Je, Samsung Galaxy S7 Edge 2020 bado ni bora?

Habari wana JF nataka kununua Samsung Galaxy S7 edge mwaka huu, kwani Bado ina ubora uleule wa 2016?

Naombeni ushauri wenu

View attachment 1649243
Kama unaipata nzuri ambayo sio refurbished ni simu nzuri kushinda midrange za sasa kuanzia perfomance, camera hadi display.

Sema maelezo ya wadau hapo juu pia uyatilie maanani unaweza shikishwa refurb ukajuta,

Kama si mtaalamu wa simu vyema tu ununue midrange mpya kama hizo A series, simu za oppo, vivo, xiaomi etc.
 
Okay nimekupata mkuu

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Kama unaipata nzuri ambayo sio refurbished ni simu nzuri kushinda midrange za sasa kuanzia perfomance, camera hadi display.

Sema maelezo ya wadau hapo juu pia uyatilie maanani unaweza shikishwa refurb ukajuta,

Kama si mtaalamu wa simu vyema tu ununue midrange mpya kama hizo A series, simu za oppo, vivo, xiaomi etc.
Kwan Samsung Galaxy S7 edge refurbished unaionaje? Naomba msaada wako mkuu mm Co mtaalam sana
 
J Series Nazo Nzuri Tu, J 5
Bora ununue Midrange (A-Series) za Miaka hii, kwa hio
Sahau kupata mpya,
Sahau kupokea update,
Sahau warranty,
Tarajia kutembea na Power Bank,
Tarajia kusumbuliwa na display n.k n.k
 
Mimi natumia hiyo s7 na nikitaka kuapdate inaapdate ninayo tangu 2016 ni cm ngumu sana kioo kina crake lakin hakizingui
Hizo simu zina screen touch za ajabu kweli. Kuna jamaa kaja nayo leo kazini kwangu ishakuwa nyang'anyang'a kwenye touch yake lakini inafanya kazi fresh.

Sent from my cupboard using mug
 
Kama unaipata nzuri ambayo sio refurbished ni simu nzuri kushinda midrange za sasa kuanzia perfomance, camera hadi display.

Sema maelezo ya wadau hapo juu pia uyatilie maanani unaweza shikishwa refurb ukajuta,

Kama si mtaalamu wa simu vyema tu ununue midrange mpya kama hizo A series, simu za oppo, vivo, xiaomi etc.
Hivi kaka kuna hasara yoyote kwa simu kama nitaiacha milele bila ya kuizima?
 
Hakuna, itakaa tu kwa lifespan yake. Simu zimetengenezwa ziwe on.
Duh!! i can't believe this!Sasa kaka ikiwa on processor yake si inatumika na ikiwa off processor yake si inakuwa imezima?Sasa kwa nini ikiwa off isiongeze life span ya simu kwa sababu processor ilipumzika?
 
Ikiwa off itaongeza lifespan ndio, ila hujaitumia Hivyo sidhani kama ina add chochote kwenye value yako.

Na simu nyingi at least za kampuni kubwa zinadumu mpaka zinakuwa outdated.

Hivyo unaweza kuizima na kuiwasha miaka kadhaa mbele lakini ukiweka apps ikawa slow sababu standard ya hardware ya baadae ni kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom