Nakumbuka Salim Ahmed Salim pamoja na Augustine Lyatonga Mrema waliwahi kuteuliwa kwenye nafasi za naibu waziri mkuu wakati wa utawala wa Alli Mwinyi, kama sijasahau.
Lakini kwa hili nafikiri Kasim anatakiwa sasa achukue tahadhari ama ajiuzulu, kwasababu hii sio dalili njema kwa afya ya cheo chake, na ikumbukwe kwamba Kasim hakua chaguo la mama kua prime minister.