo ili ikiwezekana wawe wanatoa advance au wanalipa zote utakachofanya ni kuwaletea mzigo faster kwa hela zao wenyewe huku na wewe umepata faida

Ila Majigo nilichojifunza hapo ni kwamba inaelekea bank wamekupa mkopo bila kuangalia kwa makini proposal yako ya biashara maana kama wangeiangalia maana yake wangekushauri au wasingetoa hiyo loan maana ukimpa loan mtu ambae hana wazo la biashara maana yake ni kwamba kipindi ambacho anatakiwa aingize ela kwenye biashara yeye ndio anafikiria nini cha kufanya mwisho wa siku wakati anatakiwa aanze marejesho yeye ndio anaanza biashara. (nime assume kama bank ndio wamekupa mkopo, unless kama umechukua mkopo kwa mdau wa kawaida)

All in all wewe komaa utatoka na ni vizuri kuanza kwa kidogo ili upate uzoefu na once utakapopata hela nyingi tayari risk ya kupotea kwa hela inakuwa ni ndogo tofauti kama ungeanza na 21m ambazo hata hivyo huna uzoefu
 
Mwanzo mgumu inaweza lakini vifaa vichache tu.
mfano sementi tani 3 makadirio 900,000/-
chokaa, niru 200,000/
misumari 300,000/-
kodi ya nyuma 70,000/- x miezi stta = 420,000/-
kama mahali ni pazuri na sementi inatoka kwa haraka mtaji utakua kidogokidogo na utaendele kuongeza vifaa taratibu au pengine utapata hamu ya kuongeza mkopo. Huu ni mfano tu.

Duuh kweli nimeamini kila kitu kinatosha hata kama ni laki 4, ushauri mzuri huu kaka
 
Bonge la ushauri mkuu, unajua watz wengi hatuendelei kwa kuwa tunadhani mtaji ukiwa mkubwa ndio biashara kama mdau mmoja amem-descourage kamanda wetu kwa kumwambia hata 21m haitoshi. Unajua biashara si mtaji tu bali kuna kitu kingine kama ujuzi na uzoefu wa kile unachotaka kufanya nacho ni muhimu na ili upate ujuzi na uzoefu unahitaji kupata kutoka kwa watu wenye uzoefu na kupata ushauri mzuri kama uliompa wa kuanza na fast moving product.

Kuna vitu viwili vya kuzingatia kabla ya kuchukua mkopo, moja uingie gharama ya kuanzia ambayo na ujenzi wa fremu, pango la chumba cha biashara, leseni alafu mbili unatakiwa utafute gharama za undeshaji wa shughuli ambayo unataka kufanya (na ndio huo mkopo uliochukua). In this case hiyo ela inatosha kwa kuanzia huku ukijipanga zaidi pia kumbuka kuwa na mbinu za kibiashara mfano bidhaa hata kama huna jitahidi kuwaambia zipo stoo ili ikiwezekana wawe wanatoa advance au wanalipa zote utakachofanya ni kuwaletea mzigo faster kwa hela zao wenyewe huku na wewe umepata faida

Ila Majigo nilichojifunza hapo ni kwamba inaelekea bank wamekupa mkopo bila kuangalia kwa makini proposal yako ya biashara maana kama wangeiangalia maana yake wangekushauri au wasingetoa hiyo loan maana ukimpa loan mtu ambae hana wazo la biashara maana yake ni kwamba kipindi ambacho anatakiwa aingize ela kwenye biashara yeye ndio anafikiria nini cha kufanya mwisho wa siku wakati anatakiwa aanze marejesho yeye ndio anaanza biashara. (nime assume kama bank ndio wamekupa mkopo, unless kama umechukua mkopo kwa mdau wa kawaida)

All in all wewe komaa utatoka na ni vizuri kuanza kwa kidogo ili upate uzoefu na once utakapopata hela nyingi tayari risk ya kupotea kwa hela inakuwa ni ndogo tofauti kama ungeanza na 21m ambazo hata hivyo huna uzoefu

Nimekusoma Kwa Umaakini Kiongozi
Mkopo Nitategemea Kuupata miezi Miwili Toka Sasa, Ni Ndugu Yangu Ndie Atakayenipa Huu Mkopo Na Si Benki

Hii biashara nina uzoefu Nayo(malaw) hivyo husijal mkuu
Vilevile umedokeza kuhusu kuwaambia wateja kuwa vifaa vingine viko stoo, ni kweli mkuu hili suala litanijengea uaminifu kwa wateja wangu!
Ahsante sana!
 
Last edited by a moderator:
huu mchanganuo wako uliouweka utamkatisha tamaa baadae..inatakiwa aanze na vifaa vya kawaida vya hardware sio kukimbilia cement.
Unaweza anza na vitu vya kawaida vinavyotoka kwa uraisi mfano brush za rangi,nyundo,misumari,bawaba,vanish,socket,taa za ndani,nyaya,mafagio ya ndani nje chooni,vitasa,plug na vitu vinavyofanana na ivyo..na unapoenda kununua kariakoo hakikisha kila kitu umechukua japo kwa uchache,hapa namaanisha usije ukabeba boksi zima la nyundo alafu misumari ikakosekana..unaweza ukachukua nyundo tano,taa za ndani 30,vitasa kumi yani namaanisha mtu anapokuja dukani akiuliza kitu ata kama anunui hakikosi..maana watu tulivyo ukienda hardware ukaulizia superglue ukaambiwa haipo sijui kama utarudi siku nyengine..hii ya kununua vitu mbalimbali japo kwa uchache itakuwa inakurudisha kila mara kariakoo ni inasumbua ila ni nzuri kwa kukukuza kibiashara na baada ya mwaka utashangaa utakavyopaa.
Sawa lakini wako watu huanza na sementi peke yake na wakatoka ili mradi tu iwe ni sehemu watu wanahamia au ni strategic kama sehemu ambayo wenye magari wanapita kuelekea site
 
Wakuu mie naomba kuuliza cement tani tatu, inamaana huuzwa kwa tani na si idadi ya mifuko? Thanks.
tani moja ni mifuko 20 kama unanunu kiwandani say Wazo Hill unanunua kwa tani. labda unaanzia na 1 na bei ni nafuu. kama kuna depot pia utaelekezwa.
 
Mkuu kwani lazima ufanye biashara hiyo,kwa nini usibuni biashara nyingine itakayoendana na kiasi hicho cha fedha?
 
Kiongoz TUKUTUKU
Kutokana Na Maoni Ya Wadau, Itabidi Nianzishe Biashara Inayoendana Na Mtaji nilionao!
Shukran
 
mkuu, usikate tamaa !! kama fremu ya biashara unayo tayari katika location nzuri i mean kodi haimo kwenye 2M, basi unaweza kuanza kwa kuweka vitu ambavyo ni fast moving na visivyohitaji mtaji mkubwa, uneweza anza na misumari, binding wire, square box, conduit pipes, hata switches na sockets ukanunua nusu dozen, baada ya kuwa na duka then kuna suppliers wenye maduka makubwa ya wholesale watakupa mzigo kwa mali kauli

mtaji wa cement ni mkubwa faida ndogo sana

all the best

Mkuu Majigo mi nakubaliana na hili wazo la bluetooth,starting small is the way to go,plus itakupa wewe nafasi ya kujua bidhaa inayotoka zaidi,biashara za rejareja za maduka hupaswi kujaza duka mwanzoni,so kama rent ipo covered nje ya 2M uliyonayo uko katika nafasi nzuri.All the best.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom