Je, samaki ni kibudu?

Je, samaki ni kibudu?

Naomba nitoe nyongo kidogo...!!!
Kuna wakati JF huwa inakuwa kituko fulani hivi, bado najiuliza post ya nyama Choma kwenye miji na majiji yetu ilikuwa na kasoro gani hadi inyofolewe?
 
Mi nakula kila kitu kasoro chuma...madam hakinidhuru....sina ugomvi na msosi kabisaaaaaa!
 
Naomba nitoe nyongo kidogo...!!!
Kuna wakati JF huwa inakuwa kituko fulani hivi, bado najiuliza post ya nyama Choma kwenye miji na majiji yetu ilikuwa na kasoro gani hadi inyofolewe?

labda ilikua inaharibu biashara za mods.
 
Maji ya bahar ni twahara na ni halali kula mfu(kiumbe knachoishi humo)wake.
Tumeruhusiwa kula kiumbe knachoish baharin ata ukikuta kmekufa ndan au nje ya bahar.
 
Mpaka sasa, bado sijala kinyonga,nge,nyuki na nzi. Lakini viumbe wengine wengi walio karibu yangu nimewala.

Lazima inzi umekula kwa vyovyote. Kuna wale wanaodondokea kwenye mboga ikipoa bila wewe kujua kama kapata ajali huko ndani.
 
labda ilikua inaharibu biashara za mods.

Haya mambo yapo sana huku mitaani labda wao hawaishi Tanzania, tumeonyeshwa matukio mengi kwenye vyombo vya habari, tumeona baadhi ya biashara zikifungwa kutokana na uchafu na mambo ya ajabu ajabu hakuna jipya niliyoandika na hapa ilikuwa ni fursa ya kujadili hili kwa mapana yake bila kutaja majina halisi ya biashara za watu
 
unawachokoa waislamu kwa nini wakati wewe sio muislamu, we endelea kula vibudu vyako .
 
Watu wanaongelea mustakabali wa taifa letu huku kesho ikiwa ni siku muhimu sana wajinga wachache wanashabikia udini.

We kweli kizi sana, yaani kwakua kesho ni siku ya uchaguzi basi tusijadili na mambo mengine kwa utashi na upeo wako mdogo unadhani hakuna maisha yatakayo endelea baada ya uchaguzi!?
Na alie kuambia kwamba hii mada inajadili udini ni nani?
Wacha kupotosha mada aisee... na hii inanipa shaka sana katika uwezo wako wa kufikiria aiseeee....
Hapa uzi unauliza kwamba, je samaki ni kibudu?
 
Kibudu ni mnyama anayekufa bila kuchinjwa, na hii inaelezeka zaidi kwenye imani ya kiislam kwakuwa kila mnyama achinjwaye ana dua yake maalum kabla ya kuchinjwa .

Lakini pia kwa mfano kwenye imani za kibudha na nyinginezo ikibidi kabisa kula kumuua mnyama kwa matumizi ya chakula hufanya hivyo huku ukiomba karma isije ikakurudia kwakuwa hufanyi kwa chuki wala kwa starehe bali kuushibisha mwili baada ya kukosa jinsi nyingine yoyote.

Samaki hachinjwi je samaki ni kibudu?
Samaki anachinjwa na ndoano, ila ndio hakuna kuelekezeana kibla wala bismillah
 
We kweli kizi sana, yaani kwakua kesho ni siku ya uchaguzi basi tusijadili na mambo mengine kwa utashi na upeo wako mdogo unadhani hakuna maisha yatakayo endelea baada ya uchaguzi!?
Na alie kuambia kwamba hii mada inajadili udini ni nani?
Wacha kupotosha mada aisee... na hii inanipa shaka sana katika uwezo wako wa kufikiria aiseeee....
Hapa uzi unauliza kwamba, je samaki ni kibudu?

amewataja waislamu kwa nini usiwe udini!
 
Nyama ya kiumbe chochote inaweza kuliwa ikiwa tu bado haijaharibika hio mambo za kuchinja ni tamaduni za middle East
 
Back
Top Bottom