Je, sheria inaruhusu kumuua mtuhumiwa wa ujambazi asiye na silaha anayewakimbia Polisi?

Ni kosa kubwa kumuuwa
Kama ni mtuhumiwa kwanini asifungwe pingu?
Hili wanalijua kabisa kuwa pingu ni moja ya zana walizopewa kuzitumia sasa iweje hazitumiwi? Au kama ile staili ya USA
Mtu mweusi anaulizwa kitambulisho akiingiza mkono mfukoni wanamuwasha risasi
Kesi: He was reaching for a gun


Sent from my iPhone using Tapatalk
Unamfungaje pingu mtu aliyekataa kusimama na kuanza kukimbia???????
 

Attachments

  • Screenshot_20200227-091014.png
    Screenshot_20200227-091014.png
    19.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200227-091014.png
    Screenshot_20200227-091014.png
    19.3 KB · Views: 1
Kwahiyo mtuhumiwa wa ujambazi asiye na silaha akikimbia auwawe sio?
Hakuna sheria inayoruhusu kuuawa ila ipo hivi; Criminal procedure act (CPA) inasema hivi "Matumizi ya silaha yanaweza tumika kwa Mtu yoyote anayejaribu kumtorosha au kutoroka toka kizuizini au chini ya ulinzi" ila kabla ya kufanya matumizi ya silaha, askari atatakiwa kupiga risasi 2 hewani kuashiria kuwa matumizi ya silaha yanakaribia hivyo mtuhumiwa asimame ila kama anaendelea kukaidi amri ya kusimama, askari itabidi ampige risasi sehemu yoyote chini ya kiuno kuelekea miguuni ili kumpunguza kasi ila bahati mbaya huwaga wanakufa kwa kutokwa na damu nyingi.

5/5
 
Wengine huwa wanapelekwa kwenye tukio na habari zinakuja jambazi kakimbia akapigwa risasi
Hao ndio naongelea wanaopelekwa huko


Sent from my iPhone using Tapatalk
That probability is always a possibility and is not confined to Tanzania's environment alone.
 
Kwa wenzetu ukimshoot mtuhumiwa asiye na weapon kwa nyuma yani mfano akiwa kakupa mgongo hiyo inaweza kuwa kesi
 
Wenzetu gani??? Marekan haipiti wiki kwa matukio kama haya na hasa kwa watu wenye asili ya hispanic na weusi.
 
kisheria ndio wanaweza kudai ILA sio kwa nchi hii ya kwetu,wajibu wa kisheria haupo kabisa na mbaya zaidi kama haupo kwenye ile 2% ya wanaotawala nchi hii,kwa nchi za wenzetu zinazoheshimu sharia hili haliwezi fanyika maana suspect was running away kwa hiyo hakuwa threat kwa yeyote,polisi wangelazimika kuomba back up ili suspect aweze kukamatwa ,ila kama alikuwa anakimbia na silaha hapo may be deadly force ingeweza tumika maana kuna uwezekano suspect angeitumia kudhuru raia.kuishitaki serikali yetu wakati watawala ndio wanauteua majaji ni ngumu mno,ni rahisi kupata majozi ya kuku kuliko la kuishitaki serikali.
Hebu somo hii toka kwa hao mnaodai kuwa wameendelea kufuata sheria.
In One Year, 57,375 Years of Life Were Lost to Police Violence
A new study finds police killings exact a toll greater than accidental gun deaths.
OLGA KHAZANMAY 8, 2018

A black man with a painted face
A protester with a painted face joins the demonstrations over the police shooting of Keith Scott in Charlotte, North Carolina, in 2016. MIKE BLAKE / REUTERS

People killed by police in 2015 and 2016 had a median age of 35, and they still had an average of about 50 years left to live when they died. It’s this metric—the gap between how long someone lives and how long they were expected to live—that’s the focus of a new study by Anthony Bui, Matthew Coates, and Ellicott Matthay in the Journal of Epidemiology and Community Health.

To find the true toll of police violence, the authors focused on years of life lost. They used data from “The Counted” a Guardian database of people killed by police, to find the races and ages of everyone who died at the hands of police in the United States, then compared them to the average life expectancy for those groups.
Of the 1,146 and 1,092 victims of police violence in 2015 and 2016, respectively, the authors found 52 percent were white, 26 percent were black, and 17 percent were Hispanic. Together, these individuals lost 57,375 years to police violence in 2015 and 54,754 to police violence in 2016. Young people and people of color were disproportionately affected: 52 percent of all the years of life lost were lost by nonwhite, non-Hispanic ethnic groups. Whites also tended to be killed by police at older ages than African Americans and Hispanics—though this is partly because in the general population, whites are older on average than the other groups.


The total number of years of life lost at the hands of police in one year is similar to the number that Americans lose to meningitis, or maternal deaths. It’s more than the years of life lost to accidental gun deaths.
The study findings echo those from past journalistic investigations. Washington Post analyses from the past several years show that black males are shot by police at disproportionately high rates. According to several different studies, black men aged 15–34 are between nine and 16 times more likely to be killed by police than other people. In 2017, police killed 19 unarmed black males, down from 36 in 2015, according to The Washington Post. The Post analyses also showed that police usually use fatal force against people armed with knives or guns. (The FBI counted 435 “justifiable homicides” by police officers in 2016, and in 429 of the cases, the person had a firearm when killed.) But unarmed victims of police shootings are also more likely to be minorities, according to FBI statistics.)

Meanwhile, 46 police officers were “feloniously” (as opposed to unintentionally) killed in the line of duty in 2017, down from 66 in 2016. Twenty-seven have been feloniously killed so far this year, and another 15 have died in accidents like car crashes. Neither the FBI nor this study tracks their average years of life lost, but one source puts the 2017 fallen officers’ average age at 43. Another data source suggests that about two-thirds of people killed by police officers were attacking the officer.
There are ways to minimize police shootings, which happen in other industrialized countries far less frequently than in the United States. Gun control could reduce the number of armed people police encounter. A quarter of those killed by police show signs of mental illnesses, so better mental-health care might further reduce police shootings.
Finally, some police departments have tried de-escalating risky encounters. In Germany, police officers spend years in trainings with titles like, “Don’t Shoot,” in which they’re lauded for pulling pepper spray instead of pistols. The Los Angeles Police Department recently began presenting a “preservation-of-life medal to an officer who makes great efforts to avoid a fatal shooting,” the Post reported. Police shootings in L.A. declined—to 15 in 2017, from 21 in 2015. It’s a slight change, but as this study shows, every life, and every year of it, counts.
 
Raia mwema kwa kawaida huwa hawezi kukimbia akiamriwa na askari mwenye silaha. wengine hata haja ndogo huwatoka wanapoamrishwa hivyo.
Miaka mingi iliyopita nikiwa ninaendesha gari maeneo ya mwananyamala nilitoka kwenye starehe na nikamsindikiza rafiki yangu nyumbani kwake.
Kabla sijafika mbali nilisimamishwa na askari wa doria ambao walikuwa na Landrover 110. Nilisimama lakini mitutu ya bunduki kama 10 hivi ilikuwa imelengwa kwangu. Nilitoka mikono ikiwa juu [pombe zote ziliyayuka]. Wakanihoji kitemi kabisa nami niliwajibu kistaarabu wakaomba kadi ya gari pamoja na kitambulisho changu nikawapo. Baada ya ukaguzi huo waliniomba radhi na kuniruhusu kuondoka.
Baadaye nilikuja fahamishwa kuwa walikuwa wamemlia dago mtaalam mmoja wa ujambazi ambaye alikuwa na gari iliyofanana sana na yangu.[Siku ya pili nilipomhadithia rafiki yangu aliniambia kuwa jana yake baada ya kuachana nami risasi zilirindima eneo lilie kwani na kuna jambazi ambaye alikuwa anatafutwa, kwa siku nyingi aligoma kusimama na kujaribu kukimbia basi wakaamua kumwasha kwa risasi na alifia hapo hapo.].
Je, mtuhumiwa wa ujambazi asiye na silaha anapokimbia away from you, una haki ya kumuua?
 
Wengine huwa wanapelekwa kwenye tukio na habari zinakuja jambazi kakimbia akapigwa risasi
Hao ndio naongelea wanaopelekwa huko


Sent from my iPhone using Tapatalk
Walitoka nae kituoni ili akaonyeshe wenzake walipo, walitoka nae vipi bila pingu?
 
Hakuna sheria inayoruhusu kuuawa ila ipo hivi; Criminal procedure act (CPA) inasema hivi "Matumizi ya silaha yanaweza tumika kwa Mtu yoyote anayejaribu kumtorosha au kutoroka toka kizuizini au chini ya ulinzi" ila kabla ya kufanya matumizi ya silaha, askari atatakiwa kupiga risasi 2 hewani kuashiria kuwa matumizi ya silaha yanakaribia hivyo mtuhumiwa asimame ila kama anaendelea kukaidi amri ya kusimama, askari itabidi ampige risasi sehemu yoyote chini ya kiuno kuelekea miguuni ili kumpunguza kasi ila bahati mbaya huwaga wanakufa kwa kutokwa na damu nyingi.

5/5
Miguu imehamia mgongoni..
 
Back
Top Bottom