Je, samaki ni kibudu?

Je, samaki ni kibudu?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,796
Reaction score
858,578
Kibudu ni mnyama anayekufa bila kuchinjwa, na hii inaelezeka zaidi kwenye imani ya dini nyinginezo kwakuwa kila mnyama achinjwaye ana dua yake maalum kabla ya kuchinjwa .

Lakini pia kwa mfano kwenye imani za kibudha na nyinginezo ikibidi kabisa kula kumuua mnyama kwa matumizi ya chakula hufanya hivyo huku ukiomba karma isije ikakurudia kwakuwa hufanyi kwa chuki wala kwa starehe bali kuushibisha mwili baada ya kukosa jinsi nyingine yoyote.

Samaki hachinjwi je samaki ni kibudu?
 
Samaki na Nzige wameruhusiwa kuliwa bila kuchinjwa, kiimani sidhani kama ni sahihi kuhoji "why", itakuwa ukosefu wa adabu mbele za Mungu.

Huo ni uelewa wangu mdogo!
 
Pagumu hapo.. Wanaojua haya mambo karibuni mtujuze
 

"Lawful to you is (the pursuit of) water-game and its use for food, for the benefit of yourselves and those who travel"

al-Maa'idah 5:96
 
Samaki na Nzige wameruhusiwa kuliwa bila kuchinjwa, kiimani sidhani kama ni sahihi kuhoji "why", itakuwa ukosefu wa adabu mbele za Mungu.

Huo ni uelewa wangu mdogo!
Rene jr. ni mjadala na si kumkosea Mungu adabu
 
Last edited by a moderator:
Ni halali kuvila vilivyomo majini, isipokuwa nyoka, chura na kinachokuzuru.
 
Samaki ni kibudu ingefaa na kupendeza kama ndugu zetu wangesusa kumtafuna kama Mbuzi Katoliki hali ingekuwa nzuri sana hasa katika eneo la bei.
 
Samaki ni kibudu ingefaa na kupendeza kama ndugu zetu wangesusa kumtafuna kama Mbuzi Katoliki hali ingekuwa nzuri sana hasa katika eneo la bei.

Sio kwamba kujua kama ni kibudu tutaacha kumtafuna Hapana, ataendelea kukiwa kama kawaida
 
Mi sijui bana........mi nakulaga kila kitu.......kasoro nzige......sipendi sana.......

Mpaka sasa, bado sijala kinyonga,nge,nyuki na nzi. Lakini viumbe wengine wengi walio karibu yangu nimewala.
 
Watu wanaongelea mustakabali wa taifa letu huku kesho ikiwa ni siku muhimu sana wajinga wachache wanashabikia udini.
 
kwani asipochinjwa inakuwaje?
vipi wale ndege tuliokuaga tunalenga kwa manati?
asipochinjwa ndo anakuwa kibudu.

nakumbuka wakati tunawinda ndege me na wenzangu tulikuwa tunanyofoa vichwa then tunachoma hao ndege
 
Back
Top Bottom