Je, Serikali ya Tanzania ni Mbia wa Kampuni ya Taifa Group?

Rais sio mamlaka ya kuendorse uwezo wa kampuni kutekeleza majukumu yake ya kimkataba.

Jukumu la kuhakikisha kama unayeingia nae kwenye mkataba anauwezo huo ni la mshiriki wa mkataba huo.

Unachokisema wewe ni Rais ku assume majukumu ya Guarantor ambayo sio majukumu yake maana hiyo ni private company unless yeye ana shares au serikali ina shares.

Kuna red flags kila mahali kuhusiana na hili.
Alisaini kama ushahidi mshuhudiaji utiaji sainii.Hakuna shida

Tanzania, US sign investment agreements worth Sh11.7 trillion​

Saturday April 23 2022​

The deals with key private sector companies are worth $5.04 billion (Sh11.3trillion) and are expected to create an estimated 301, 110 jobs in agriculture, tourism, trade and other sectors of the economy.

The signing of the agreement was witnessed by President Samia Suluhu Hassan who is in the United States for a two-week official trip.
According to a statement issued by the directorate of presidential communications, the deals with key private sector companies are worth a total of $5.04 billion (Sh11.3trillion) and are expected to create an estimated 301, 110 jobs in agriculture, tourism, trade and other sectors of the economy.
Tan-US 2

President Samia Suluhu Hassan with US Chamber of Commerce CEO Suzanne Clark at the Chamber's offices in Washington DC.

“President Samia witnessed the signing or Memorandums of Understanding (MoUs), letters of intent and announcements to initiate negotiations on investment, trade and business relations between US companies and Tanzania in Washington D.C.” reads part of the statement.
The statement further adds: Other projects will target maximization of value chain activities within the northern Circuit or Tanzania's tourism industry by modernizing the promotion, services and diversification or tourism products.
“President Samia also witnessed important announcements for US based Companies that have interests and plans to engage in Tanzania economic business and trade relations. They include Upepo Energy and Astra Energy Crane Currency and parallel Wireless,” added the presidency in the statement.
Among other engagements, President Samia also attended the Executive Business Roundtable at the U.S. Chamber of Commerce headquarters in Washington DC which brought together members of the business community, government and representatives of the private sector from both countries to discuss mutual investment, trade and business opportunities.
The President’s visit has also seen her launch the Royal Tour documentary in New York on April 18, and Los Angeles California on April 21.
She also met and discussed a wide range of issues with US Vice President Kamala Harris at White House, Washington DC on Friday May 15.

Source :The Citizen
 
Rais sio mamlaka ya kuendorse uwezo wa kampuni kutekeleza majukumu yake ya kimkataba.

Jukumu la kuhakikisha kama unayeingia nae kwenye mkataba anauwezo huo ni la mshiriki wa mkataba huo.

Unachokisema wewe ni Rais ku assume majukumu ya Guarantor ambayo sio majukumu yake maana hiyo ni private company unless yeye ana shares au serikali ina shares.

Kuna red flags kila mahali kuhusiana na hi, Raisi hajaingia mkataba hapo
Nani kakuambia Raisi kaingia mkataba hapo au kaweka any endorsement, Raisi sio kupiga siasa tuu ndio maana msafara wake umejaa wafanyabiashara wengi sana, kumbuka serikali inategemea makampuni makubwa kupata kodi zake, hata mavita ya US wanayopigana huko middle east ni kwa ajiri ya makampuni yao ya mafuta kama chevrolet, BP, Shell etc yafanye kazi ili walipe kodi, acha watafute deal/ investment zije na kama rushwa itajitokeza itashughulikiwa accordingly
 
Siku ya tarehe 23 Aprili, 2022 Rais Samia alishiriki utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara baina ya kampuni ya Taifa Group na kampuni ya Northern feed co.

Mkataba huo wenye thamani ya Dola milioni 500 sawa na trilioni moja za kitanzania utakua katika uzalishaji wa soya, ngano , sukari etc.

Anayeonekana kusaini makubaliano hayo ni Bwn. Rostam Aziz ambaye ndiye mmiliki wa Kampuni hiyo.

Bwn. Rostam Aziz ambaye ndiye mmiliki wa kampuni ya Taifa Gas alikuwepo pia katika delegation ya Rais iliyokwenda Kenya na kuingia makubaliano ya kuisambazia Kenya Gesi.

Kwakua Bwn. Aziz sio sehemu ya Serikali utiliwaji saini wa makubaliano hayo ni jambo binafsi zaidi kuliko la kisiasa.

Uwepo wa Rais ambaye ni nembo ya mamlaka ya Nchi katika jambo binafsi unaleta ukakasi kidogo kwani sisi wananchi hatuna taarifa zozote za umiliki wowote wa Serikali iwe kwa hisa au kwa namna yoyote katika kampuni hiyo.

Hivyo basi kama Tanzania ina shares katika kampuni ya Taifa Group ni vyema tukaambiwa ama la tueleweshwe kuhusiana na uwepo wa kampuni hii katika ziara za Rais na ulazima wa Taifa kuhusishwa katika mambo binafsi ya kampuni hii.

View attachment 2199343

Mtu ukiwa mjinga hata uwezo wa kuchambua mambo unakuwa matatizo.
Magufuli alipo mpa Bakhressa eneo la hekta 10,000 huko Bagamoyo nalo lilikuwa suala binafsi, au?
 
Watanzs

Watanzania tuache akili za kimasikini tulizo nazo.

Tutambue kuwa kila biashara iliyoko hapa Nchini Serikali ni Mbia ( Indirect Partner).

Ndio maana katika faida unayotengeneza (net income) ,Serikali inachukua 30% ( corporate tax , income tax).

Sasa Rais kama Mkuu wa Serikali akimsaidia Mtanzania kupata biashara kubwa ambayo italeta mapato, ajira na technology Nchini mwetu kuna shida gani?!

Tuacheni tabia za kijinga na kuwa skeptical kwa kila kitu na tujaribu kuwa objective muda wote ili tupige hatua.

Na kimsingi hiyo ndo kazi Rais mwenye akili anapaswa kufanya muda wote!

Tanzania imejaa midude mijinga sana! kutwa kulalamika mara maisha magumu,ajira hakuna! Viongozi wakifanya jitihada za kuvutia mitaji inayoweza kuleta ajira kwa watu na unafuu wa maisha mnapiga tena kelele!

Mara hii mmesahau ni wawekezaji wangapi walikimbia hapa Tanzania kutokana na sera za kimasikini za Hayati Magufuli? Biashara ngapi zilikufa wakati wa Magufuli?!

Hivyo kujenga tena confidence kwa wawekezaji inahitaji mkakati na si lelemama.

Mtu kuleta Mtaji wa dola milioni 500 ($ 500) kunahitaji assurance kubwa, mojawapo ni hiyo ya Head of State kushuhudia mkataba huo.

Dangote aliwekeza dola milioni 600 ($ 600) kwenye cement hapa Nchini, adha alizopata wakati wa Hayati Magufuli alijuta sana kuwekeza Tanzania !

Tuna watu wengi wenye akili za kimasikini sana,nyie kina Statesman na Stroke badilikeni!
 
Mtu ukiwa mjinga hata uwezo wa kuchambua mambo unakuwa matatizo.
Magufuli alipo mpa Bakhressa eneo la hekta 10,000 huko Bagamoyo nalo lilikuwa suala binafsi, au?
Wewe unavyoona hizo situations mbili zinafanana??
 
Kama ni muwekezaji alipaswa kuwasiliana na Tic na kupata njia sahihi kuja kuwekeza.

Ishu za kuingia ubia na Taifa group sio za taifa letu hadi mkuu wa nchi awepo hapo..

Ardhi sio mali ya rais. Ni mali ya umma rais ni msimamizi tu.

Kama serikali ilitakiwa kufacilitate hata ubalozi wa Tz Usa anatosha.
Kwani uliona Raisi anatia sahihii?
TIC iko chini ya wizara za serikali na kiongozi mkuu wa serikali ni Raisi.
Ubia unaosema ni upi mbona hakuna chembe ya ubia?
Ardhi iko chini ya Raisi ana mamlaka kukupa au kukunyanga ardhi.Hivyo Uraisi kama taasisi ndio mwenye dhamana ya ardhi,tuliobaki ni wapangaji tu.
Facilitator sio ubalozi tu na ndio sababu uliona key players kwa maana ya kufanya biashara umejumuisha kada mbali mbali.
 
Rais ni wa wote. Nimekupa mifano ya watu ambao kazi zao zinaishia ndani ya serikali tu au shughuli za umma tu ambao ni hao kama Katibu Mkuu Kiongozi.
Lakini Rais, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, kazi zao haziishii kwenye shughuli za umma tu. Zinaenda beyond.
Kuna zile kazi kuu 3 za Rais:
1. Mkuu wa nchi
2. Mkuu wa Serikali
3. Amiri Jeshi Mkuu.
Sasa hapo alikuwa akitekeleza kazi namba 1.

..mbona Rais wa hiyo nchi nyingine hakuungana na Rais Ssh kushuhudia utiwajii saini wa makubaliano hayo?
 
Taifa Group ilikuwa ni ya RA na mwendazake kama ilivyo Vodacom (Lupaso, Chatoguy na Jaji fulani), Bagamoyo Sugar (Chatoguy na SSB).

Swali ni nani atachukua hisa za mwendazake kwenye miradi ya ubia?
Umenifungua macho kidogo. Kumbe tunaendelea kupigwa kinamna!
 
About TCCIA​

The Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) was established in 1988. It was initiated with the support of the Tanzanian Government to strengthen the private sector. The establishment of the TCCIA was an important step in moving on from a centralized, planned economy towards a more open, mixed economy giving full scope to privately owned enterprises and farms.... source : Welcome to TCCIA | TCCIA - Tanzania.
 
Unataka kuuza (export) bidhaa nje ya nchi? TCCIA (Chamber of Commerce) ina habari hii njema kwako

Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture (TCCIA), imeandaa mafunzo maalum ya hatua za kuuza nje (export) bidhaa kwaajiili ya wafanyabiashara mbalimbali wanaojihusisha na biashara ya aina hiyo.

Source : SimuliziNaSauti
 
Taifa Group ilikuwa ni ya RA na mwendazake kama ilivyo Vodacom (Lupaso, Chatoguy na Jaji fulani), Bagamoyo Sugar (Chatoguy na SSB).

Swali ni nani atachukua hisa za mwendazake kwenye miradi ya ubia?

Akikujibu unitag please
 
Back
Top Bottom