Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
- Thread starter
- #41
Kwani haya ni maneno yake Au ya kingunge?
Mimba aliyokuachia huyo jamaa inakutesa sana
Mimba aliyokuachia huyo jamaa inakutesa sana
Huko ni mbali afuatilie Ethiopia,Rwanda, Cameroon,Uganda,Egypt nk nk .. Wafanyabiashara hatuna shida na mambo yao ya siasa ilimradi sisi pesa inaingia.Fuatilia siasa za Singapore alafu Njoo tena urudi humu. Kwenye ubabe wa kisiasa kunaweza kuwa na wawekezaji wengi tu ili mradi ubabe wenu wa kisiasa hauathili uwekezaji wao
Hii mada inamuongelea kingunge?Kwani haya ni maneno yake Au ya kingunge?
Bora hizo nchi za kiafrika anaweza sema hazina chumi kubwa sana. Singapore ndo mwisho wa hesabu.Huko ni mbali afuatilie Ethiopia,Rwanda, Cameroon,Uganda,Egypt nk nk .. Wafanyabiashara hatuna shida na mambo yao ya siasa ilimradi sisi pesa inaingia.
Shida ya Magu ilikuwa kuharibu siasa na kuharibu biashara sasa matokeo ndio hayo ila angeendelea kuwafunga chadema uchumi uko sawa wala hakuna shida yoyote
Nadhani kamnukuu marehemu kingungeHii mada inamuongelea kingunge?
Mada inahusu nini?Nadhani kamnukuu marehemu kingunge
Mada inahusu nini?
Mbona Magufuli alikuwa mbabe halafu wakakimbia?? Ubwbe na uwekezaji ni sawana maji na moto. Kasome nadharia ya vugezo vya uwekezaji urudi tena hapa.Fuatilia siasa za Singapore alafu Njoo tena urudi humu. Kwenye ubabe wa kisiasa kunaweza kuwa na wawekezaji wengi tu ili mradi ubabe wenu wa kisiasa hauathili uwekezaji wao
Rungeendelea na ule uchumi wa JK kwa mfano hakuna mtu angekuwa anawaza kuajiriwa maana ukijiajiri pesa ilikuwepo na nakumbuka watu walikuwa wanaacha Kazi za serikali wanaenda private.Mie hali ilianza kunishtua mwaka 2018. Mjini kampuni nyingi zilianza kupunguza wafanyakazi. Nyingine zikaanza kubana matumizi. Posta nikaanza kuona inakufa, Quality Centre na Quality Plaza ndo hadi zilinitoa machozi maana pale ni maelfu ya watu walipoteza ajira.
Yaa Kazi za unyapala ndio zilitakiwa kushika vinginevyo imekuwa disaster,Darb ilipauka utafikiri sio Jiji kuu ,sekta ya nyumba ilijifia kifo cha mende yaani..Sitaki hata kumkumbuka yule jamaa,alikuwa anawalisha propaganda watu maskini wa akili na mali eti majizi sijui mzalendo mara ajifanye yeye ndo Alfa na omega yaani ni shida.Bora hizo nchi za kiafrika anaweza sema hazina chumi kubwa sana. Singapore ndo mwisho wa hesabu.
.........Yule mzee nafasi ya juu aliyotakiwa kupata ni Waziri Mkuu. Ilikuwa ni kosa sana kumpa Madaraka ya kuwa mwamuzi wa mwisho kwenye Taifa hili.
Sikiliza ndugu, tz haijawahi kuwa na siasa mbovu za kuhatarisha uwekezaji wowote kutoka nchi za magaharibi.Mada inamuhusu Rais Samia Ila ndani yake ilimgusia Magufuli kidogo
Citi bank ni kina nani? Unadhani wale Baricc ni kina Nani??Sikiliza ndugu, tz haijawahi kuwa na siasa mbovu za kuhatarisha uwekezaji wowote kutoka nchi za magaharibi.
JK alimleta hadi Obama hapa tz. Sasa niambie kwa diplomasia ile ya JK, kuna uwekezaji gani wa nchi ya Marekani hapa nchini?
Marekani inachofanya siku zote ni kutoa vi misaada kadhaa za kufadhili vi miradi mbalimbali vya kimasikini katika nchi kama tz lakini haina uwekezaji wowote wa maana!
By the way, naona unasema utafufua huu uzi wako 2030 wakati Samia anamalizia ungwe yake! Vipi ina maana 2025 huna mpango wa kumpigia kura Lisu tena?
Ushawai sikia mauaji ya Tiananmen Square? Unadhani nani alikuwa Rais wa China kipindi icho?Aache kupambana na upinzani kwanza na kuwawekea vikwazo otherwise atakwama haraka sana
Huyu unayemsema aliunganisha kwanza nchi then ndio akaanza kujenga uchumi!
Hao wapo miaka na miaka, hebu niambie uwekezaji wao hasa ni upi?Citi bank ni kina nani? Unadhani wale Baricc ni kina Nani??
Hujui uwekezaji wao eeeh??? Au unauliza ili uulize tu??Hao wapo miaka na miaka, hebu niambie uwekezaji wao hasa ni upi?
Polee, una vichengachenga vya akili huwezi nielewa kiukweli! Nawewe tukufananishe na yule bibi muislam fox eeh anayependa iyok kusomea ujinga!!wa iyo kulinganisha watu ni utumwa? Huko shule ulisomea ujinga?
Kwani Mwinyi aliingia Madarakani baada ya Nyerere kufariki? Au Kikwete aliingia madarakani baada ya Mkapa kufariki?Mwinyi aliwahi kufanya hivyo na kikwete pia,
Hivyo Uzi wako sio relevant.