Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?
Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita
Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo la kwanza ni kukubali kusitisha vita dhidi ya Ukraine.
Chaguo la pili ni kuwapiga wanaomsaidia Ukraine, yaani kutanua vita, sina uhakika na uwezo wake katika hili chaguo la pili.
Nini mtazamo wako katika hili?
Putin alikurupuka, alizichanga vibaya karata zake!?
Anavukaje kwenye hii aibu inayoelekea kumkabiri!?
View attachment 3674360
View attachment 3674355