Je, Ridhwan Kikwete naye ni fisadi?

maswali yote anatakiwa kujibu Ridhwani,

Kusema ukweli nimekatishwa tamaa na wapinzani,Hawna jipya..Yaani wameniskitisha kuhsindwa katika jimbo la kiteto,wameksosa nini au Wamerogwa??na kuwasiadia mbinu zote wakashindwa

yaani this is too much na inaonesha aukilaza wao nitaendelea kukata nondo kama kawa ila kwa hili mmenihuzinisha sana,mmenisikasiisha sana.sasa mtashinda wapi??

Mie nitatetea yote mazuri,nina mapenzi na Chadema kama chama ila sina mapenzi na viongozi wake sababu wanakipeleka chama mahali tusipopatarajia,

Gembe mtaalamu wa kuchambua maswali yanayoelekezwa kwa viongozi na watu mbalimbali kuhusu ufisadi, leo anakacha kujibu na kutaka mhusika aje kujibu mwenyewe?

Ama kweli inawezekana kama alivyosema KIMBEMBE labda kuna kimbembe hapa.

Hebu tuwekeni wazi.

Gembe aliyesema muda mfupi uliopita CCM taifa kubwa muda huu anasema anaipenda CHADEMA kama chama, ni kugeuza mada tujadili kitu kingine Ridhwan aachwe?

Kama kuna conflict of interest tuambizane jamani.

Hapa kuna jambo au MWANAHALISI wamezua kimbembe?

Asha
 
wewe muda wote kuanzia ubadili jina kuwa Gembe ulikuwa unafake tu kuwa unatetea ufisadi na leo your true colors zimekuja nje!

Jibu maswali unayoulizwa na usibadili hii topic kuwa anti-chadema

Umesema ukweli maana sasa ameguswa pabaya sasa analia kwa sauti .Mwache aseme ubaya wa Chadema tulisha waona wanasema na bado wakaamua kukaa kimya leo yeye ataweza ?
 
Jamani!

Eti mi niliwahi kuandika hapa vijana ambao mmoja wao anatarajiwa kuwa Rais wa Tanzania wa baadaye. Nilimtaja Zitto, Mwanakijiji, Kitila, Ridhwan Kikwete nk. Madela wa Madilu naye akaiongeza mwenyewe kwenye orodha. Nimesikitika leo Ridhwan Kikwete ametajwa naye na gazeti la Mwanahalisi kuhusika na ufisadi wa Deep Green. Hivi ni kweli jamani kuwa na yeye ni fisadi? Kama ni kweli si anachafua jitihada za Rais Kikwete za kupambana na ufisadi Tanzania? Sasa nani watanzania tumwamini kumpa uongozi wa nchi yetu siku za baadaye?

Asha

Hivi yule mwanatindikali Saeed Kubenea bado yuko huko kwenye Mwanahalisi au keshalowassa? Maana kule kwetu kuna usemi kuwa "mbwa hata awe mwehu, kamwe hatouma mkono unaomlisha!"
 
Asha Abdala,
Kadri ninavyosoma maswali yako nahisi you know more than you are letting on. Kama unazo data zimwage hapa JF ndipo penyewe. Tuchambue pumba na mchele.
Gembe, unasema hutaki kuleta tena ukoloni, mbona ukoloni umeshaletwa kwa mgongo wa nyuma kupitia CCM? Angalia nani anamiliki madini yetu. Sinclair, rafiki yake Kikwete wa miaka kumi na tisa na rafiki ya George Bush. Unadhani ni coincidence kuwa Bush aliamua kutembelea Tanzania kwa siku tatu bure?
 
RIDHWANI hana cha kujibu

mwenye kujibu hayo maswali ni ASHA ABDALLAH tena kazi yake uitakuwa rahisi sana kama huo ushahidi anao

GT jamani na we umekuwaje? Kama ningekuwa na majibu ningeuliza maswali?

Hebu mwite basi ajibu au na wewe una conflict of interest?

We majibu watakuja tu watajibu, na waofahamu ukweli watakuja tu wataanika

Asha
 
Ridhwan Kikwete alishiriki kufanikisha Kikwete kuchangiwa kwenye kampeni na yale makampuni ya madini kule Mererani?
wewe si unajua utuambie as you know we dare talk openly.kata ishu dada

Ridhwan Kikwete alisadia vipi IMMA kupewa tenda za uwakala na masuala ya mikataba ya makampuni makubwa ya madini? Je, ni wakati Masha akiwa naibu waziri wa wizara husika, kabla au baada?
hili hakushiriki hata kidogo,Masha alisaidiwa sana kuwa Waziri na Lowassa na wala Jk alikuwa hamfahamu.kama unakumbuka hata wakati wakampeni pale Mwanza jimbo la Nyamagana,Lowassa ndio alimuuza Masha.

Ridhwan Kikwete ana nafasi gani IMMA, ni mtumishi wa kawaida au ni partner?
Riz sio Partner ni Mfanyakzi wa kawaida tu kama Legal Officer,na liapnagiwa kituo cha mwanza kabla ya kwenda shule kusoma na kubaki hapa dar esa salam

e- anafaa kuwa Rais wa Tanzania katika miaka ijayo ukimlinganisha na Zitto, Kitila, Mwanakijiji na Madela wa Madilu?
Ridhwani bado ni mchanga kaama siasa,anaweza saidia katika maendelo tu,na suala la kuwa kiongozi,Mie naona zitto anafaa zaidi kuwa kiongozi na Mwanakijiji anfaaa kuwa Waziri wa habari na Msemaji wa Mambo yanayohusu Ufisadi
 
Umesema ukweli maana sasa ameguswa pabaya sasa analia kwa sauti .Mwache aseme ubaya wa Chadema tulisha waona wanasema na bado wakaamua kukaa kimya leo yeye ataweza ?

ilikuwa suala la muda tu, yeye ajenda ya ridhiwani analeta mambo ya chadema kuwa chama cha kikabila as if kuna relation yoyote na thread hii
 
GT jamani na we umekuwaje? Kama ningekuwa na majibu ningeuliza maswali?

Hebu mwite basi ajibu au na wewe una conflict of interest?

We majibu watakuja tu watajibu, na waofahamu ukweli watakuja tu wataanika

Asha

Dada Asha,

Atajibu wapi wakati ameanza mambo ya kuwa chadema chama cha kikabila. Kawaida ya mafisadi wa ccm ndiyo hayo, wanadai cuf chama cha kidini.

Anaplay the same song na Kingunge!
 
anzisha thread ya kuwa chadema ni chama cha kidini au ni chama cha kijerumani? mbona unataka kuanza ubishi pasipo?
Thread ilsihaanzishwa na majibu yakatolewa na tukafunga jadala,Kamuulize chacha Wangwe ana majibu!

Ina maana mtu ukieleze mabaya kuhsu Chadem ni kosa??suala la wao kuhusishwa na sera za kijerumani ni kosa??

Mwafrika wa kike,Asha acheni Personal attack.Mie kubadili jina na kuwa Gembe isiwe ishu.am still the same ol Mkombozi wa ufisadi..na nitamkoma giledi nyani yoyote asiye ngabu
 
RIDHWANI hana cha kujibu

mwenye kujibu hayo maswali ni ASHA ABDALLAH tena kazi yake uitakuwa rahisi sana kama huo ushahidi anao

Of course,

Ingawa Ridhiwani hana cha kujibu kama atakataa kuwa anahusika na kampuni la kifisadi la IMMA ambalo limehusishwa na miradi mingi kabisa ya kifisadi hapo Tanzania!
 
Thread ilsihaanzishwa na majibu yakatolewa na tukafunga jadala,Kamuulize chacha Wangwe ana majibu!

Ina maana mtu ukieleze mabaya kuhsu Chadem ni kosa??suala la wao kuhusishwa na sera za kijerumani ni kosa??

Mwafrika wa kike,Asha acheni Personal attack.Mie kubadili jina na kuwa Gembe isiwe ishu.am still the same ol Mkombozi wa ufisadi..na nitamkoma goiledi nyani yoyote asiye ngabu

Umemkoma wapi giladi hapa?

Mbona unaleta udakua kuwa chadema ni chama cha kikabila bila kusema kuwa ni kabila gani? au ndiyo yale ya lowasa kuwa watu wa monduli wanaonewa kwa ukabila wao
 
mwenye majibu ya maswali haya ni wewe ambaye umeconclude kwenye header kuwa RIDHWANI ni fisadi sasa kama unataka kujenga argument then nadhani ni vizuri ukayajibu maswali yako na kuonyesha ushahidi wa kusupport hizo arguments zenyewe

GT unasoma kwa hasira nini? Kama kuna conflict of interest hebu sema jamani. Mbona mi nimeuliza swali tu? Soma tena michango yangu

Asha
 
Nawasahauri sasa turudi kwenye mada yenyewe badala ya kuondoka na kuanza mambo ya vyama .Gembe unaweza kuanzusha thread ya mambo na ukabila ndani ya Chadema .Madai ya kipuuzi na hawan hajayana nafasi .Huwezi kusema Chadema ni cha wachaka kwa maneno bila kuonyesha how ni chama cha wachaga .
 
GT unasoma kwa hasira nini? Kama kuna conflict of interest hebu sema jamani. Mbona mi nimeuliza swali tu? Soma tena michango yangu

Asha

Asha,

wewe uko sahihi kabisa kuuliza kuhusika kwa Ridhiwani na kampuni la kifisadi la IMMA ambalo limehusishwa katika mikataba na miradi mingi sana ya wizi wa mali ya watanzania/

Kwa vile hakuna anayekanusha hili kwa evidence zaidi ya kina Gembe kuanza kubadili issue hapa na kuleta habari za kitoto kuwa Chadema ni chama cha kikabila, hii story ya mwanahalisi inaonekana kuwa na uzito.
 
Umemkoma wapi giladi hapa?

Mbona unaleta udakua kuwa chadema ni chama cha kikabila bila kusema kuwa ni kabila gani? au ndiyo yale ya lowasa kuwa watu wa monduli wanaonewa kwa ukabila wao
hili suala la ukabila mie si wa kwanza kulisema,Chacha wange wakati wa uchaguzoi wa chadem alilisema hili,sema lilizimwa n watu wa kanda ya huko kaskazini.

kwani wewe kabila gani,??na unafikiri ni kwanini Zitto alitaka kuacha kugombea ubunge 2010 kwa tiketi ya chadema??
 
Nawasahauri sasa turudi kwenye mada yenyewe badala ya kuondoka na kuanza mambo ya vyama .Gembe unaweza kuanzusha thread ya mambo na ukabila ndani ya Chadema .Madai ya kipuuzi na hawan hajayana nafasi .Huwezi kusema Chadema ni cha wachaka kwa maneno bila kuonyesha how ni chama cha wachaga .

Ataweza wapi huyo maana alikuwa amesubiria siku nyingi sana kusema hili na leo akazani kuwa amepata nafasi ya kusemea chuki zake na uongo wake dhidi ya Chadema.

Gembe eleza hapa kama halmashauri ya wilaya ya Tarime ambayo inaongozwa na chadema ni ya wachaga!
 
hili suala la ukabila mie si wa kwanza kulisema,Chacha wange wakati wa uchaguzoi wa chadem alilisema hili,sema lilizimwa n watu wa kanda ya huko kaskazini.

kwani wewe kabila gani,??na unafikiri ni kwanini Zitto alitaka kuacha kugombea ubunge 2010 kwa tiketi ya chadema??

alisema wapi? mbona unaleta habari bila uthibitisho? acha pumba mkuu mbona unajiabisha?
 
Back
Top Bottom