Je, nitaondoaje weusi kwenye makwapa?

Achana nae huyo hata akiota sugu uvungu wa chini atakuomba ushauri utashindwa kumsaidia mana hatakuonesha
 


Hapa inabidi umuulize Wema Sepetu.
 
Mwambie atumie sabuni ya magadi kwa ajili ya kuogea kwenye kwapa asubuhi mchana na jion na Deodorant ya Alovera Forever.
 
Achukue maji ya limao achanganye na baking soda. Apake kama 5min hivi anawe. Azoee kufanya hivyo mara kwa mara.
 
Huyo dada anayetoa instructions ndio wewe?
 
Achukue maji ya limao achanganye na mafuta ya nazi...ajisilibe..na atumie secret deodorant ni nzuri mno..inaondoa weusi wa kwapa na kijasho kikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…