Naomba msaada wa kitaalam kuhusu chongamoto iliyotokea kwnye simu yang aina ya Samsung S7 edge

Jay10

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
711
533
Habar ndugu zang wana JF,
Naomba msaada wa kitaalam kuhusu chongamoto iliyotokea kwnye simu yang aina ya Samsung S7 edge.
Ni kwamba ilitokea tu siku moja, nikijarib kupga picha Camera haifunguki, inaniandkia CAMERA FAILED kila nikijarb kuitumia, pia TORCH nikitaka kuitumia feedback ni kwamba haiwezifunguka kwasabab inatmiwa na application nyingne (torch is being used by other app).

Nimeshajarb kuingia YouTube kuangalia videos za tatzo kama hli na namna ya kulishinda lakin bado mambo yako pale pale....matokeo ni kwamba nashndwa kutumia Camera wala torch kabsa.....naomba masaada kwa wenye ujuz na uzoefu wa shida kama hzo....
 
Jaribu kufany simple reset kwa Kubonyeza power button na Ya kuounguzia sauti for 10 sec the simu ina restart.
Wala haitafuta data zako

Ikishindikan Force stop App clear data na Cache the ifungue uone
 
Jaribu kufany simple reset kwa Kubonyeza power button na Ya kuounguzia sauti for 10 sec the simu ina restart.
Wala haitafuta data zako

Ikishindikan Force stop App clear data na Cache the ifungue uone
Hiyo ni hardware moja kwa moja usimshauri kufuta vitu vyake
 
Habar ndugu zang wana JF,
Naomba msaada wa kitaalam kuhusu chongamoto iliyotokea kwnye simu yang aina ya Samsung S7 edge.
Ni kwamba ilitokea tu siku moja, nikijarib kupga picha Camera haifunguki, inaniandkia CAMERA FAILED kila nikijarb kuitumia, pia TORCH nikitaka kuitumia feedback ni kwamba haiwezifunguka kwasabab inatmiwa na application nyingne (torch is being used by other app)......Nimeshajarb kuingia YouTube kuangalia videos za tatzo kama hli na namna ya kulishinda lakin bado mambo yako pale pale....matokeo ni kwamba nashndwa kutumia Camera wala torch kabsa.....naomba masaada kwa wenye ujuz na uzoefu wa shida kama hzo....
Chomoa hiyo camera weka camera nyingne asante sana
 
Hii imekaaje mkuu.....hyo reset process
Jaribu kufany simple reset kwa Kubonyeza power button na Ya kuounguzia sauti for 10 sec the simu ina restart.
Wala haitafuta data zako

Ikishindikan Force stop App clear data na Cache the ifungue uone
 
sijui zipo tofauti au lah, ila kwenye simu yangu, note 9 galaxy....camera ilikua inaleta shida hyo...nilichofanya ni kuclear cache na kuclear data the kuopen tena.......ukiclear data plug za app zinabaki vzur tu, isipokua utakapofungua itakua kama ndo unaifungua kwa mara kwanza tangu ununue simu, hivo itakuomba ku allow baadhi ya permission na setting zake zote zinarudi into default.

jaribu
 
Back
Top Bottom