omaey ashiru
Member
- Dec 8, 2020
- 42
- 33
- Thread starter
- #81
Hiv samsung s 10 ilizinduliwa mwaka gan??
Msaada tafadha anayejua namna ya ku update version ya os bila ku root simu nisaidieHakuna, itakaa tu kwa lifespan yake. Simu zimetengenezwa ziwe on.
Note 9? Kama ni refurb na sio version ya kimataifaMsaada tafadha anayejua namna ya ku update version ya os bila ku root simu nisaidie
2019Hiv samsung s 10 ilizinduliwa mwaka gan??
Kweli kbsSikushauri kabsa kuchukua samsung s7 edge tena sana sana refub kuna jamaa aliziletaga from china kama 20 wateja Almost 17 wanalalamika tena mattzo makuu haikai chaji, network kukata kata..
Chukua Samsung A21s yenye warranty mlimani city wanauza 470 iko vzr...Kwan Samsung Galaxy S7 edge refurbished unaionaje? Naomba msaada wako mkuu mm Co mtaalam sana
Vp mkuu s8 series zinasumbua sana Kama ukiuziwa refurbish?Kununua refurbished Hakuna tofauti na kubeti, unaweza Pata nzuri ama ukapata simu kimeo Hakuna guarantee.
Simu ambayo haipati updates situmii...kuna vingi utakosa mzee..hata mwenye a30 atakupiga gap kubwaHabari wana JF nataka kununua Samsung Galaxy S7 edge mwaka huu, kwani Bado ina ubora uleule wa 2016?
Naombeni ushauri wenu
View attachment 1649243
Simu zote Duniani zinasumbua refurbished, unaweza Pata nzuri ukatulia ama ukapata kimeo kikakusumbua.Vp mkuu s8 series zinasumbua sana Kama ukiuziwa refurbish?
But s10 refurbish zinapatkana?Simu zote Duniani zinasumbua refurbished, unaweza Pata nzuri ukatulia ama ukapata kimeo kikakusumbua.
Zipo kibao mitaaani, ni ngumu kupata mpya Ila rahisi kupata refurbBut s10 refurbish zinapatkana?
Vp mkuu bado ipo vzr?Hatojutia akichukua s8+. Mimi nimechukua yangu mpyaaaa week iliyopita. Iko poa sana. Updated to Android 9, Dark mode, n.k.View attachment 1649651
Kwan s8 imeipiku s10 kwa ki2 gan?S8 plus.. Kwa watumiaji wa android, hii simu ni bora kabisa, unmatched. From my experience ya kutumia s4, note 5, s7 edge, s8+, note 9 na s10.
s8+ nairank #1.
Kuna jamaa yangu alining'ang'ania sana. Nikamuuzia. Ila ni simu poa sana. Niliweka na GCAM. Ilikuwa inagonga picha ni hatari.Vp mkuu bado ipo vzr?
Ulichukua mpya au refurbish? Me bdo nipo njia pandaKuna jamaa yangu alining'ang'ania sana. Nikamuuzia. Ila ni simu poa sana. Niliweka na GCAM. Ilikuwa inagonga picha ni hatari.
One thing I hate about samsung, ni kutuuzia simu ambazo zina processor ya Exynos.
So far saiv nimeingia kwenye Redmi K20 pro ambayo ina SD855. Sijutii
Kuna jamaa kanambia s8 zake n nzur zna warranty ya 1 yr, sasa cjui nizchukue hzo au niachane nazoNiliagiza refurbish. China


