Je, Samsung Galaxy S7 Edge 2020 bado ni bora?

Ndio msha nikimbiza sasa mana nilitaka kuchukua Nokia 6.1 plus ya kuagiza toka ((Ali express)) sasa kumbe refurbished either iwe nzima au mbovu mhm japo mbele sio easy kua mbovu ila mashaka yameniingia bajet itulie tu kwanza Chief-Mkwawa unasemaje izo refurbished si ndio uko china
 
Kiasi gani wanauza Aliexpress? Na hii simu kwa muono wangu ni ya kawaida sana kwa standard za 2021.
 
Kiasi gani wanauza Aliexpress? Na hii simu kwa muono wangu ni ya kawaida sana kwa standard za 2021.
Kwanza ni announced 2018 bei 276000 free shipping sjui kama umeiyona vizur hapo
 
Attachments

  • Screenshot_20210115-192457.jpg
    Screenshot_20210115-192457.jpg
    89.7 KB · Views: 6
Hii ban good ipo terms ipi refurbished au
Ni official sio refurb, but mcontact seller kama unaihitaji, naona hawaship kuja TZ, Njia unayotumia hapo ni ya kuship kwa Agent, unamgea seller address ya agent then anaipeleka kwa agent aliepo hukohuko China mf. Unique Aircargo n.k mchezo unaisha unasubiri agent aitransit kuja huku nchini..

Na kama una agiza now China agiza before mwezi wa 2 sabu wachina wana sikukuu ya mwaka mpya wao wa kichina huwa wanasherekea mwezi mzima bila kufanya kazi yoyote ya kiofisi/kifupi uzalishaji unakua mdogo sana na bidhaa huadimika mno kipindi hicho kwenye warehouses zao! So mpaka mwezi wa 3 huko ndo wanaanza kufanya kazi tena, kama uliweka order siku za karibu na sikukuu au ndani ya sikukuu haitakua processed mpaka wamalize festival yao!
 
Kama unaipata nzuri ambayo sio refurbished ni simu nzuri kushinda midrange za sasa kuanzia perfomance, camera hadi display.

Sema maelezo ya wadau hapo juu pia uyatilie maanani unaweza shikishwa refurb ukajuta,

Kama si mtaalamu wa simu vyema tu ununue midrange mpya kama hizo A series, simu za oppo, vivo, xiaomi etc.
Mkuu hizi simu za sansung inakuaje ukitumia baada ya nda kama ubora wa camera unapungua na experience na A6+ n sasa A30s....

Na pia kunajamaa ana s8 naona camera haina ubora niliosoma gsm arena japokua tunefanya test zote za kuchek kama fake ipo ok
 
Kwanza jaribu kufuta lens nyuma, pili tumia chupa ya Maji ama gazeti ama kitu chochote chenye maandishi madogo madogo piga Picha kisha angalia quality yake.

Sababu Ngumu mimi kujua quality gani unapata na quality gani una expect.
 
Poa poa mkuu
 
Sikushauri kabsa kuchukua samsung s7 edge tena sana sana refub kuna jamaa aliziletaga from china kama 20 wateja Almost 17 wanalalamika tena mattzo makuu haikai chaji, network kukata kata..
 
S7edge, na + watu walilalamika sana zina matatizo lukuki sijui fake zilijaa sana au vip.

Ila S7 plane hii wameisifia sana kuwa ni nzuri.

Ushauri chukua S8 ambayo inaweza pokea OS 10
 
Back
Top Bottom